Yeah but as a father too sometimes you wish to have a bond with your kids sema ndo hivyo chapa lazima zitafutwe na Mama ndio kimbilio pekee linalobaki.
Bottom line we need each other.. sisi tunaweza kuwa irresponsible ..unworthy to your eyes.. but sadly we are the seed of life to that boy or girl.. and that is our right to be recognized and the right of the child to be informed.
Haya mengine nahisi kutakuwa na ugumu sana kudeal nayo kisheria..maana yako more personal.
Kwanza malezi ni nini!?
Ni fedha!? Ni uwepo!? Je uwepo na fedha vinaweza kuwa interchangeable!? Kama hapana tunawezaje kuvipima ili vitolewe kwa usawa!? Kama ndiyo nani anapaswa kukaa na mtoto.. mzazi mwenye uelewa na maadili bora au Mama tu by default!?
Tukishindwa kuoana, tukagombana sheria itatoa provisions zipi!? Lazima tulee pamoja!? ..je mama akibaki na mtoto, na baba hawezi kuhudumia kifedha, ila uwepo pekee.. itakuwaje!?
Nadhani sheria kukaa kimya kwenye hili.. ni busara kubwa sana,. Hili ni la busara.. na tukikaa tukaacha kujiangalia wenyewe for once.. na tukaangalia Mtoto na future yake.. wote will come around fine.
Sasa Mkuu, kweli utakaa hapo mtoto wako hajala vizuri na wewe una uwezo, kisababa yake alimtelekeza!? Au utakaa kuchukia mtoto wako amenawiri na kupendeza kwa nguvu zako kisa baba yake alimtelekeza!? Is there love for that kid!?
Maana love for my kids Trumps everything.. I don't care what you didn't do.. am proud a d happy my kids are doing fine.. that's love
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app