Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

Kuwa baba ni swala uwajibikaji sio kumwaga mwaga vishahawa vyako na kukimbia.

Panya wanakojoa na kuzaa, tena wanazaa kwa mafungu mafungu mpaka watoto buku kwa mwezi mmoja tu.

Kwahiyo kumwaga sio ishu sana wala usijitutumue hapa.

Mtoto apewe jina la baba mlezi kama inawezekana. Huyo ndio baba halisi kwa kuzingatia maana stahiki ya neno "BABA".

Unamwaga mwaga vishahawa vyako ati nilikojoa!

What is kukojoa?

Baba ni kuwajibika na kulea watoto na familia. Hiyo ndio essence ya kuweka jina la baba kwenye cheti.

Wanataka kujua na kuhakiki kwamba huyu mtoto atakuwa katika mikono salama.

Hili sio swala la kukojoa. Hata panya wanakojoa na kuzaa watoto buku kwa mwezi mmoja tu!

Kama swala ni kukojoa, panya walipaswa kupewa nishani ya urijali.
[emoji23][emoji23][emoji23] waambie Hawa wanaume suruali wanaokwepa majukumu Kama mimba hata mbuzi anatia mimba, panya, pia ubaba ni zaidi ya kukojoa, baba ni yule anayekulea failure to do so unapoteza ubaba wako.
 
Pole mkuu. Case yako ni tofauti angalau wewe umeonesha bidii za kutaka kutimiza wajibu wako Kama baba Ila shida iko kwa mzazi mwenzako.

Wanaozungumziwa hapa ni wale mababa ambao they don't bother Yani. Kutoka ujauzito Hadi mtoto anazaliwa hajali na hajui wanaendeleaje hata sms ya kumjulia Hali mtoto hakuna.
Grena Umeona how hard it is to stay consistent na hii nadharia yako!? Somehow if you get to hear both parties kwenye kila ugomvi utajua kuna kiini ambacho often huwa kina mashiko.

Kwa mfano wa Ndugu yangu hapa ungepata nafasi ya kumsikia binti bila kumsikiza huyu bwana lazima muda huu tungekuwa half way kwenye presentation ya mabadiliko ya sheria Bungeni.. 🙂 maana hata huyo binti she is genuinely angry.. na ukimsikiza atakuwa na sababu kabisa nzito ..

Ya Ngoswe aachiwe Ngoswe.. asiulizwe mazoea. 🙂 Sema punishment kwa mtoto that ain't cool..

TBH this post got me thinking Sana! Na contributions just cements the fact we have become barbaric not only men but women too ..evil in our own ways.

GOD Have Mercy!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama ulikubali amwage ndani ulitegemea nini hiyo option inatakiwa kutumika kwa waliopata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu au kubakwa ila kwa wale waliotanua miguu kisa chips & soda lazima waweke majina ya sperm donors wao.
Asante Marwa_J_Merengo
 
Hivi katika maisha tuliyonayo kuna mtoto alipatikana kwa mzazi mmoja pekee? Nitaunga mkono hoja yako kama siku ikiweezekana mkianza kupata mimba bila ya mwenza mlieshirikiana, kuingiziana, kukatikiana, kuwekana kifo cha mende, dogg style, popo kanyea mbingu!

I'm out.
Don Juan mbavu zangu jamani... lol
 
Grena Umeona how hard it is to stay consistent na hii nadharia yako!? Somehow if you get to hear both parties kwenye kila ugomvi utajua kuna kiini ambacho often huwa kina mashiko.

Kwa mfano wa Ndugu yangu hapa ungepata nafasi ya kumsikia binti bila kumsikiza huyu bwana lazima muda huu tungekuwa half way kwenye presentation ya mabadiliko ya sheria Bungeni.. 🙂 maana hata huyo binti she is genuinely angry.. na ukimsikiza atakuwa na sababu kabisa nzito ..

Ya Ngoswe aachiwe Ngoswe.. asiulizwe mazoea. 🙂 Sema punishment kwa mtoto that ain't cool..

