WALE WA ENZI ZETU SPECIAL THREAD

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
HABARINI MABESTITO WA UKWEEEEEEEEEEE

NIMEONELEA NIWEKE KIUZI HIKI KUWAKUMBUKA WALE WOTE TULIOKUWA TUNACHAT KILA DK HAPA CHITCHAT MPAKA WAKASEMA HII NI SEHEMU YETU SIYE WAKONGWE MPAKA NA WENGINE WAMEWEKA KULEEE KONA MAKAPUKU FORUM

WANACHIT WOTE WA KIPINDI KILE MLIOFANYA CHITCHAT KUKUA KWA KASI SANA NA KILA MUDA MLILETA MAMBO YA KUFURAHISHA NA KUJENGA KAMA SIO KUFUNDISHA PIA

MLANGO UKO WAZI TUKUMBUSHIE MADA ZA ENZI ZETU SITAMSAHAU mwekundu ALIYEKUWA NA VIJIMAMBO VYA HAPA NA PALE , @Zubedayo Michuzi NAYE NAKAMBA ZAKE
SI MCHEZO, YUKO WAPI Mtambuzi NA MADA ZAKE ZA TUPO HAPA LEO PUB KWELI ILINOGA SANA, Evelyn Salt KWA KUCHANGIA HAJAMBO KILA NUKTA YUMO hahahahahahaahaa Mentor MZEE WA STORY ACHA KABISA, Paloma NA Madame B WALIKUWA VIVUTIO VIKUBWA HAPA MJENGONI, amu, KakaKiiza, mshana jr, The Boss, Mr Rocky, PakaJimmy , Mwita Maranya, Bujibuji, Heaven on Earth, Heaven Sent, madame X, Passion Lady, Watu8 , @Meascron , charminglady , Lady doctor , Erickb52 , Slave ,
Nyani Ngabu , Valentina , Asnam, Khantwe , Steven Robert Masatu , sister, nitonye , Tarime one, Mzizi Mkavu, Kipaji Halisi, snowhite , @Firstlady 1, NA WENGINEO NILIOWASAHAU KARIBUNI TUSHARE MAMBO YA ZAMANI YA HAPA

Wasalaam;

Ladyf
 
ladyfurahia umenikumbusha uzi mmoja humu kama sikosei ulianzishwa chit chat au MMU. Uzi ule ulifanya akili yangu iende kasi kuliko kawaida. Ila ngoja tu ninyamaze nisije kununiwa bureeeeeee :p:p:p:p:p

HABARINI MABESTITO WA UKWEEEEEEEEEEE

NIMEONELEA NIWEKE KIUZI HIKI KUWAKUMBUKA WALE WOTE TULIOKUWA TUNACHAT KILA DK HAPA CHITCHAT MPAKA WAKASEMA HII NI SEHEMU YETU SIYE WAKONGWE MPAKA NA WENGINE WAMEWEKA KULEEE KONA MAKAPUKU FORUM

WANACHIT WOTE WA KIPINDI KILE MLIOFANYA CHITCHAT KUKUA KWA KASI SANA NA KILA MUDA MLILETA MAMBO YA KUFURAHISHA NA KUJENGA KAMA SIO KUFUNDISHA PIA

MLANGO UKO WAZI TUKUMBUSHIE MADA ZA ENZI ZETU SITAMSAHAU mwekundu ALIYEKUWA NA VIJIMAMBO VYA HAPA NA PALE , @Zubedayo Michuzi NAYE NAKAMBA ZAKE
SI MCHEZO, YUKO WAPI Mtambuzi NA MADA ZAKE ZA TUPO HAPA LEO PUB KWELI ILINOGA SANA, Evelyn Salt KWA KUCHANGIA HAJAMBO KILA NUKTA YUMO hahahahahahaahaa Mentor MZEE WA STORY ACHA KABISA, Paloma NA Madame B WALIKUWA VIVUTIO VIKUBWA HAPA MJENGONI, amu, KakaKiiza, mshana jr, The Boss, Mr Rocky, PakaJimmy , Mwita Maranya, Bujibuji, Heaven on Earth, Heaven Sent, madame X, Passion Lady, Watu8 , @Meascron , charminglady , Lady doctor , Erickb52 , Slave ,
Nyani Ngabu , Valentina , Asnam, Khantwe , Steven Robert Masatu , sister, nitonye , Tarime one, Mzizi Mkavu, Kipaji Halisi, snowhite , @Firstlady 1, NA WENGINEO NILIOWASAHAU KARIBUNI TUSHARE MAMBO YA ZAMANI YA HAPA

Wasalaam;

Ladyf
 
Mimi mnanisahau kila post....ntakunywa thumu thatha hivi....the why...why...why...why...but why...?!?!?...haziniishi kichwani
Please call ma name bhana.
 
Nawakumbuka 50 Cents, Mugongomugongo, Njiwa, Miela,watu 8 na wengineo. Nadhani hao wote wamebatizwa au kutoa shahada!

Vv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom