Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Developing news....lakini nimeambiwa sasa hivi na mtu ambaye ni credible
ile habari kuwa serikali yetu iko kwenye AUTO PILOT naona ni kweli kabisa
Nadhani its better serikali nzima ikajiuzulu na sidhani kama kuna mtu ana akili timamu anataka kuwa waziri au kuwa part of this incompetent administration
Nakubaliana na wewe GT, watu kama nina Kapuya, Masha et al hawatakiwi wawe madarakani wakati ni watuhumiwa. Tumtarajie JK kuvunja baraza la mawaziri kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka mitatu!
Developing news....lakini nimeambiwa sasa hivi na mtu ambaye ni credible
Kweli jamaa kaenda na maji
ubavu huo anao?