GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,913
- 10,580
Kuwa baba ni swala uwajibikaji sio kumwaga mwaga vishahawa vyako na kukimbia.Kuna baba mzaz na baba mlezi, inamaana mtu akikulea ndo unampa cheo chakua baba mzaz hatakama nimjomba wako!!? Cheo chakua baba mzaz hakibadilik abadan hatakama hutoi chochote
Panya wanakojoa na kuzaa, tena wanazaa kwa mafungu mafungu mpaka watoto buku kwa mwezi mmoja tu.
Kwahiyo kumwaga sio ishu sana wala usijitutumue hapa.
Mtoto apewe jina la baba mlezi kama inawezekana. Huyo ndio baba halisi kwa kuzingatia maana stahiki ya neno "BABA".
Unamwaga mwaga vishahawa vyako ati nilikojoa!
What is kukojoa?
Baba ni kuwajibika na kulea watoto na familia. Hiyo ndio essence ya kuweka jina la baba kwenye cheti.
Wanataka kujua na kuhakiki kwamba huyu mtoto atakuwa katika mikono salama.
Hili sio swala la kukojoa. Hata panya wanakojoa na kuzaa watoto buku kwa mwezi mmoja tu!
Kama swala ni kukojoa, panya walipaswa kupewa nishani ya urijali.