Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Tiba wee wambiwa alikwenda nyumbani kwake kwanza then akaja kureport asubuhi. Angeshiriki kuwapeleka pistali si angereport kabisa na police? I doubt.

Si kwamba namchukia Chenge no hapana naongea nionavyo mimi.
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,271
2,000

Usikute alikuwa ameonja kidogo wakati wa ajali ndiyo maana akaona angoje mpaka asubuhi!
 
Nono

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,477
2,000
- Ahsante mkuu tunajaribu kuelimishana, binafsi ninamiliki leseni ya class A ya NYC US, kwa sheria za US ninaitwa Professional Driver, kwa hiyo mimi nikipatwa na ajali kisheria za US, ninakuwa responsible kwa 100%, regardless ya what dereva mwingine did kwa sababu ninatakiwa kujua better as a Professional Driver, ndio maana hata hiyo leseni ni kazi sana kuipata.

-that is why nina a glimpse na mambo ya uendeshaji na ajali, lakini sio kwamba ninajua kila kitu on the subject, lakini professionally nimewahi kuendesha nchi zima ya US na kupitia karibu kila mji wa kila State.

Ahsante.

William.

Du, Mzee naona sasa wekea tu mbolea, halafu usubiri kuvuna!
 
Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,707
2,000
Usikute alikuwa ameonja kidogo wakati wa ajali ndiyo maana akaona angoje mpaka asubuhi!
Labda alikuwa ametoka mlingotini.. na masharti akapewa... damu ya watu imwagike... ndipo nuksi imwondoke.. ili tumsahau kuhusu vitendo vyake vya kifisadi.

maskini andrea!!!
 
Mapinduzi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
2,424
0
Haya Watanzania tumehamishia imehamia kwa Chenge kusababisha ajali kama kawa.

Mchunguzi anauliza amfikishaje Mkapa the Hague, kuna yeyote mwenye knowledge na hilo?
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,097
2,000
Usikute alikuwa ameonja kidogo wakati wa ajali ndiyo maana akaona angoje mpaka asubuhi!
Ohooo!

Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.

Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,271
2,000
Unfortunately, ndugu wa marehemu wataulizwa watafaidika vipi kama Mheshimiwa akifungwa? Je, marehemu watarudi? Si heri wapokee pole kuliko kuachwa wakavu na kufuatilia kesi ambayo bila shaka Mkuu atapigwa faini ya shilingi 20,000! Wataulizwa hivi kweli wanaamini Mkuu ataenda kujisaidia kwenye ndoo? Kuona hivyo basi na wao watasema yote wanamuachia Mwenyezi na kupokea hizo pole. Na hakuna atakaewalaumu.

Amandla.........
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,612
2,000
Ohooo!

Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.

Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007

Kazi kweli kweli! Ila anatia huruma!
 
Kuhani

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
2,944
1,195
...kwa sheria za US ninaitwa Professional Driver, kwa hiyo mimi nikipatwa na ajali kisheria za US, ninakuwa responsible kwa 100%, regardless ya what dereva mwingine did kwa sababu ninatakiwa kujua better as a Professional Driver
Ahsante.

Ndio hapa utaalam unapoanza kutiwa chumvi and tangawizi sasa.

Yani unatuambia akitokea drunk driver akapitiliza kwenye red au mwehu akakuchomekea ukapinduka na gari ni wewe ndio utakuwa responsible kwa sababu you should know better? How can one stop a mlevi or a mwehu?

Na hakuna mtu anaitwa "Professional Driver"!

§ 509, Title 5, Article 19-B VEHICLE AND TRAFFIC, NEW YORK

"Commercial driver" shall mean every person who is self-employed or employed by a commercial motor carrier and who drives a commercial motor vehicle for hire or profit.

Nadhani it's too early in the morning saa hizi huko NYC kuanza kupeana.... well... speculations, let's stick with Bongo, na Kevo na Chenge, it would be a better thing to do bwana W.J. Malecela.
 
Mfumwa

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
1,456
1,225
Ohooo!

Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.

Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007

Hii ingekuwa nzuri kufanyika wakati ajali ilipotokea na gari na bajaji zipo hapo hapo, lakini kama mheshimiwa alishaondoa gari ushahidi unapungua kujua nani ana makosa.
 
