Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

wakilifanya hilo wanawake mtakuwa na viburi Sana na thamani ya baba itaanza kupotea . hakuna mwanaume atakaye ku support huu mrengo wako wa kushoto tumia njia mbadala kufikia na kutimiza mahitaji yako otherwise subiri miujiza kutoka mlimani mkuu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Thamani haitapotea kwa wababa wanajua majukumu yao na kujali Watoto wao. Hii ni kwa baba wanaotekeleza Watoto, deadbeats.
 
True Rita wabadilike kwa kweli mtu ka amemkataa mtoto Kuna haja ya kumwandika kweli?
Tatizo lenu nyie wanawake mna huruma sana. Huyo mwanaume aliyemkataa mtoto leo akija kukuomba muonane samakisamaki posta baada ya miaka 2 mnaenda na mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
 
Kuna maswali ya kujiuliza kwanza kabla ya kuleta huo uzi hapa.

1. Huyo mtoto ulipata mwenyewe kama bikira maria?!

2. Unajua sheria zinatungwaje?! Unadhani wanatumia hisia za mahaba au za hasira?!

3. Unahusishaje jazba zako za kimahusiano na malezi ya mtoto. Mtoto anahitaji baba yake awe anatoa pesa au hatoi. Kujua tu mimi baba yangu yule pale ni haki yake kikatiba. Wewe unataka kumfuta katika maisha yake kabisa.....unadhani utaweza?!

4. Kabla ya kupata nae mtoto ulijiridhisha kuwa ni mtu responsible wa kuweza kubeba majukumu ya malezi ya familia?! Then why unahangaika kutoa hukumu kwa upande m'moja wa mwenzako na wewe usijihukumu kwa kumpa nafasi bila kujiridhisha kuwa atafaa kuwa baba mtoto na mume kwako.
 
Sasa kama ulikubali amwage ndani ulitegemea nini hiyo option inatakiwa kutumika kwa waliopata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu au kubakwa ila kwa wale waliotanua miguu kisa chips & soda lazima waweke majina ya sperm donors wao.
Kabisa yaani. Bikira maria mwenyewe baada ya kumpata brother Yesu, still akamuandika Joseph kuwa step-father.
 
Kuna Kuzaa na Kulea
Kuna Unachotaka wewe mzazi, na Kilicho bora kwa mtoto.

Tunachotunza kwenye vyeti vya kuzaliwa ni historia. Alikuwepo Kanyunyu, Alimuoa Atulinda na wakamzaa Mvangumbandwe. Ni haki ya Mvangumbandwe kujua wazazi wake ni akina nani biologically.

Tatizo ni kuamini mtoto ni possession.. kama ilivyo pochi au mkanda.. mtoto ni entity inayojitegemea wewe kama mzazi ni custodian kwa kipindi tu.

Imagine mama yako angeamua usimjue baba yako.. au ni kesi ngapi watu wanaamua wenyewe kuwatafuta wazazi wao despite kuwa adopted kwenye familia tajiri!?

Sasa umnyime mwanao peace of mind for an ego you cant suppress!! Hiyo ni Umimi wa hali ya juu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kuna watu wanamajina ya baba zao na hawajawahi kuwaona. Kuwa baba si tu kujua kuzalisha Ila kujua majukumu kama mzazi na kujali Watoto wako bila kujali mpo pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako. And this single parent thing applies to deadbeats,sperms donor
 
Mleta mada kazungumzia kwa single parent mzazi aliezingua jina lisionekane kwenye cheti cha mtoto cha ajabu sasa kinachojadiliwa ni jina la baba inamaana single parent ni mama tu?

Au ndio tuseme wazinguaji(watelekezaji) ni wababa tu!!!
 
Kuna maswali ya kujiuliza kwanza kabla ya kuleta huo uzi hapa.

1. Huyo mtoto ulipata mwenyewe kama bikira maria?!

2. Unajua sheria zinatungwaje?! Unadhani wanatumia hisia za mahaba au za hasira?!

3. Unahusishaje jazba zako za kimahusiano na malezi ya mtoto. Mtoto anahitaji baba yake awe anatoa pesa au hatoi. Kujua tu mimi baba yangu yule pale ni haki yake kikatiba. Wewe unataka kumfuta katika maisha yake kabisa.....unadhani utaweza?!

4. Kabla ya kupata nae mtoto ulijiridhisha kuwa ni mtu responsible wa kuweza kubeba majukumu ya malezi ya familia?! Then why unahangaika kutoa hukumu kwa upande m'moja wa mwenzako na wewe usijihukumu kwa kumpa nafasi bila kujiridhisha kuwa atafaa kuwa baba mtoto na mume kwako.
Point nzito sana hii mkuu. Upo vizuri sana kaka mkubwa.
 
