ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Aisee tembea uone jamani yaaani mpaka nashindwa kusabahi hapa kutokana na hili jukwaa letu pendwa la cc yaani kumeshaingiliwa humu wewe uliona wapi mauzi ya mmu yakaingiliwa huku yaani bagalashala tu ili mradi mtu naye kaweka uzi
Wakati mwingine muwe ngariiiiiiiiiiiiiiiii kusoma sio kujiwezesha pasipo fani zenu nimekutana na kauzi Fulani humu kanasema eti mwanamke kuzimika ghetto sijui nini vileeeee yote ya naniini hapa kama sio kucharanda tu . Ninavyoifahamu CC yetu ilikuwa bomba sana yaani mpaka mtu akilogin tu mojakwa moja cc akaone ladyfurahia niini kathread hapa full shangwe kuona mauzi ya maana ya kujenga, kuielimisha na kuonya sasa kumeingiliwa yaani hata huoni ucomenti nini?
Hebu punguzeni mauzi mengine jamani iachane cc yetu ilivyostaarabika kama mwanzo yaani mwanzoni ukiingia humu utakutana na akina marejesho, Lady Passion, charminglady, @Isnam, amu, KakaKiiza, Filipo, The Boss, Mtambuzi, Paloma, Mwita Maranya, mshana jr, Nyani Ngabu, gfsonwin, miss chagga, Ruttashobolwa ,LiverpoolFC, PakaJimmy Chachu Ombara Khantwe valentine na wengine wengi wakitema cheche maridhawa za kueleimisha na kuchekesha leo kuna vioja kama sio vitimbwi yaani huelewi A wala Z eti mabestito wangu kwa mtazamo wenu kila mmoja aseme kitu hapa CC ya sasa na ya CC ya zamani zikoje sio mkasema mama paroko naongea sana la hasha nimewaita hawa nao waseme yao hapa. Hebu tapikeni kidogo hapa wajue watu wa zama hizi.
Wasalaamu
Ladyf