Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:
Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:
Nguli Heshima mbele mkuu,
Umenifanya nikapiga kelele ya " wera wera weraaaa!!!!!!" mpaka watu wakadhani nimechizika.
Itakuwa safi sana kama huyu jamaa kapigwa chini, mungu mkubwa.
Wao wanapesa sisi tunamungu
Pesa Vs Mungu.
teh teh teh aruuuu marwa hebu reta bange na ngongo!
suck nini?Chenge suck!
Hii picha imenifurahisha sana yaani kachoka hadi anakunywa cool blue , manake hata kuchagua quality ya maji hawezi??? Lol Mungu kumbe si wa ccm peke yake. Lakini nina wasiwasi na mleta picha asije akawa ameichakachua ilikuwa chupa ya maji ay kilimanjaroChenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad: