Elections 2010 Chenge hataki kusign matokeo

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:

chenge.jpg
 
Mwizi mkubwa Hata hivyo Bungeni tunamlipa virobo senti asign to aende kwao....
 
Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:

Nguli Heshima mbele mkuu,

Umenifanya nikapiga kelele ya " wera wera weraaaa!!!!!!" mpaka watu wakadhani nimechizika.

Itakuwa safi sana kama huyu jamaa kapigwa chini, mungu mkubwa.

Wao wanapesa sisi tunamungu

Pesa Vs Mungu.
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!raha sana
 
Wananchi wanatakiwa walinde kura zao kama ubungo mwanza na Arusha, na kama viongozi wa Chadema wapo karibu wakwae hata Elkopta wakatie nguvu ili huyu fisadi akajiunge na Mramba Rombo wapange namna ya kuchakachua kesi zao
 
mnashangilia nini? sasa kazi ya kunyunyuzia vitu kwenye meza za watu ataifanya nanai? bora aende..mshirikina huyo!
 
Apigwe tu chini....ana laaaana za ajabu sana uyu kima.....anatoa roho za watu utadhani yeye ni Israel mtoa roho...!!!mwisho wa dhambi ni aibu siku zote.
 
i nasema akienda huyo Bungeni mini najihuzuru kazi Simpendi hata wakisema jamaa Afe mimi natoka mbele kuafiki
 
Chenge suck!
jamani huyu msukuma mshamba anataka nini uchu tu wa madaraka si awaachie na wengine,yani mijitu mingine inaboa
 
Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:

chenge.jpg
Hii picha imenifurahisha sana yaani kachoka hadi anakunywa cool blue , manake hata kuchagua quality ya maji hawezi??? Lol Mungu kumbe si wa ccm peke yake. Lakini nina wasiwasi na mleta picha asije akawa ameichakachua ilikuwa chupa ya maji ay kilimanjaro
 
Back
Top Bottom