Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Huyu mnyantuzu nae anatuaibisha tu sisi wapiga kura wake!Zee zima saa tisa za usiku linatoka kujirusha!wakati sisi wanaBariadi tunaishi chini ya dola moja kwa siku mbili!haki ya nani mwakani hatumpi UBUNGE
 
Habari zaidi zinasema hakuua kwa risasi, bali aligonga Bajaj na kuua watu wawili, na Kova ataongea na waandishi asubuhi hii saa 5.

Ndiyo matatizo ya kuwaachia hawa mafisadi wakiendelea kupeta mtaani wakati kuna ushahidi wa kutosha dhidi yao. Angekuwa amekamatwa na kuwekwa rumande kusaidia uchunguzi wa tuhuma dhidi yake basi hao Watanzania aliowaua labda wasingekutana na umauti wao. Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi~AMEN.
 
kwanza natoa pole kwa familia za marehemui. Pili, my most concern ni hatua za bwana Chenge alizo chukua mara baada ya ajali kutokea, Je alifanya jitihada zozote za marehemu au majeruhi kuapatiwa first aid? Je alireport tukioa la ajali kwa polisi au vyombo vya usalama? Nakama alisubmit into alcohol test kwani sheria za nchi nyingi zinataka mtu ayehusika kwenye ajali yoyote na kuondoka kwenye eneo latukio kusubmit to chemical testing within 12 hours of the incident.
 
Ndiyo matatizo ya kuwaachia hawa mafisadi wakiendelea kupeta mtaani wakati kuna ushahidi wa kutosha dhidi yao. Angekuwa amekamatwa na kuwekwa rumande kusaidia uchunguzi wa tuhuma dhidi yake basi hao Watanzania aliowaua labda wasingekutana na umauti wao. Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi~AMEN.
Hiyo pole kwa wafiwa ndio cha msingi kwa wakati huu, kuliko huo utumbo mwingine...!
 
Huyu mnyantuzu nae anatuaibisha tu sisi wapiga kura wake!Zee zima saa tisa za usiku linatoka kujirusha!wakati sisi wanaBariadi tunaishi chini ya dola moja kwa siku mbili!haki ya nani mwakani hatumpi UBUNGE

Mzee wa vijisenti ana chumba cha 'upasuaji' wa kudumu Kempinski atakuwa alitokea huko.
 
kutokana na utaalamu wangu wa mambo ya barabarani kuna kitu kimoja niwaeleze
sawa bajaji zinaendeshwa vibaya lakini
katika uchunguzi unaangalia mda ambao ajali imetokea, mda wetu unasema ni saa tisa usiku. kwa hiyo saa tisa usiku inamaanisha barabarani kulikua na magari mawili mpaka manne. kwa hiyo hakukua na kubanana kati ya chenge na bajaji, kwa hiyo lazima kunakitu kikubwa sana kilitokea, aidha chenge alikua amelewa akamgonga. kwa ajili hata mtu akipiga breki ghafla untatakiwa uweke kitu kinaitwa "3 seconds gap" ya kuweza kuakabiliana na hiyo breki ya ghafla.
kwa nini aliondoka eneo la tukio labda alikua amelewa kwa hiyo akaenda nyumbani kuhakikisha ulevi unatoka.

labda bajaji iliama njia na kumgonga yeye kwa ajili yeye gari lake ni kubwa basi bajaji ikaumia
lakini habari zinasema yeye ndio amegonga

wanatakiwa wa check alcohol level
wanatakiwa wa check kama amebeba viungo vya binadamu(saa tisa usiku) ndio hawa wanaotoa dola 5000 mnadhani maskini wanaweza kununua viungo.
 
Last edited:
Huyu mnyantuzu nae anatuaibisha tu sisi wapiga kura wake!Zee zima saa tisa za usiku linatoka kujirusha!wakati sisi wanaBariadi tunaishi chini ya dola moja kwa siku mbili!haki ya nani mwakani hatumpi UBUNGE

Naenda kumchallenge mwakani....
 
Ditto aliyeua kwa risasi aliachiwa mitaani na kutukana watu mpaka Mola alipoingilia kati.

Sasa huyu wa kugonga bajaj mnafikiri atafanywa lolote hata kama alikuwa kalewa chakari???

Ni mpaka waondolewe madarakani kwa nguvu na hizi kesi kuanzishwa upya ndio haki itakapotendeka.
 