Mfumwa

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
1,456
1,225
Unfortunately, ndugu wa marehemu wataulizwa watafaidika vipi kama Mheshimiwa akifungwa? Je, marehemu watarudi? Si heri wapokee pole kuliko kuachwa wakavu na kufuatilia kesi ambayo bila shaka Mkuu atapigwa faini ya shilingi 20,000! Wataulizwa hivi kweli wanaamini Mkuu ataenda kujisaidia kwenye ndoo? Kuona hivyo basi na wao watasema yote wanamuachia Mwenyezi na kupokea hizo pole. Na hakuna atakaewalaumu.

Amandla.........

Haya maswali kama ni mama, dada ama mke wako ndio wamefariki, halafu mtu akaja kukuuliza hayo maswali, utajibu ni heri upokee kiasi gani ambacho ni sawa na uhai wao?.
 
mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,679
1,250
Kwani gari alikuwa anaendesha mwenyewe wakati ni mtu wa vijisenti,tupe habari zaidi.
 
Zion Train

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
501
195
ajali ni ajili, haipangiki inaweza kumtokea yoyote yule, hawe chenge mimi ama wewe, ok ni kweli nchini kwetu kuna baadhi ya sehemu ukigonga ni bora ukimbie ama sivyo watakumaliza na wewe, lakini mh. chenge ajali ilimtokea usiku saa 9 ni bahati mbaya awe amegonga kwa nyuma mbele vyovyote ni ajali, ninachojiuliza mimi je mh alijaribu kwenda kutoa huduma ya kwanza ama hata kupiga simu yoyote kutaarifu ajali, labda hao marehemu wasingekuwa marehemu sasa.
 
Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,251
2,000
Hii inaelekea kulekule kwa yaliyomfika Borther Ditto; huyu jamaa presha itapanda na kushuka hadi mwisho wa kesi Mungu ndiye anayejua.
 
Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
1,195
mkulu,umesahau kwamba bongo kuna instant MOB JUSTICE

Ili kuepuka INSTANT MOB JUSTICE angeenda moja kwa moja Kituo Cha Polisi kujisalimisha badala ya kwenda kwanza nyumbani kwake. Kwa hiyo kosa la kukimbia bado liko pale pale, na kukwepa mob justice haiwezi kuwa kisingizio.
 
Mnyoofu

Senior Member
Feb 24, 2008
153
225
Jamani...I love to be a Tanzanian! Kuna taarifa nimezipata sasa hivi ati kuna tume imeundwa yenye wajumbe toka Polisi, NIT na TISS kuchunguza ajali hii!

Tafsiri yake ni nini? watu wanaogopa kuwajibika kwani Chenge nikaa la moto, au ndio mizengwe yakupoteza issue hii?

Kwanini isichukuliwe kama ajali ya kawaida na hatua za kawaida za sheria zikafuatwa? nani anailipia tume hii?

Waliokaribu na issue hii tunaomba watuhabarishe zaidi!
 
Kuhani

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
2,944
1,195
.... Kama muendesha mashitaka kasoma sheria na sio kubabi hii kesi ni easy kushinda.

... ni lazima yeye aprove beyond resonable dought kwamba alikuwa sober.

... Hii ingekuwa nchi za west District attorney angkuwa anashangilia, maana kubuild hii kesi ni simple.

Moja ameuwa bila kukusudia lakini akiwa amelewa Pili, ni hit and run ambayo nadhani ni crime kwa Tanzania. Combine hizi mbili then unaweza kumpeleka more than 20yrs jela

Unasema hii kesi ni rahisi kama "muendesha mashitaka kasoma sheria." Lakini kwa ulichoongea hapo nadhani ungekuwa wewe ndio mshitaki hapa nadhani Jamhuri tungeshindwa hii kesi vibaya vibaya.

Kwanza, ni wewe, sio Chenge, ambae anabidi athibitishe kwamba alikuwa amelewa au la.

Halafu umesha ibua li speculation la kwamba alikuwa amelewa. Yani umejisemea tu toka hewani hewani!

Tatu, unasema hii kesi ni rahisi kwa mwendesha mashitaka wa Tanzania based on sheria za "District Attorney" wakati hujui, umesema hujui, kama Tanzania kuna sheria dhidi ya "hit and run." Huna hakika. Tusi conclude urahisi wa vitu ambavyo hatuna uhakika, hatujui.

Mimi nisingependa kesi hii iendeshwe na mtu kama Mtanganyika. Ungetushindishwa vibaya!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom