twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
hahhahaha, unajambaje mbele ya mpenzi wako bana! lol
Wenzetu wakinogewa, misuli yote huwalegea na ku loose control
hahhahaha, unajambaje mbele ya mpenzi wako bana! lol
Mbona wewe unajambaga kanisani?...........LOL!!!!!!!!!!!!!!!
Wizi mtupu. Hapo wanakuwa wanapalilia invoice tu
hahhahaha, unajambaje mbele ya mpenzi wako bana! lol
si ni kama kupiga mwayo au chafya tu...ila sema tundu linakuwa limebadilishwa
Ha ha ha!!!
Halafu atataka kuangalia eneo la tukio kama hakuna mchubuko wowote
si ni kama kupiga mwayo au chafya tu...ila sema tundu linakuwa limebadilishwa
![]()
CC:- Madame B, Mamndenyi, Kungwi, Paloma, watu8, Mtambuzi, Kaizer, Erickb52, Kipaji Halisi, AshaDii, gfsonwin, LiverpoolFC, MadameX, Lady doctor, lara 1, ladyfurahia.
Ujumbe huu unaletwa kwenu kwa hisani ya mwaJ na Mwita Maranya
ha ha ha ha ha you made my day.......................!! its rib breaking for sure ha ha ha teh teh teh Bujibuji ,you areb back again brother ,,sasa akakuta pameumia inakuaje?nipe jibu kwanza