TBH this post got me thinking Sana! Na contributions just cements the fact we have become barbaric not only men but women too ..evil in our own ways.

GOD Have Mercy!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu kisa Cha kuleta hii mada I have friends na wadada wengine ambao tumezoeana. They were all alone through out pregnancy Hadi kuzaa. Walikuwa kwenye relationship na walikuwa happy lakini ujauzito ulivyopatikana mwanamme anakwambia toa au mwingine anajikata kimyakimya.

Imagine the emotional torture those women's went through, katika kipindi ambacho mwanamke anamhitaji zaidi mwenza wake ni katika Safari ya ujauzito lakini mtu anakutema kama hakujui hata text ya unaendeleaje hakuna.

Yani ukiongea nao hawana hasira na mzazi mwenzake Ila huzuni, mtu anaongea huku analia haamini na hakutegemea ingekuwa Kama ilivyotokea kuwa wenyewe bila support yoyote kutoka kwa mzazi mwenzake. Lakini inabidi akubaliane na hali ili ampambanie mwanae, the future of the kid is in her hands and hers alone.

Unalea mimba, unazaa the guy doesn't bother kujua anything about mtoto. Sasa huyo anahaki gani ya kuwa baba Hadi kuwekwa kwenye cheti Cha kuzaliwa ama Rita wanalazimisha tu???
 
Grena Kwa mwanaume hujui mama.. being a father feels good and terrifies you at the same time.. watu waliooana huwa wanashake maana kuna kushangilia matokeo na kuyapokea na kuishi nayo.. we all come around differently..

Siwatetei..lakini I know a few who took time to realize.. na sisi wengine tulitiwa moyo na waliotangulia.. sio tulikuwa mature ghafla.. kwa wasichana might think this have no emotional burden to men... Ila inayo na ni nzito if you are not strong au hina pa kukuegemeza wengi hushindwa..

Sex is a biological issue.. ukiwa mwanaume kamili lazima uweze. Its natural. Being a father is emotional, and it will be socially demanding. Kwa wengi if not planned this means kissing goodbye life plans.. things you have given away your entire existence thinking about.. that's a big price to pay.. hasa unapokuwa hukupanga.

Kwa scenario kama hiyo naamini issue kubwa ni mawasiliano.. ila sisemi kuwa hawajamaa did good by your girls..nope.. ila kwa wote majuto ni mjukuu.. hata waliokataa na wakakubali late.. always wanajuta. For that time they missed in their kids' lives. And for girls they cry for not believing in their guts ...a man who won't stay can be seen and identified...

And not all good sex means good partner.. that's just objectivity.. wanachofanya is wrong.. ila it doesn't mean women don't have a blame in it.. instead of crying they got to carry what they can and move one with life.. ain't fair..but it is the truth!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
TL;DR.

Argumentum ad-absurdum: Hiyo sheria iwe gender-neutral. Vyeti vingine viwe na jina la baba tu, lisiwepo la mama. Vyeti vingine viwe na jina la mama bila ya jina la baba. Atakayewahi RITA ndiye mwenye mtoto.

Au pengine tuangalie maslahi ya watoto ni yapi (best interest of the children) sheria kama hiyo isije hapa nchini.

Family Law za nchi nyingi hasa zilizoendelea zimepelekea kutetereka kwa mataifa hayo.
 
Nyaraka muhimu za kiserikali ni kama lugha ya Kiswahili...hazijitoshelezi ...muna amini au.???
 
TL;DR.

Argumentum ad-absurdum: Hiyo sheria iwe gender-neutral. Vyeti vingine viwe na jina la baba tu, lisiwepo la mama. Vyeti vingine viwe na jina la mama bila ya jina la baba. Atakayewahi RITA ndiye mwenye mtoto.

Au pengine tuangalie maslahi ya watoto ni yapi (best interest of the children) sheria kama hiyo isije hapa nchini.

