Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Umeandika jambo nyeti na linalofikirisha.

Kuna matukio ya ubakaji na artificial insemination nk..... Hizi pia ni similar scenarios zinazohitaji kutizamwa.

Kuwa baba sio swala la kukojoa tu na kukimbia.

Kuwa baba ni swala la uwajibikaji zaidi kuliko kumwaga mwaga hivyo vishahawa vyako.

Hata sungura nao wanakojoa na kuzaa, to put the records clear.

Kwahiyo msijifanye fanye vidume hapa kwamba kokojoa ati ni big deal kivile. Hata panya wanakojoa na kuzaa.

Rita waliangalie hili kwa makini.

Na si ajabu watendaji wa rita wana fikra za kijinga jinga kama hizi za wachangiaji humu!

Ati nilikojoa? so what?
 
Habari zenu wakuu,

Kwenye suala la cheti cha kuzaliwa hapa Tanzania ni lazima sehemu ya wazazi wa mtoto Baba na Mama majina yao yawekwe. Hili linaleta ugumu kwa single parent ambapo unalazimishwa kumuweka mtu ambaye hana msaada na wewe tangu ujauzito na wala hakusaidii chochote na ukute hajawahi kumuona huyo mtoto tangu azaliwe.

Rita inabidi mliangalie hili, isiwe ni lazima majina ya wazazi wote wawili wawepo kwenye cheti cha kuzalia. Kuwe na option ya mzazi mmoja Kama single parent, sio kulazimisha majina ya baba eti kama humuweki baba wa mtoto weka baba yako au kaka ilimradi ile nafasi ya baba mtoto isiwe wazi.

Nchi za wenzetu hata hapo Kenya tu wanafanya hili, baadae kama baba atarudi na mama ataridhia mtoto atumie jina la baba, wanarudisha cheti na kuongeza jina la baba.

Na hii pia inaleta matatizo in future utakuta documents za baba zinahitajika just because jina lake liko kwenye cheti Cha kuzaliwa na hapo utakuta hamna mawasiliano. Lakini ukiwa single parent wanajua baba hayuko kwenye maisha ya mtoto. Eg uende kuapply passport au visa uhamiaji na ubalozi kote watataka consent letter kutoka kwa baba kuthibitisha anakubaliana mtoto asafiri.

Kuwa mzazi sio kuzalisha/kuzaa tu, Lazima Kama mzazi ubebe majukumu yako. Iwe mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako, Watoto lazima wapewe kipaumbele.

Rita msilazimishe watu kuwa mababa kwa kuweka majina yao kwenye cheti Cha kuzaliwa wakati hata hajui sura ya mtoto. Sheria ibadilishwe, Option ya single parent inahitajika.
Baba anayewekwa kwenye cheti cha kuzaliwa ni mzazi in a biological sense and not in a material sense. Kwahiyo hata kama hachangii kwenye malezi bado ni mzazi kibaiologia.
 
Hakuna mtoto asie na baba. Cheti ni identity na huwezi kujua kitatumikaje na mwanao atakapokua mkubwa. Hata kama hakusaidii kulea, mlishirikiana kutia mtoto ndani ya kizazi. Hasira zako za kumkosa mwanaume zisiwe sababu ya kuvuruga identity ya mtoto. Kuna siku atakuja kujikuta anaoa ama kuolewa na ndugu yake wa baba mmoja.
 
Utapendwa na wabinafsi na wenye hasira. Sio all single parents wako bitter. Ubinafsi ni kusema 'if i cant have you, then our kids can't have you either '
Hiyo Mada lazima itapendwa sana na Ma single Parent!!
 
What about waliofariki kabla hata ya mtoto kuzaliwa?

Ya ubakaji na sperm donation inaweza kuwa rare case, nayo nadhani ingeandikwa father unknown badala ya kuandika babu ama Kaka
Umeandika jambo nyeti na linalofikirisha.

Kuna matukio ya ubakaji na artificial insemination nk..... Hizi pia ni similar scenarios zinazohitaji kutizamwa.

Kuwa baba sio swala la kukojoa tu na kukimbia.

Kuwa baba ni swala la uwajibikaji zaidi kuliko kumwaga mwaga hivyo vishahawa vyako.

Hata sungura nao wanakojoa na kuzaa, to put the records clear.

Kwahiyo msijifanye fanye vidume hapa kwamba kokojoa ati ni big deal kivile. Hata panya wanakojoa na kuzaa.

Rita waliangalie hili kwa makini.

