Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Hata Kama nimekimbia mimba lazima utaandika jina langu tu "Masumbuko Malinyingi"maana mimba hujaitunga peke ako binadamu hatutumii asexual reproduction


Tofauti na hapo labda umwandike kaka ako
Mimi ukikimbiq mtoto naandika ubin wa babangu au ndugu yangu wowote wa kiume
 
Unadhani kuwa mzazi ni kuweza kuzaa/kuzalisha tu?? Kuwa mzazi ni kuwa responsible for your kids haijalishi mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako Watoto lazima uwape kipaumbele. sio unazalisha huko halafu unatekeleza Watoto then unajiita Baba. Hapo ni sperm donor tu
Sasa hiyo option ndio haipo, hata kama huyo sperm donor hana mchango wowote!
 
Hoja ya maana sana hii. Kuna ndugu zangu waliozalishwa na wanaume halafu wakapotea, huwa nawauliza kwa nini mnawaandisha watoto kwa ubini wa mtu ambaye hachangii hata mia. Kwa hiyo wananiandika mimi anko wao.
 
Hio option inafaa kwa cheti cha Yesu tu ila kama ulikubali amwage ndani hakuna namna muandike tu unless labda uwe ulifanya upandikizaji nao hizo sperm zina mwenyewe.
Kwa mahangaiko aliyo yapata Yusufu hastahili kuonekana kwenye cheti cha kuzaliwa cha Yesu?! Basi sisi baba walezi hatuna thamani kwa watoto tulio walea.
 
Anamkataaje?Anamkubalije?Uliyekataliwa ni wewe sio mtoto.
Akikataa kutoa matunzo asahau mtoto wallah na delete jina lake permanent kabisa, siwezi ruhusu mwanangu awe na baba suruali Bora angekufa kabisa ijulikane.
 
Sijakuelewa!
Hata kama bado ataendelea kuwa mzazi mwenza, kwani hakuna yai litajirutubisha lenyewe bila sperm.
 
Bado unakuwa umemkosea mtoto haki yake ya msingi.Ni ubinafsi tu unakuwa huna tofauti na huyo aliyekukataa
Baba ndio kamkosesha haki maana ni mjinga na Mimi sioni umuhimu wakuandika jina lake kwa mwanangu asije na yeye kurithi tabia zake chafu
 
Sasa hiyo option ndio haipo, hata kama huyo sperm donor hana mchango wowote!!
Ndio maana hili limeletwa hapa. Najua humu Kuna watu wengi wenye nafasi tofauti. Hata Rita litawafikia waone Kuna option nyingine sio lazima both parents
 
Hivi yule jamaa alikuwa sijui mkuu wa nini kwa sasa anaishi Kigamboni, kwa mapito yake (alienda hadi China) hayawezi kulijibia hilo swali lako?
Ila kuingiziana kwa style ya kuchunguliana tamu sana
Chief sijakuelewa!
Hata kama bado ataendelea kuwa mzazi mwenza, kwani hakuna yai litajirutubisha lenyewe bila sperm.
 
I have a question,hivi kwa scenario 'uyo mum' alikua single, na alikua raped na unknown assailant kupelekea mimba,kwenye birth certificate wanajaza nini?
anaweza kujaza jina na mama. teseme mama anaitwa Lucy Robert. mtoto aitwe Nancy Lucy Robert
 
Ungemnyima tangu mwanzoni.Kwa nini ulimpa mpaka mimba ikaingia
Mwanzo Kama alijifanya mpole ili uzae je?

Dawa ya Moto ni moto tu, Bora huo ubin nimempa wa babangu wallah
 
Hata Kama nimekimbia mimba lazima utaandika jina langu tu "Masumbuko Malinyingi"maana mimba hujaitunga peke ako binadamu hatutumii asexual reproduction


Tofauti na hapo labda umwandike kaka ako
Kuna watu wanakataa mimba, kwa hiyo ajazwe alichokikataa. Halafu kama umekimbia mimba itakuwaje lazima.
 
Hili swali lako linawezekana kupata majibu yake kwenye Uislam pekee tena kwa mtoto wa nje ya ndoa! Kwani kwenye Uislam mtoto wa nje ya ndoa huchukua ubin kwa mama yake au ubin wa Abdullah.
 
Chief sijakuelewa!
Hata kama bado ataendelea kuwa mzazi mwenza, kwani hakuna yai litajirutubisha lenyewe bila sperm.
Yule mkuu wa mji mstaafu inasemekana watoto wake wamepatikana kwa njia ya kupandikiza... Nilimaanisha hivyo mkuu
 
Mwanzo Kama alijifanya mpole ili uzae je?
Dawa ya Moto ni moto tu, Bora huo ubin nimempa wa babangu wallah
Sasa kama alitaka uzae kwa nini akatae mtoto.We ulijilengesha kisha ukataka mimba halafu ukaleta dharau akakubwaga.
 
Back
Top Bottom