Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Hahaha! Sasa mengine yapi..
Ushauri tulee sote .. mzazi mwenzangu awe anakuja kusalimia.. you might end up being friends ...who knows.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kutaneni kokote mtoto awazoe na sio mji ninaoishi Mimi aisee, kila mtu na mji wake Mambo ya urafiki naye staki tu mazoea ka alishindwa kujenga na aliyezaa naye Mimi nitaweza, maana hapo nikukaribisha uharibifu
 
Hahaha! Hivi Mabibi waliwezaje!? 🙂
Watoto inabidi wawe harmonized wakilelewa kwa Cariha walelewe huko... Wakilelewa kwa Grena basi wote walelewe huko.. ikishindikana waletwe tutafute nyumba moja kubwa tuleane sote humo.. kwani shida iko wapi 😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
The fact is.providing for children is my duty BUT dealing with an overbearing woman can actually make the whole process a punishment.In that case you can not blame a man who chooses to stay away from a venomous woman.It is a fact you cannot hide your poor taste in men by punishing the KID and denying them right to know their parents.SUCH is a FACT.
I did not mention anywhere that the parents should develop a friendship or whatsoever. You can hate that woman as much as you can but fact remains, Provide for your kids, be a Responsible father.
 
Hoja ya maana sana hii. Kuna ndugu zangu waliozalishwa na wanaume halafu wakapotea, huwa nawauliza kwa nini mnawaandisha watoto kwa ubini wa mtu ambaye hachangii hata mia. Kwa hiyo wananiandika mimi anko wao.
We ndio sperm donor! Acha waliotoa jasho lao kumwaga mbegu waandikwe wew nibaba mlezi sio baba mzaz
 
Akikataa kutoa matunzo asahau mtoto wallah na delete jina lake permanent kabisa, siwezi ruhusu mwanangu awe na baba suruali Bora angekufa kabisa ijulikane.
Single mom mnastress balaa mkae kwakutulia ugomvi wenu haumuhusu mtoto
 
Kama amebakwa afanyeje sasa?
So watu wote huwa wanabakwa..... Unaweza nipa list ya watu wanaobakwa na hawajui wahusika?!

Na hata ikitokea hivyo bado mtu si atakuwa na mpenzi wake au hata kama hayupo si atampata.... Huyo ndio ataandikwa.
 
Naiona point yako pale mtoto anapopatikana kwa njia ya kupandikiza mbegu za mwanaume zilizoko maabara.
Naona na namna ya kumpata iongezwe kama ni direct dudu au artifitial insermination lab fulani
 
Hahaha! Hivi Mabibi waliwezaje!? 🙂
Watoto inabidi wawe harmonized wakilelewa kwa Cariha walelewe huko... Wakilelewa kwa Grena basi wote walelewe huko.. ikishindikana waletwe tutafute nyumba moja kubwa tuleane sote humo.. kwani shida iko wapi 😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mabibi zetu walivumilia ujinga mwingi sababu zilikuwa enzi za Zama za mawe za kale, Sasa Mimi naanzaje kujichosha kubeba mzigo wa starehe za wengine Cha kufia nini I'm working hard for my precious kid's na saa nyingine nisafiri, hata mda na wanangu unakuwa mdogo then nihangaike na starehe za wengine never on earth wallah. Zamani Mambo hayakuwa tight ka sikuhizi.
Kwanza mazoea na mke mwenza plus mwanawe staki hata kusikia asije nirogea wanangu na mawivu ya kijinga wallah
 
Na stress zetu zinawapelekesha mpaka mkufe na watoto hampati ng'o. C.c baba diamond
Diamond anaitwa nasib abdul...mama diamond hakumnyima mwanae kupata jina lababa aliesababisha mimba mzee abdul kwaio muwaache watoto waamue kuhusu baba zao sio kuingiza mihemko yenu binafsi
 
Cariha unamaneno mazito sana 😀

Ila as a Queen that you should be.. why work!? Let the father work stay home! Lea vyema ..more time with the kids.. and hubby..just a perfect environment...

Sometimes I feel like this all parents working think kinda sets everything on [emoji91] ..au am naive!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na stress zetu zinawapelekesha mpaka mkufe na watoto hampati ng'o. C.c baba diamond
Umatumia kinywaji gani?
Hii CC yako haijakaa vyema au huyo baba diamond ana account humi JF? Hebu acha kutupigia kelele hapa, kama vipi kalalwe! Ishu ya baba diamond ni tofauti na mada jinsi ilivyo.
 
Cariha unamaneno mazito sana 😀

Ila as a Queen that you should be.. why work!? Let the father work stay home! Lea vyema ..more time with the kids.. and hubby..just a perfect environment...