Family Law za nchi nyingi hasa zilizoendelea zimepelekea kutetereka kwa mataifa hayo.
Mkuu Sina utaalamu na sheria, lakini acha nitolee mfano Sheria ya wenzetu hapo Kenya katika cheti Cha kuzaliwa. Nchi nyingi za Europe hata US sheria zao inafanana na hiyo

Cheti Cha kuzaliwa kina multiple options sio lazima wazazi wote wawili wawekwe.

Kama mzazi ni single parent hii inatokea Sana kwa kina Mama, Sheria yao inampa haki mzazi huyo kuandika jina lake peke yake ile sehemu ya baba inaachwa wazi. Lakini baadae Kama wakawa na mahusiano mazuri na baba akarudi kwenye maisha ya mtoto, Mama anauwezo wa kurudisha cheti na kuandika jina la baba.
.
Na pia ile ya Kama sisi Tanzania wazazi wote wawili wawepo kwenye cheti.
 
Na zimepelekea jamii zao kutetereka kimaadili.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na zimepelekea jamii zao kutetereka kimaadili.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu ndo maana nimetoa mfano wa nchi ya jirani kabisa Kenya, ili tusianze sema tusiige Mambo ya wazungu yanaharibu maadili.

Kenya maisha yao na Tanzania hayana tofauti kimaadili na tunafanana Kama jamii moja ya Africa ni utofauti tu wa sheria.

Kenya ni moja Kati ya nchi yenye katiba Bora duniani ile iliyopitishwa 2010.
 
Grena kwa sisi wanamipango hatuamini kuna ulazima wa kuwa na mpango mmoja.. huko kunaua diversity..

Watanzania wao kwa wao ni watu tofauti sana.. and as a group our insights values and traditions mildly differ na zile za Wakenya..

Katiba is a road map to our future.. the future we want depends on where we are now And where we want to go and based on this there might be differences kati yetu na wengine maana tuko sehemu tofauti na tunataka kueleka sehemu tofauti tofauti kwa malengo yasiyofanana...

Haimaanishi katiba moja ni bora kuliko nyingine.. its just our goals are different so we require different vehicles to make our journey..

Sasa Kenya are working towards a modern society ambayo largely is influenced with modern Europe.. sisemi Europe is bad ila it might happen Tanzania wakaamua kuchagua a more conservative african society.. na wakatengeneza sheria zao (katiba) around that..

Ubora wa hizi katiba utapimwa kwa uwezo wa kuboresha maisha ya hao watu katika spectrum waliyojichagulia. Na usipoangalia kila moja individually inakuwa kama kulinganisha machungwa na maembe ushindi au ubora utategemea na preference ya mtu.

🙂 Back to our topic.. Tanzania we have a better sense of community ni hapa tu karibuni tumekengeuka... Tumechukua ndoa kwa wepesi sana na huenda ni kwa kuiangalia katika mfumo wa kizungu ambao umeprove failure.

Watoto tumedhani are pets.. watoto ni future men and women..they need help to acquire required knowledge and skills to face the future enjoy it and enhance their experiences.. haya yako ndani yao sio ndani yako.. you simply help along the way.

Na mbaya this entire discussion is based on that.. kama wao wamefail with the highest divorce rate na suicides kwann tufanye model ya ndoa zetu based on that!? Why not India!? Or Malawi!? Even Peru!?
🙂 Au tuamue kujifunza kutoka katika makosa yao turejeshe utaratibu tu wa kimila kama ilivyokuwa.. binti ungoje uolewe ..ukizaa kama punda hovyo tuwatafute nyote wawili mpigwe bakora hadharani na muokote uchafu na kutunza bustani za kijijini mpaka mzae kisha mje muoane ndio muende kwenu.. iwe funzo kwa wote!

Tunaweka katibani kisha tayari tunaendelea na maisha.. maana katiba itsa social contract.. kila mtu akiridhia utekelezaji wake unakuwa ni rahisi.

NB. Kenya iko in infant stage ..bado sana kusema this is great mpaka waende wine full cycle Kisha tutasema they have done it.