Can we calculate the time used to discuss this road runners fault ,mida huu ungetumika kuitaka serikali ibadili katiba tungelikuwa tumepata kitu kidogo.Hata hivyo Chenge hawezi kwenda jela ,sheria za barabarani kugonga kwa gari hakuhisabiwi kama kosa la jinai kwani hakuna anaeendesha gari kwa nia ya kuua ,tuwe wakweli na wawazi anahitaji kutetewa kama binadamu wengine ,tuwekeni siasa kando ,hapa hapana siasa ni ajali imetokea zaidi ikimhusisha kiongozi ,maana hata brake failure zinaweza kuwa ni sababu ya ajali ,na Chenge kuwepo huru.
Tusiwe wajinga kwa kuufuata ujinga wa kutaka kumtia mtu makosani ,let us discuss in a fair manner ,maana kwa jinsi mnavyokwenda mnaonekana kutoa hukumu kibabe hamna tofauti na mahakama zetu hapa Tanzania.
Kuendesha gari iliyomaliza bima ni kosa jingine wala halina mahusiano na hilo la walifariki ,ni ujunga kudai kwanza alikuwa akiendesha gari halina bima ,wangapi wanaendesha magari ya sio kuwa na bima ,mtasema lakini yeyey ni mwanasheria sijui ni kiongozi ,sasa akiwa hivyo ndio nini ? yeyey ni binadamu kama binadamu wengine chochote kinachofanywa na binadamu wengine kinaweza kufanywa na yeyote yule hata akiwa na cheo cha Usultani,magari mengi yanangonga na kuuwa watu na kesi zinafutwa ,ila tatizo hapa ni lile la Malya ,kwa upande wangu yule Malya amewekwa jela au amehifadhiwa kutokana na kuepushwa na sheria zinazoweza kuchukuliwa na wafiwa ,hivyo kuwekwa kwake jela hakuna uhusiano kuwa alisababisha kifo cha Wangwe lakini maoni yetu yalivyokwenda yalimweka katika sura mbaya kuwa yeye aliuwa na ndio sasa mawazo yetu tunakoyapeleka kwa Chenge.
 
Nahisi:

Mkuu alikuwa anatoka viwanja na alikuwa bwi...!
Marehemu walikuwa wanatoka viwanja ama ni wafanyakazi wa hoteli...
Mkuu alipogonga akaona hajaumia na hakuna atakayejua akaamua kuingia mitini...!
Hapa hakuna suala la yeye kukabwa na vibaka maana ajali imetokea maeneo yao ya kujidai yenye mlinzi kila Nyumba!
Inawezekana pia alishuka na kuangalia majeruhi na akashituka kuwa Dereva wa Bajaj amemjua...
Alipofika Nyumbani akashika simu na kuanza kutafuta ushauri kwa washikaji...
Wao ndio waliomshauri kwamba inawezekana umeonekana kwa hiyo cha kufanya kesho asubuhi nenda kajisalimishe kwanza halafu tutajua kitakachoendelea...
My Take? tusubiri kitakachoendelea...Kama kuna kitakachoendelea! I love my TZ
!
 
It will be interesting to watch how the spin doctors will handle this!
We can then deduce a lot from this event
Keep tuned!
 
Ditto aliyeua kwa risasi aliachiwa mitaani na kutukana watu mpaka Mola alipoingilia kati.
Chenge kaachiwa kwa dhamana na ameondoka ndani ya gari aina ya Toyota Harrier namba T193 AYL.

Taarifa za kipolisi zinasema mwenye Bajaj ndiye alikuwa na makosa na huenda ndiyo sababu iliyopelekea yeye kukimbia (anageuziwa kibao?)

Kuna walinzi waliokuwa eneo la tukio, huenda hawa wakatoa msaada wa hali halisi. Walinzi hao wanasema kwamba, dereva wa Bajaj alipona gari la Chenge linamfuata upande wake akalikwepa na kuruka ndipo kina dada wa watu waliokuwa wakitokea Club Maisha wakajikuta hawana msaada na kugongwa wakiwa pekee bila dereva. Kwa kuwa dereva hajulikani alipo, kila kitu kitamuelemea yeye na huenda akionekana ataambulia vijisenti akanunue Bajaj zake kadhaa (asiajiriwe tena).

Kuna habari kwamba kina dada hao wanatokea mkoani Mwanza na leo walikuwa waelekee Zanzibar kwa ndege kufanya shopping kabla ya kurejea kwao, mmoja akitajwa kuwa Bi harusi mtarajiwa
 
Hivi kila siku nikisikia ajali imetokea dereva kakimbia ile ya Salome Mbatia dereva kakimbia hadi leo mabasi madereva haswa mbio dawa ni nini? na hawa ndio wenye clue ya kuelezea what happen na sheria kufuata mkondo wake
 
hata chenge kakimbia kwa nini umuhukumu dereva wa bajaji kwa kukimbia na chenge umuachie (total bias)
 
Chenge kaachiwa kwa dhamana na ameondoka ndani ya gari aina ya Toyota Harrier namba T193 AYL.

Taarifa za kipolisi zinasema mwenye Bajaj ndiye alikuwa na makosa na huenda ndiyo sababu iliyopelekea yeye kukimbia (anageuziwa kibao?)

