Chenge huru!

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
Wakuu nimepata tetesi kutoka e-group moja kwamba Chenge amhukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000 pesa ya tanzania (which is less that $500)

Je ni kweli? na kama ni kweli hii ina maana gani kwake kama Mbunge na watu wa bariadi?

Is the hukumu fair?

Acid
 
Mzee tunapaswa kufahamu Chenge alikuwa anakabiliwa na kesi ya usalama barabarani (Traffic case) na siyo mauaji. Hizo kesi adhabu ndio kama hiyo. kwa hiyo suala la fair or not silioni ila nnachojua hata ungekuwa wewe ungepata adhabu kama hiyo aliyopewa chenge.
 
Wakuu nimepata tetesi kutoka e-group moja kwamba Chenge amhukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000 pesa ya tanzania (which is less that $500)

Je ni kweli? na kama ni kweli hii ina maana gani kwake kama Mbunge na watu wa bariadi?

Is the hukumu fair?

Acid
Hapo kwenye red ina maana ametoa faini ingekuwa na mchezo ungekuwa umekwisha, atatoa fani na kundelea na ufisadi wake
 
Mbunge wa Bariadi Mashariki na aliyewahi kuwa Waziri wa Sheria, Mhe. Andrew Chenge, leo asubuhi ametiwa hatiani na Hakimu wa Mahakama ya Kinondoni kwa makosa manne ya barabarabi, yakiwemo ya mauaji ya wasichana wawili aliowagonga kwa gari alilokuwa akiendesha na kuwaua, Machi 27, 2009, jijini Dar es salaam. Chenge ametiwa hatiani kwa makosa manne ya Kusababisha vifo vya wasichana wawili, Kugonga Bajaji, Kuendesha gari kwa uzembe na kuendesha gari isiyokuwa na Bima. Makosa yote hayo amepigwa faini ya shilingi za Kitanzania laki saba! (700,000/=) na amelipa. :angry:

Source: /www.globalpublishers.info/profiles/blogs/chenge-atiwa-hatiani-apigwa
 
Thats the fact as sadly as it may be............. Sad enough the guy will carry on being MP... to him even that Fine is nothing to him. Very Sad kiuungwana inabidi awalipe familia na cost zote kama kuna watoto kwenda shule basi awasomeshe pia. This is very Sad sometimes inabidi tuweke sheria pembeni na common sense itumike
 
thannks, so he is free to continue serving bariadi and CCM

Thanks wakuu
 
Adhabu nyingine haza lengo la kumkomesha mshtakiwa.
Kwanini asingepewa adhabu ya kulipa bilioni saba ili aende jela?
This country bwana!!!!!
 
Thats the fact as sadly as it may be............. Sad enough the guy will carry on being MP... to him even that Fine is nothing to him. Very Sad kiuungwana inabidi awalipe familia na cost zote kama kuna watoto kwenda shule basi awasomeshe pia. This is very Sad sometimes inabidi tuweke sheria pembeni na common sense itumike

Mkuu upo right.... kisheria aggrieved family inabidi wafungue kesi ya madai dhidi ya chenge for remedies and compasation...
 
Halafu Kuna wapuuzi Bado wanapinga kuwa na Katiba mpya..........shame on them!!!!!! Stupid.....Hivi kweli kwa makosa haya mtu analipa tuu faini!!:hungry:.... hata kama ingekuwa 20M..........Hizi sheria zetu zilizopitwa na wakati.......ujinga mtupu!!!!!
 
Nadokezwa na jamaa aliyekaribu na familia ya Mh. Chenge kuwa alishaambiwa hukumu itakuwaje so alikuwa na cash mkononi!!
 
Thats the fact as sadly as it may be............. Sad enough the guy will carry on being MP... to him even that Fine is nothing to him. Very Sad kiuungwana inabidi awalipe familia na cost zote kama kuna watoto kwenda shule basi awasomeshe pia. This is very Sad sometimes inabidi tuweke sheria pembeni na common sense itumike

yes its very sad mkuu but ndio hukumu ya kisheria kulingana na kosa, dawa ni kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa sheria zisizo na mantiki
 
Back
Top Bottom