Hahaha. Mkuu hata Kama they are in infant stage, that's way better kushinda sisi ambao mchakato uliishia njiani we don't know utarudi ama Lah.

Kwa Hilo la Katiba tuwape hongera zao. Just like walivyokuwa nchi ya Kwanza Africa kutengua matokeo ya Uraisi, Sababu katiba ndio ilimpa judge power ya kutengua.

Halafu hizo nchi ulizomention mkuu mbona zinafata modern society? Malawi, Peru zinaruhusu same sex marriage. Na divorce hata wahindi skuizi wanadivorce.

Tuseme tu mfumo wa maisha kwa Sasa umebadilika ukilinganisha na vizazi vilivyopita. Watu ambao wameshikilia maadili kwa Sasa ni wale indigenous people, wa huko misitu ya Amazon ama hapa bongo Kama wahadzabe vile. Sisi wengine tumekuwa wajuaji Sana
 
Sijauona uhusiano wa majina ya baba na mama na malezi sijui ya mtoto. Mtoto hajazaliwa peke yake waliomzaa wataandikwa majina yao kuhusu swala la malezi hilo haliwahusu rita wao kwenye cheti cha kuzaliwa kazi yao ni kuandika tu wazazi halali wa mtoto hayo mengine hayawahusu.
 
Mkuu Sina utaalamu na sheria, lakini acha nitolee mfano Sheria ya wenzetu hapo Kenya katika cheti Cha kuzaliwa. Nchi nyingi za Europe hata US sheria zao inafanana na hiyo

Cheti Cha kuzaliwa kina multiple options sio lazima wazazi wote wawili wawekwe.

Kama mzazi ni single parent hii inatokea Sana kwa kina Mama, Sheria yao inampa haki mzazi huyo kuandika jina lake peke yake ile sehemu ya baba inaachwa wazi. Lakini baadae Kama wakawa na mahusiano mazuri na baba akarudi kwenye maisha ya mtoto, Mama anauwezo wa kurudisha cheti na kuandika jina la baba.
.
Na pia ile ya Kama sisi Tanzania wazazi wote wawili wawepo kwenye cheti.

Family Law is largely what brought down the Western Civilization. Nowadays Family Law is one of their biggest export. Some countries have taken the Western Family Law gambit hook, line and sinker.

Nikifuatilia kidogo kuhusu Family Law ya Kenya, nikiangalia baadhi ya politically-incorrect indicators za unintended consequences of Western-style Family Law, naona tayari ishajibu huko Kenya. Ukiangalia starting point ya the Western Civilization, mpaka leo hii imekuwa a shell of its glorious past self; halafu ukaweka kwa nchi zetu za Kiafrika ambazo starting point zetu ni za chini sana kuliko za Wamagharibi, the apparent decline of the Western Civilization may appear to be a kid play.

Tukirudi kwenye mada kuu: nimekupata vema sana. Unataka mama awe na option ya kuchagua aweke jina au asiweke jina la mzazi mwenzie. Ukiwapo mbadala huo kwa mama, uwapo pia na kwa baba. Baba anambeba mtoto, anaenda naye RITA, anamwandikisha: mimi ndiye baba yake. Weka jina langu tu. Kwenye jina la mama weka blank. Kama vile tu mama unavyopendekeza aweze kufanya.

Option ya mama kuweka jina analopenda inaishia pale anapochagua mtu wa kuzaa naye. Kama anachagua mtu ambaye mama huyo hapendi alione jina lake kwenye cheti, tough luck. Choices have consequences. Halafu cheti hakiwezi kukaa wazi wakati mama anatafuta baba mwenye mpunga wa kustahili kuwekwa kwenye cheti. Baba siyo pay-per-view. Kwamba ubaba wake unategemea kiasi cha pesa anazompa mama. Contrary to propaganda, baba ni biological, kama ilivyo mama. Baba ni social kwa kiwango kilekile cha alivyo mama. Au mwenzetu hauamini katika usawa wa kijinsia?