Kuna walinzi waliokuwa eneo la tukio, huenda hawa wakatoa msaada wa hali halisi. Walinzi hao wanasema kwamba, dereva wa Bajaj alipona gari la Chenge linamfuata upande wake akalikwepa na kuruka ndipo kina dada wa watu waliokuwa wakitokea Club Maisha wakajikuta hawana msaada na kugongwa wakiwa pekee bila dereva. Kwa kuwa dereva hajulikani alipo, kila kitu kitamuelemea yeye na huenda akionekana ataambulia vijisenti akanunue Bajaj zake kadhaa (asiajiriwe tena).

Kuna habari kwamba kina dada hao wanatokea mkoani Mwanza na leo walikuwa waelekee Zanzibar kwa ndege kufanya shopping kabla ya kurejea kwao, mmoja akitajwa kuwa Bi harusi mtarajiwa

...nahisi chozi lanilenga...
Enewei chenge ni mjanja kwa kuepa hiki kihunzi and kwa kuwa anaijua sheria. Nahisi alipoamka asubuhi alipiga simu kwa vijana wake kuulizia kama kuna malalamiko au ripoti ya ajali, alipoona hakuna ripoti inayomkonect akaamua kutumia njia ya kujisalimisha ili aonekana ni mtiifu wa sheria. ila swali langu ni kwa nini asingeenda hata kutoa taarifa kama si kujisalimisha soon baada ya kuwagonga marehemu?? angelikuwa msafi mpaka ktk nadhiri zetu kuwa he is responsible citizen kama angelikwenda saa tisa ile ile kuripoti. Kwa nini alifululiza home huku akijua walipakodi wake amewafanya vile???

Can I cry?
 
....
Taarifa za kipolisi zinasema mwenye Bajaj ndiye alikuwa alikuwa na makosa na huenda ndiyo sababu iliyopelekea yeye kukimbia (anageuziwa kibao?)
.... Kwa kuwa dereva hajulikani alipo, kila kitu kitamuelemea yeye na huenda akionekana ataambulia vijisenti akanunue Bajaj zake kadhaa (asiajiriwe tena).
Hivi inawezekana ilikua hivi?
Gari imegonga Bajaj (wakafa abiria wawili), halafu dereva wa Bajaj akaambiwa 'sahau Bajaj yako na upotee' (kwani kuna mtu anamfahamu?)....of course with some few coins he will be able to acquire some other few new bajajiz...:rolleyes:....simple but very possible; anyway it is also possible i'm 100% wrong though!
 
...nahisi chozi lanilenga...
Enewei chenge ni mjanja kwa kuepa hiki kihunzi and kwa kuwa anaijua sheria. Nahisi alipoamka asubuhi alipiga simu kwa vijana wake kuulizia kama kuna malalamiko au ripoti ya ajali, alipoona hakuna ripoti inayomkonect akaamua kutumia njia ya kujisalimisha ili aonekana ni mtiifu wa sheria. ila swali langu ni kwa nini asingeenda hata kutoa taarifa kama si kujisalimisha soon baada ya kuwagonga marehemu?? angelikuwa msafi mpaka ktk nadhiri zetu kuwa he is responsible citizen kama angelikwenda saa tisa ile ile kuripoti. Kwa nini alifululiza home huku akijua walipakodi wake amewafanya vile???

Can I cry?

Kuna kila sababu ya kufikiri kuwa alikuwa amelewa/ amekunywa kupita kiasi na hakutaka hilo lijulikane.
 
Chenge kaachiwa kwa dhamana na ameondoka ndani ya gari aina ya Toyota Harrier namba T193 AYL.

Taarifa za kipolisi zinasema mwenye Bajaj ndiye alikuwa na makosa na huenda ndiyo sababu iliyopelekea yeye kukimbia (anageuziwa kibao?)

Kuna walinzi waliokuwa eneo la tukio, huenda hawa wakatoa msaada wa hali halisi. Walinzi hao wanasema kwamba, dereva wa Bajaj alipona gari la Chenge linamfuata upande wake akalikwepa na kuruka ndipo kina dada wa watu waliokuwa wakitokea Club Maisha wakajikuta hawana msaada na kugongwa wakiwa pekee bila dereva. Kwa kuwa dereva hajulikani alipo, kila kitu kitamuelemea yeye na huenda akionekana ataambulia vijisenti akanunue Bajaj zake kadhaa (asiajiriwe tena).

Kuna habari kwamba kina dada hao wanatokea mkoani Mwanza na leo walikuwa waelekee Zanzibar kwa ndege kufanya shopping kabla ya kurejea kwao, mmoja akitajwa kuwa Bi harusi mtarajiwa

- Ahsante Mkuu kwa hii habari, naona ndio basi tena shughuli hii imeisha Mungu Aibariki Tanzania.

William.
 
Back
Top Bottom