Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
apakuwepo hukumu ya kumnyonga??
Thats the fact as sadly as it may be............. Sad enough the guy will carry on being MP... to him even that Fine is nothing to him. Very Sad kiuungwana inabidi awalipe familia na cost zote kama kuna watoto kwenda shule basi awasomeshe pia. This is very Sad sometimes inabidi tuweke sheria pembeni na common sense itumike
[/B][/COLOR] katika RED: Dont possibolize the impossibility,sheria zimetungwa ili zifuatwe, tuweke pembeni kivipi
Halafu Kuna wapuuzi Bado wanapinga kuwa na Katiba mpya..........shame on them!!!!!! Stupid.....Hivi kweli kwa makosa haya mtu analipa tuu faini!!:hungry:.... hata kama ingekuwa 20M..........Hizi sheria zetu zilizopitwa na wakati.......ujinga mtupu!!!!!
Jamani msidhani hizi traffic case zinawapata akina Chenge tu. Hata wewe unaweza siku moja ukajikuta katika mazingira kama ya Chenge.
Nadokezwa na jamaa aliyekaribu na familia ya Mh. Chenge kuwa alishaambiwa hukumu itakuwaje so alikuwa na cash mkononi!!
Tatizo la nchi hii ni ufisadi......alipaswa atumikie adhabu zote mbili kwa pamoja.lakini kama amepata kifungo kilichogeuzwa faini apaswa kuachia ngazi Ubunge....kwa sababu huwezi kuwa Mbunge baada ya kutumikia kifungo cha zaidi ya mwaka mmoja......................nafikiri atakimbilia kukata rufani na huko mbele atatokea jaji mmoja ambaye atamshindilia adhabu zote mbili na huo utakuwa mwisho wake.,................Wakuu nimepata tetesi kutoka e-group moja kwamba Chenge amhukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000 pesa ya tanzania (which is less that $500)
Je ni kweli? na kama ni kweli hii ina maana gani kwake kama Mbunge na watu wa bariadi?
Is the hukumu fair?
Acid
Usiharakishe kumsafisha anayo makosa mengi........matatu.........hivi..........................moja kuua bila ya kukusudia.....................kuendesha gari bila ya bima kwa zaidi ya miaka mitatu.....na la tatu..............kusababisha ajali ya gari..............Jamani sheria ni msumemo. Hiyo fine naona iko reasonable ukilinganisha vipato vya watanzania wengi. Mlitaka kwa sababu jamaa ana vijisenti ndiyo hakimu apindishe sheria ili amfunge? ukisema fine iwe 20m itakuwa siyo haki kwa watanzania wengine ambao watakutwa na kosa kama hilo na wakashindwa kulipa. Me nionavyo Chenge hata angepewa fine shilingi 1bilion angelipa, lakini hatuwezi kubadili sheria kwa ajili ya mtu mmoja.
Wakuu nimepata tetesi kutoka e-group moja kwamba Chenge amhukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000 pesa ya tanzania (which is less that $500)
Je ni kweli? na kama ni kweli hii ina maana gani kwake kama Mbunge na watu wa bariadi?
Is the hukumu fair?
Acid