Sometimes I feel like this all parents working think kinda sets everything on [emoji91] ..au am naive!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maneno gani mazito janani?
Honestly siwezi kukaa nyumbani nisifanye maendeleo yangu binafsi na wanangu nikitegemea mwanaume alete kiasi ambacho akitoshi hapo bado hajagawa kwa michepuko, Bado Kuna Mambo mengi ya kufanya I want something best for my kids kuanzia Mambo shule, a good place to sleep, so siwezi kuwa na assurance kwa mwanaume wa kizazi hichi walivo wabahili hawawezi kutunza hata mwanamke wanapenda mteremko tu. So wanangu na kufanya kazi kwa bidii nikipaumbele changu.
 
Umatumia kinywaji gani?
Hii CC yako haijakaa vyema au huyo baba diamond ana account humi JF? Hebu acha kutupigia kelele hapa, kama vipi kalalwe! Ishu ya baba diamond ni tofauti na mada jinsi ilivyo.
Wewe unashelewa bear naona mada inaenda kulingana na comments niliyozojibu au Kuna guide book ya kujibia huu Uzi.
Halafu kitu hakikupendezi niweke ignore list, and it's seems umetelekeza mtoto wewe
 
Diamond anaitwa nasib abdul...mama diamond hakumnyima mwanae kupata jina lababa aliesababisha mimba mzee abdul kwaio muwaache watoto waamue kuhusu baba zao sio kuingiza mihemko yenu binafsi
Nakwambia sasa hampati hyo haki hata mfanyeje
 
Wewe unashelewa bear naona mada inaenda kulingana na comments niliyozojibu au Kuna guide book ya kujibia huu Uzi.
Halafu kitu hakikupendezi niweke ignore list, and it's seems umetelekeza mtoto wewe
Ishu ya baba Diamond, jina lake ni Nassib na baba yake ni Abdul Juma je mama yake hakuandika jina la baba yake kwenye cheti? Ndio maana nikakwambia ni tofauti. Hata kama itakuwaje ila ubin wa baba ni haki ya mtoto, tena endapo mtoto atakuwa na kufikisha miaka 18 anao uwezo wa kukushtaki wewe mama yake na sheria itakuhukumu kwa kumnyima haki yake. Kwetu sisi waislam mtoto kisheria anaweza kuchukuliwa na kulelewa na baba kuanzia akifikisha miaka 7.
Umelewa, kalalwe![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Wewe unashelewa bear naona mada inaenda kulingana na comments niliyozojibu au Kuna guide book ya kujibia huu Uzi.
Halafu kitu hakikupendezi niweke ignore list, and it's seems umetelekeza mtoto wewe
Then cariha Unaonekana bado ni binti mdogo! Ukikuwa utaelewa, huu mchezo hauhitaji hasira! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Maneno gani mazito janani?
Honestly siwezi kukaa nyumbani nisifanye maendeleo yangu binafsi na wanangu nikitegemea mwanaume alete kiasi ambacho akitoshi hapo bado hajagawa kwa michepuko, Bado Kuna Mambo mengi ya kufanya I want something best for my kids kuanzia Mambo shule, a good place to sleep, so siwezi kuwa na assurance kwa mwanaume wa kizazi hichi walivo wabahili hawawezi kutunza hata mwanamke wanapenda mteremko tu. So wanangu na kufanya kazi kwa bidii nikipaumbele changu.
😀 Cariha acha hizo bwana.. Wasitunze vipi.. Au unakopita huko!?

Seriously life has never been easy.. unajua kuna kipindi mtoto Anakuona unavyostress kumpeleka shule ghali ..haifurahii na nimekuja kugundua wengi tunadhani if we give the best then kids will love is for that.. nope..
If we are the best regardless of what we give them kids will be the happiest. 🙂 Nachotaka kusema ukimpata. A kidogo anacholeta.. mnaadjust mfumo tu wa maisha mnajitosheleza.. 🙂 michepuko huko Daslama sisi tunakaa mbwinde tunachepukia wapi.. mji una mitaa miwili!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usiandike jina la baba? hata kama atekelezi majukumu yanayopasa kwa mtoto bado atabaki kua baba tu,na kwanini uandike jina la ndugu yako au mzazi wako?kwa maana hiyo ni kwamba baba mzazi unamchukulia ka alishafariki na hapo tiar n dhambi tena kubwa tu, siku zote mzazi ni mzazi ata kama alikukana bado atabaki kua mzazi,sio jukumu lako kumjaji mana hiyo sio kaz yako cha msingi acha na usamehe Mungu ndie anaeshughulika na vyote
 
Back
Top Bottom