Yote hii ni shida ya usafiri wa nchi yetu. Nadhani Bajaj is cheaper than a tax??? Lakini hivi hawa drivers wa Bajaj wanajifunza wapi kuendesha? Wanapoendesha kando kando barabarani (barabara zenyewe finyu, mbaya) ni hatari sana na inataka moyo kuipanda Bajaj - Kabla hazijaruhusiwa ilitakiwa barabara zipanuliwe kwanza au ndio TUTABANANA HAPA HAPA???? Ni kweli ajali haina kinga - ila nampa pole mzee wa vijisenti - kwani record ya kuua maishani (hata kama ni bahati mbaya) inakufanya ukikumbuka upate presha - pole kwa waliofariki, pole kwa dereva wa Bajaj -