Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Huyo Dada Msh****zi tu , wanawake yetu stara Bwana ....By the way Ukimkuta na ME anavyomponda Mkewe sasa Daaa! Noma ++ haya mambo pande zote jamani
 
  • Thanks
Reactions: kui
kupuu apuuu kuku akipuuu bata kachora ramani!
sisemi kuwa ni sawa ila hz mbn ni za kiumeni zaidi kuliko kikeni?
ehenhenhe

Umeona shoga angu. Hao wanaume ndio hawafai hata kidogo.
 
ila na mijianaume huwa inaponda sana wake zao... Utakuta mwanaume anakuambia yule mwanamke nilimuoa tuu kwa bahati mbaya sijui ilitokea hivi na vile ikabidi nimuoe....Au kila nikirudi nyumbani oohh mkewangu hivi nipo nae tuu sababu ya watoto..

ACHENII HII TABIAA



Alafu hivi ukimshamponda mumeo siku nae mchepuko mshamalizana anakukuta na mko na mumeo maisha yanaenda sijui mtu unajiskiaje kwa kweli...
 
Sio pande zote bana tabia za kike zinajulikana wengi wako hivyo sijui akili zao zimetengenezwa kwa mizinga ya konyagi ila sio wote

Ndomaana kuna wife material na wasio wife material. Ndomana tunaambiwa tuoe wanawake wenye dini, ndomana tunaambiwa tuoe wanawake wenye stara za kike aisee inatia hasira kweli hivi navoandika hapa kuna story nimeskia kwa brother yangu jamaa kamuacha mkewe kisa anamchepuko wa nje na anamdhalilisha vibaya anavujisha siri kwa mchepuko wake anasema toka akae na mumewe miaka saba na wanawatoto watatu hajawai kupata raha ya tendo la ndoa eti anapapaswa tu huko kwa mchepuko ndo anakunwa vibaya

Na demu akadai talaka ameachwa sasa kilicho mkuta huyo demu mchepuko wake kumbe kicheche mbaya sijui ndo kapata nini mtu kama hakusugui vizuri km mko kwenye ndoa mwanamke siumwambie mumeo akukune vipi na umpe ushirikiano aisee hawa wanawake wengine nyokooooooo kweli
 
Wanawake wachepukaji, jamani jaribuni kutunza heshima na siri za mambo ya ndani kwenu. Una mwambia mchepuko wako udhaifu wa mume wako ili iweje?

Nilikuwa nafanya udukuzi katika mfumo wetu wa mawasiliano ofisini kwetu. The Big boss aliniomba ni screen emails zote zinazoingia na kutoka nje ya domain ya ofisi. Basi weekend hii ndo nilikuwa nazipitia kufind out na kuna mambo ambayo boss alikuwa ana hisi. Nikakumbana na mawasiliano ya dada mmoja na mchepuko wake. Tobaa dada kamponda mumewe ile mbaya. Yaani hata kama ni kuoza kwa mapenzi thats too much. Halafu na mjua mumewe kwani huwa anakuja kumchukua job mara moja moja. He is a descent guy, dahh. Nimepatwa hasira utafikiri mimi ndo nimedhalilishwa.

halafu kwa nini utumie email ya ofisi kwa mambo binafsi? Unafikiri ndo salama? Policies za kampuni na organization nyingi zina ruhusu kufanya udukuzi kwa employees bila kutoa taarifa, kama nilivyofanya.

we nae mmbeya kweli,yaani mambo ya ofisini tena siri kama hizo unazileta jf....anyway,hivi hujawahi kufikiria kuwa mkeo nae huwa anakuponda kwa mchepuko wake?tena huyo uliyeona ni nafuu,yaani we ndo unapondwa hata.....ina unafuu
 
Kuna daladala imeandikwa hivi " m'mbea hasemi uongo japo hajatumwa"
 
LIMBWATA at works Heart

Nakataa,sio limbwata kabisaa! Kuna wanaume wanamchukulia 'nyumba ndogo' kama mke halali kabisa..anampa nafasi na daraja kushinda la mkewe alomuweka ndani. Kwanini 'nyumba ndogo' isijitutumue.. Ndo wengine wanakuwa na jeuri hata ya kuwatukana wake za hao wanaume wao..coz wanajua nafasi zao.
 
Last edited by a moderator:
ila na mijianaume huwa inaponda sana wake zao... Utakuta mwanaume anakuambia yule mwanamke nilimuoa tuu kwa bahati mbaya sijui ilitokea hivi na vile ikabidi nimuoe....Au kila nikirudi nyumbani oohh mkewangu hivi nipo nae tuu sababu ya watoto..

ACHENII HII TABIAA

Na ndipo 'nyumba ndogo' anapojitafutia points...si anaona anavyotaabika. Hataki mkewe abadilike bali anataka chombo kipya...
 
Wanawake sometimes wanakera sana.... ila sio wote ila wale wenye akili fupi.....
 
MTU wako akishaamua kichepuka usitake hata kujifariji, kubaliana kuwa hakuna heshima,kwa sababu kukuanika kwa mchepuko hawezi kuona shida.
 
Hata wanaume tabia hiyo wanayo sana...wanamueleza kimada udhaifu wa mkewe ndo maana nyumba ndogo nyingi wanakuwa wana jeuri,kwasababu anajua palipo kushindwa yeye anasawazisha tena taratibuuu na kistaraabu. Ndo maana utasikia mume katelekeza familia..

mwanaume aliyeoa, akaamua kuchepuka halafu huko kwa mchepuko wake kama anaeleza siri/udhaifu wa mkewe basi huyo ni bwe.ge kabisa...!
 
Mungu wasaidie waume hawa kuwapata wake wenye hekima, na wake pia wawapate waume walio na hekima ili waweze kuheshimu ndoa zao,
 
Kwani nimetaja jina la mtu hapa au sehemu ya kazo? Akijijua ndo vizuri aache tabia hiyo. Mchepuko wa muda mfupi, ukiachana nae bado utaendelea kuwa na mume wako. Chepuka responsibly

hata ungemtaja ulikuwa sahihi sasa hili lijamaa rinaunga mkono ujinga huo araa!
 
Mi ndio maana nikiskia mume kamtoa maini nje mkewe kisa wivu wa mapenzi huwa nampongeza,

Jike likiwa linagawa nje,kwangu mimi linastahiri adhabu yoyote.

Kama mtu hakuridhishi kinachokuweka kwake ni nin,.!!!?😡😡😡😡
 
Aisee hiyo ni noma..nakubaliana nawe kabisa,wanawake wengi wana kawaida ya kuponda waume wao kwa mchepuko. Mara yuko vile,mara yuko hivi,nk.

Hata akipata mpenzi mpya lazima amponde wa zamani,tena anamsema vibaya kweli.

Ukiwa na mwanamke akamponda jamaa yake wa zamani au mume wake tegemea na wewe atakuponda tu.

Unafikiri wanawake peke yao basi? Ni hulka ya binadamu, ushasahau zile hadithi za...mke mwenyewe wala sikumpenda, nililazimishwa kumuoa na wazazi...wewe unanionaje naweza kuoa mwanamke mwenye sura ile kwa mapenzi yangu kweli?

Siku kuta zitakapoanza kusema ndio tutajua tunapondwaje huko barabarani...
 
Back
Top Bottom