Mwingine kasema hapo juu kwamba watoto siyo pets: ni binadamu. Haki mojawapo ya binadamu ni kutambua wazazi wake wote wawili. Nchi za Magharibi unakotaka tuige wamekuja kugundua too late kwamba money does not a father make. Hilo wazo likitekelezwa kwamba pawe na option ya jina la mzazi mmoja, basi iwe ni fursa sawa kwa wazazi wote. Na pia itabidi pawe na fursa ya mzazi mmoja kusema sitaki kuwapo kwenye cheti cha kuzaliwa mtoto husika.
 
Hahaha. Mkuu hata Kama they are in infant stage, that's way better kushinda sisi ambao mchakato uliishia njiani we don't know utarudi ama Lah.

Kwa Hilo la Katiba tuwape hongera zao. Just like walivyokuwa nchi ya Kwanza Africa kutengua matokeo ya Uraisi, Sababu katiba ndio ilimpa judge power ya kutengua.

Halafu hizo nchi ulizomention mkuu mbona zinafata modern society? Malawi, Peru zinaruhusu same sex marriage. Na divorce hata wahindi skuizi wanadivorce.

Tuseme tu mfumo wa maisha kwa Sasa umebadilika ukilinganisha na vizazi vilivyopita. Watu ambao wameshikilia maadili kwa Sasa ni wale indigenous people, wa huko misitu ya Amazon ama hapa bongo Kama wahadzabe vile. Sisi wengine tumekuwa wajuaji Sana
🙂 wako kwenye infant stage ya kitu kile kile kilichoua na kinachoendelea kuua Western civilization..

Ukipanda mahindi utavuna mahindi... Walichopanda ndicho watavuna sema Hapa bado ni mwanzo na mapema kuwapima sawa sawa.

Sasa hivi Wakenya wanataka bwana wa kitanzania au bibi wa kitanzania.. maana ishaanza kujibu huko.. wameanza kuonana maadui.. na bado.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Kwenye suala la cheti cha kuzaliwa hapa Tanzania ni lazima sehemu ya wazazi wa mtoto Baba na Mama majina yao yawekwe. Hili linaleta ugumu kwa single parent ambapo unalazimishwa kumuweka mtu ambaye hana msaada na wewe tangu ujauzito na wala hakusaidii chochote na ukute hajawahi kumuona huyo mtoto tangu azaliwe.

Rita inabidi mliangalie hili, isiwe ni lazima majina ya wazazi wote wawili wawepo kwenye cheti cha kuzaliwa. Kuwe na option ya mzazi mmoja Kama single parent, sio kulazimisha majina ya baba eti kama humuweki baba wa mtoto weka baba yako au kaka ilimradi ile nafasi ya baba mtoto isiwe wazi.

Nchi za wenzetu hata hapo Kenya tu wanafanya hili, baadae kama baba atarudi na mama ataridhia mtoto atumie jina la baba, wanarudisha cheti na kuongeza jina la baba.

Na hii pia inaleta matatizo in future utakuta documents za baba zinahitajika just because jina lake liko kwenye cheti cha kuzaliwa na hapo utakuta hamna mawasiliano. Lakini ukiwa single parent wanajua baba hayuko kwenye maisha ya mtoto. Eg uende kuapply passport au visa uhamiaji na ubalozi kote watataka consent letter kutoka kwa baba kuthibitisha anakubaliana mtoto asafiri.

Kuwa mzazi ni kuwa responsible for your kids haijalishi mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako Watoto lazima uwape kipaumbele. sio unazalisha huko halafu unatekeleza Watoto then unajiita Baba. Hapo ni sperm donor tu

Rita msilazimishe watu kuwa mababa kwa kuweka majina yao kwenye cheti Cha kuzaliwa wakati hata hajui sura ya mtoto. Sheria ibadilishwe, Option ya single parent inahitajika.
Imeisha hiyo ova!
 
Back
Top Bottom