Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

yap wanawake wanatabia ya kuwapondea waumezao cjui mdo akili yao ndogo walonayo coz nyingine huwa nayo mwanaume kamshikia.
lakn mbona wanaume huwa hawawadis wanawake zao kwa michepoko kwann hv?
 
Nielewesheni wadau.
Ni siri zipi micheepuko huambiwa?
Kama ni madhaifi au mapungufu ni yapi?
Kama hayo yapo wewe mwanaume au mwanamke kwa nini usijirekebishe kuepusha mume/mke kuchepuka?
 
Wanawake wachepukaji, jamani jaribuni kutunza heshima na siri za mambo ya ndani kwenu. Una mwambia mchepuko wako udhaifu wa mume wako ili iweje?

Nilikuwa nafanya udukuzi katika mfumo wetu wa mawasiliano ofisini kwetu. The Big boss aliniomba ni screen emails zote zinazoingia na kutoka nje ya domain ya ofisi. Basi weekend hii ndo nilikuwa nazipitia kufind out na kuna mambo ambayo boss alikuwa ana hisi.

Nikakumbana na mawasiliano ya dada mmoja na mchepuko wake. Tobaa dada kamponda mumewe ile mbaya. Yaani hata kama ni kuoza kwa mapenzi thats too much. Halafu na mjua mumewe kwani huwa anakuja kumchukua job mara moja moja.

He is a descent guy, nimepatwa hasira utafikiri mimi ndo nimedhalilishwa.

Halafu kwa nini utumie E mail ya ofisi kwa mambo binafsi? Unafikiri ndo salama?

Policies za kampuni na organization nyingi zina ruhusu kufanya udukuzi kwa employees bila kutoa taarifa, kama nilivyofanya.
Weka ushahidi wa alichosema tuone kama kweli alikuwa akimponda mumewe!
 
Nshasemaga humu hakuna watu wambea kama watu wa IT...
Back to the topic, wanawake wanakuwa na tabia ya kubonda waume (na ma ex) kwa sababu wao wanatofautisha love na sex...
Ukiona unachitiwa na mkeo chances are umeshakuwa deleted rohoni mwake...

Muwapende na kuwa care wake zenu ili wasitekwe kihisia na smooth operators ambao wako everywhere nowadays...

Tofauti na wanaume ambao wengi upiga mechi za mchangani na bado ku maintain love kwa wake zao...ukiona mkeo anakuchiti wewe kaa chini ulie...maana mawazo na akili vyote vinakuwa kwa mchepuko...

Nyumba kubwa, hivi nikimuoa binti sepetu au binti uwoya nikampa mapenzi yote atatulia?
 
Katika vitu ambavyo binadamu hasa kwa baadhi ya watz w ameshindwa kuvitawala ni tamaaa za mwili. Na hii inamdhalilisha sana Muumba wetu maana alisema tukatawale vyote
 
Mwache aponde ila me kumshikashika lipapuchi lake tu tayari kajiponda mwenyewe
 
hizo ni extreme cases...
Lakini ukikuta msichana decent, uka mantain mapenzi ...kwa nini asitulie...?
Lakini ukioa mapepe, lazima akuchiti maana kama wenye pesa lazima kuna kuzidiana; ataenda kwa wenye nazo zaidi yako...
Kama ni mapenzi...wako wenye mapenzi zaidi yako...
Ukioa mapepe piga ua lazima upigiwe...

Ndio maana kuna mtu anaoa watu badala ya kumpa pongezi wanamcheka...

Nyumba kubwa, hivi nikimuoa binti sepetu au binti uwoya nikampa mapenzi yote atatulia?
 
Back
Top Bottom