Matokeo ye watoto was baba mmoja wanafunga ndoa
Mkuu simaanishi mtoto asimjue baba. akitaka kumjua au kuweka ukaribu nae ataonyeshwa. Ila kwenye cheti Cha kuzaliwa Mimi Kama mzazi ninayepambana mwenyewe ninahaki ya kuchagua nimuweke baba au La. Sio Rita wanilazimishe kumweka mtu asiyejali kuhusu mtoto
 
Kuna Kuzaa na Kulea
Kuna Unachotaka wewe mzazi, na Kilicho bora kwa mtoto.

Tunachotunza kwenye vyeti vya kuzaliwa ni historia. Alikuwepo Kanyunyu, Alimuoa Atulinda na wakamzaa Mvangumbandwe. Ni haki ya Mvangumbandwe kujua wazazi wake ni akina nani biologically.

Tatizo ni kuamini mtoto ni possession.. kama ilivyo pochi au mkanda.. mtoto ni entity inayojitegemea wewe kama mzazi ni custodian kwa kipindi tu.

Imagine mama yako angeamua usimjue baba yako.. au ni kesi ngapi watu wanaamua wenyewe kuwatafuta wazazi wao despite kuwa adopted kwenye familia tajiri!?

Sasa umnyime mwanao peace of mind for an ego you cant suppress!! Hiyo ni Umimi wa hali ya juu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimeipenda hii mkuu
 
Mleta mada kazungumzia kwa single parent mzazi aliezingua jina lisionekane kwenye cheti cha mtoto cha ajabu sasa kinachojadiliwa ni jina la baba inamaana single parent ni mama tu?

Au ndio tuseme wazinguaji(watelekezaji) ni wababa tu!!!
Wazinguaji wengu ni kina baba mkuu. That's why unaona wanajitetea Sana hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Kuna watu wanamajina ya baba zao na hawajawahi kuwaona. Kuwa baba si tu kujua kuzalisha Ila kujua majukumu kama mzazi na kujali Watoto wako bila kujali mpo pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako. And this single parent thing applies to deadbeats,sperms donor
Mkuu ninakuelewa.. but this applies more for a possession .. kama gari au kikaango.. sio mtu. Mtoto ni Mtu.. ana haki ya kujua alitoka wapi na kwa nani..

Sasa baba yake kama angekuwa mwehu muokota Makopo.. huyo ndiye baba yake.. you never know lini na wapi hii taarifa itakuja kuwa ya msaada.

Mkuu nachokiona hapa ni frustrations za mzazi mmoja kuona ameachiwa mzigo. Too bad that's the world and it has been that way since forever.

Kilichotusaidia all this time tumekuwa objective.. na personal issues hazijatusideline kwenye kufikia magoli muhimu.

Amesema mtaalamu mmoja humu.. what if umekaa barazani binti yako uliyemuita Masawe wakati baba yake ni Mwesiga anakuletea mume mtarajiwa anayeitwa Shabani Mwesiga.. na wewe unasema waoane.. kwenye vikao mnagundua ni ndugu!?

Au what if the is a rare genetic issue that runs in that bloodline.. na nyie hamna historia yake!? Ile Bukoba there are medicines taken wakati wa ujauzito kuprevent certain diseases mtoto atakapokua.. na often ikijulikana hakupata hii tiba ukubwani kina mistishamba ya kusaidia.. sasa unakuta mtoto sio tu anaitwa mosha ila pia anaamini ni mchagga..

Kuwa single parent hakukuaanza leo.. sema single parents waleo wamekuwa too demanding. Kama ndoa haiwezekani mnaweza kukaa kama watu wazima na mkaona namna sahihi ya kusaidiana kulea. Zamani lilifanyika vizuri.. kabisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo eti watoto wabaumizwa na majina hyo uongo mtupu, sasa baba kazi yako ilikuwa kusimamisha umekimbia majukumu sasa huo ubaba uwe wa nini, hapo ni kuandika jina la ujombani ambao hawawezi kutelekeza watoto kamwe. Mimi mwanaume akizingua Wala sijichoshi naandika jina nililotumia Mimi na hivi ka huonekani tangu utoto wake usitegemee kupendwa uzeeni ukiwa ushazeeka. So naunga mkono hoja ya kuwa na option hyo kwa single parent
Wewe tena hupigiwi unacheza pakavu unateleza.
 
Rita msilazimishe watu kuwa mababa kwa kuweka majina yao kwenye cheti Cha kuzaliwa wakati hata hajui sura ya mtoto.

Na tukizaa tusiende RITA kuchukua cheti mpaka mtoto amalize sekondari tuone kama katunza na kasomesha!
 
Back
Top Bottom