Na si ajabu watendaji wa rita wana fikra za kijinga jinga kama hizi za wachangiaji humu!

Ati nilikojoa? so what?
 
Umeandika jambo nyeti na linalofikirisha.

Kuna matukio ya ubakaji na artificial insemination nk..... Hizi pia ni similar scenarios zinazohitaji kutizamwa.

Kuwa baba sio swala la kukojoa tu na kukimbia.

Kuwa baba ni swala la uwajibikaji zaidi kuliko kumwaga mwaga hivyo vishahawa vyako.

Hata sungura nao wanakojoa na kuzaa, to put the records clear.

Kwahiyo msijifanye fanye vidume hapa kwamba kokojoa ati ni big deal kivile. Hata panya wanakojoa na kuzaa.

Rita waliangalie hili kwa makini.

Na si ajabu watendaji wa rita wana fikra za kijinga jinga kama hizi za wachangiaji humu!

Ati nilikojoa? so what?
Kuna baba mzaz na baba mlezi, inamaana mtu akikulea ndo unampa cheo chakua baba mzaz hatakama nimjomba wako!!? Cheo chakua baba mzaz hakibadilik abadan hatakama hutoi chochote
 
Mwanzo Kama alijifanya mpole ili uzae je?

Dawa ya Moto ni moto tu, Bora huo ubin nimempa wa babangu wallah
Mwanaume aliyesiriazi na maisha na ambaye hawezi kutupa uzazi wake anajulikana tu, tatzo nyie wanawake mnapapara sana. Mtu hata hujamjua vzuri ushamvulia chupi na ushajilengesha mimba Sasa hapo unategemea nn. Narudia tena mwanaume aliyesiriazi na ambaye hawezi kukana mtoto wake anajulikana tu tatzo mnapapara sana
 
Shida ni hao wanawake kujibebesha mimba ili kumnasa mwanaume wakifikiria kumzalia mtu ndio upendo, licha ya yote hayo wanaume irresponsible inabidi watungiwe Sheria Kali why wasisuse watoto, wakati watoto hawakuwatuma kuwaleta duniani kwa zinaa zao
 
Na hawa wanawake wanaowazalia watu kwa lazima ili wawanase!? Wao sheria zao ziweje 🙂

Na tutaprove VIP kama kulikuwa na consent from both parties!? Maana itakuwa your words against mine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Napo Sheria iwabane kulinda mtoto na ikitokea ni lazima wakutane kulea mtoto, na wengi huzaa baada ya kuambiwa nizalie walivo wajinga wanabeba mimba kweli
 
Napo Sheria iwabane kulinda mtoto na ikitokea ni lazima wakutane kulea mtoto, na wengi huzaa baada ya kuambiwa nizalie walivo wajinga wanabeba mimba kweli
Na sio wajinga tu,ni wapumbavu level ya daraja la kigamboni
 
Na sio wajinga tu,ni wapumbavu level ya daraja la kigamboni
Kuna wanawake hutegesha mimba ili kupata unafuu wa maisha au kuharibu ndoa za wengine sasa mwanaume anarudi kwa familia yake unafikiria huyo mtoto atapata equal treatment na wa ndoani. Tukiacha ubinafsi tutaacha kutesa watoto kisaikolojia, Mimi kuliko nizae mtoto aje kuteseka ni Bora kuacha kumzaa
 
Unadhani kuwa mzazi ni kuweza kuzaa/kuzalisha tu?? Kuwa mzazi ni kuwa responsible for your kids haijalishi mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako Watoto lazima uwape kipaumbele. sio unazalisha huko halafu unatekeleza Watoto then unajiita Baba. Hapo ni sperm donor tu
Tatizo la kudanga mtu anafanya ngono na watu 10 kwa wiki. Mtoto akizaliwa lazma uwe na doubts huwezi kuambiwa na jamvi la wageni mtoto wako tukubali kirahisi. Most men are responsible for their kids shida kina mama wanafanya child support ni income/profit generating activity. Kila siku kudai hela over and above income ya baba wanaume wanaamua kususa plus paternity za watoto full of doubts due to multiple sexual patners modern women have
 
Napo Sheria iwabane kulinda mtoto na ikitokea ni lazima wakutane kulea mtoto, na wengi huzaa baada ya kuambiwa nizalie walivo wajinga wanabeba mimba kweli
Hahahaha.. crazy people crazy world. Kikubwa watu waelimike tu so they can make right and sound decisions.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom