Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Neno hili....


Back to the topic, wanawake wanakuwa na tabia ya kubonda waume (na ma ex) kwa sababu wao wanatofautisha love na sex...
Ukiona unachitiwa na mkeo chances are umeshakuwa deleted rohoni mwake...

Muwapende na kuwa care wake zenu ili wasitekwe kihisia na smooth operators ambao wako everywhere nowadays...

Tofauti na wanaume ambao wengi upiga mechi za mchangani na bado ku maintain love kwa wake zao...ukiona mkeo anakuchiti wewe kaa chini ulie...maana mawazo na akili vyote vinakuwa kwa mchepuko...
 
kupuu apuuu kuku akipuuu bata kachora ramani!
sisemi kuwa ni sawa ila hz mbn ni za kiumeni zaidi kuliko kikeni?
ehenhenhe
cheka yako inanimalizaga, iko real sana. ehenhenhe. sikiliza the energy never dies ya the script for making my day.
 
usingekuwa bias kwa wanawake ingependeza zaidi.pande zote mbili kuna kupondeana lakini kuna upande ambao hukuutaja ndio unaponda zaidi.!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mtu akishaamua kumvulia chupi mtu mwingine il hali ameoa/olewa, ni dhahiri keshavunja heshima.

My thoughts exactly
Sidhani kama kuna heshima kubwa unayojivunjia na kumvunjia mke au mume kama kukitembeza yani mwingine akiwaona anabaki kucheka kwani anajua hadi madoa yalipo kha!
 
wanaume acheni longolongo, ina maana mkichepuka nyie hampondi wake zenu? Sio nyie mnatudanganya mlioa kimakosa mnataka kuwaacha wake zenu etc etc, kubonda kwa michepuko ngona droo tu
 
Mkuu I mind!, hawa dada zetu waache tuu, wanapokutana na kitu inaitwa "mikolezo" akili zao huwa zinawahama kabisa!.
Tena afadhali hiyo ya udukuzi tuu, nilifanya kazi ofisi fulani za "wenzetu" hawa, kila outgoing e-mail, a back copy is sent kwenye saver yao, kila print out, duplicate is printed mahali pengine!, na kubwa kuliko ni security cameras hadi "washrooms", masikini Waswahili hatujui!, kuna kibosile kimeajiriwa HR, hakijui hili wala lile!, kuna siku kimejipatia "zile huduma" kwa mdada cleaner!, kumbe security camera inarekodi kila kitu!. Kesho yake wakati security chief ana preview previos day security footage, walifanywa "senema!" ila ilifanywa siri, na ilijulikana baada ya huyo security kuutumia hiyo clip kwa mchepuko wake!.

Kwa kawaida security cameras hula zipo baadhi ya maeneo, lakini hii hadi washroom!.

Pasco

This's wrong on all levels!, at least they should' ve let people know there are cameras in washrooms too kama kweli walitaka kuzuia uhalifu!
 
Sifagilii mchepuko wa aina yeyote, and I don't support the fact kuwa maisha bila mchepuko hauwezekani but as usual!.....most posts in here demeans women as if men are gods!, wakati THEY'RE IN THE FRONT LINE IN MICHEPUKOZ!
 
Nshasemaga humu hakuna watu wambea kama watu wa IT...
Back to the topic, wanawake wanakuwa na tabia ya kubonda waume (na ma ex) kwa sababu wao wanatofautisha love na sex...
Ukiona unachitiwa na mkeo chances are umeshakuwa deleted rohoni mwake...

Muwapende na kuwa care wake zenu ili wasitekwe kihisia na smooth operators ambao wako everywhere nowadays...

Tofauti na wanaume ambao wengi upiga mechi za mchangani na bado ku maintain love kwa wake zao...ukiona mkeo anakuchiti wewe kaa chini ulie...maana mawazo na akili vyote vinakuwa kwa mchepuko...

Word dear!,... of the day to me!
 
Aminaaa........nakuombea kheir ndugu yangu ila tambua duniani hakuna alie msafi ila tu kuna mipaka ndio maana mtoa mada hapo hakuweza sema watu wasichepuke (jambo ambalo haliwezekani kuwa control watu) ila tu HESHIMA ndio mpango mzima...

ila mwanamke wa ndoa aneyechepuka naoma kama kafikia hatua ya mwisho kabisa ya kujikataa
 
Mi navoona hasa hasa wanaume ndo wanafanyaga hivo zaidi ya wanawake. Ili mwanamke ampende utakuta mwanaume anamponda sana mkewe, mara ooh sijui kwanini niliwahi kuoa si ningekuoa wewe, mara oh mke wangu huwa hanifanyii hivi nk

Ni kutojitambua tu kwa baadhi ya wanaume. Nilishawahi kuwa na michepuko kama miwili kwa nyakati tofauti, moja ya sharti nililokuwa nawapa ni kwamba hata nikiwa nao simu ya wife nitapokea na kuongea kwa uhuru na pia wasimseme wife neno lolote amani itakosekana. Hili jambo linahitaji ubabe lakini, mwanaume kutochepuka ni kazi sana. Jambo la msingi chepuka kimyakimya... Never speak ill of your fiancee/wife...
 
Back
Top Bottom