Chezea wanawake wa mjini wewe!!!

Chezea wanawake wa mjini wewe!!!

si ni kama kupiga mwayo au chafya tu...ila sema tundu linakuwa limebadilishwa

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
U cracked my ribs baba!
 
hahahahaaaa you made my day

sijakuchunia bestito jamani jana ulikuwa na sura ya mvuto mwingine
na leo una sura ya mvuto mwingine ndo mana nkashindwa kukuweka
kwenye mashindano sasa leo nimeona sura yenye mvuto wa sura mbaya
hapa jf ngoja niwaambie wataalamu wakuweke usijali bestito
wewe unanichunia thats why
 
lakini wengine ukijamba wanajua unatobolewa mfuko wa mbolea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom