Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,975
- 2,170
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma! Willie @ NYC, USA.
tumia akili....kama anachosema @NYC,USA ni kweli basi anamaanisha Chenge amesubmitt resignation decisions before CC, hakumaanisha yeye ni mjumbe wa CCMbona Chenge sio mjumbe wa CC ya CCM, sasa kaachia ngazi kwenye nafasi zipi? Labda kama kaachia NEC na ubunge.
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
Watch your language hatuko hapa kutukanana, I believe in Critical Arguments and not What you R talking about...Unataka aseme nini? Fikiria kwa kutumia ubongo sio makalio
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
mbona hakuna dalili ya mtu kuvuliwa gamba mpaka mida hii?- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.

- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!

Willie @ NYC, USA.
Sasa ukishaachiwa nchi unalala au unaongeza nguvu ya udhibiti ambayo ni pamoja na kuziba nafasi zilizoachwa awazi?Hayo ni mawazo yako. Lakini sisi tunataka watuachiye nchi yetu. Ilikuwa imefika pabaya sana pa kuiweka nchi mfukoni kwa sababu ya hela zao. Hali hii haiwezi kuachwa iendelee.
Du! Mkuu hiyo ni Geometric au ni Arithmetic progration, nimeipenda sana, na imetulia vizuri.Jimbo lipo wazi, hesabu za wabunge wa chadema 48 + 4 =52. Igunga, Bariadi, Monduli na Arumeru Mash.
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
PAW amemstahi kiutu uzima kuifanya ibaki Tetesi kwa siku mbili si kawaida wataiacha hivi hivi hadi Chenge atakapojiuzulu hata kama ni baada ya wiki mbili baadae waandike CONFIRMED waseme Malecela was right ha ha haaa.Ndugu William, kwakuwa wewe ni mkongwe wa hapa JF hivyo kukufanya kuwa CHANZO CHA KUAMINIKA, naomba ukafanye hima kuifanya hii Thread kuwa BREAKING NEWS badala ya tetesi.
Watu kama wewe, MM Mwanakijiji, Maxence Melo, Ivuga na Invisible, hakuna hata siku moja ambayo mmewahi kutuletea habari ya kiuzushi hapa jukwani. Hivyo sijapata shida kuamini ujumbe huu uliotuletea.
Edward lowaswa hayupo! nani amemwona!. Juzi alikimbia kikao cha kamati ya usalama na maadili cha Mhe. P.Msekwa. Ipo kazi kwa wanagamba. nakumbuka Mamapambio wanaoimba ndugu zetu wakristo kule msibani " Oh Njia iendayo mbinguni ni nyembamba" na kwa ndugu zangu waislamu wanasoma ile kitu inaitwa talakini. BURIANI CCM ! Buriani Wanagamba. Ole wenu siku Nyerere akiamka akute ch.... Oh sorry kumbe hakitakuwepo. CCM OYEEEE