Chenge ajiuzulu!

Ila wakuu with all that said,, mtakumbuka kuwa alipoteuliwa mara ya pili mwezi February kinyume na matarajio ya wengi, alisema kuwa kwa wale wanaoshangaa wakamuulize aliyemteua (Mh Rais) ...sasa mi naona kama amemdalilisha sana JK katika hili!

Na pia najiulize je, kama JK alikuwa anayajua haya, assuming kuwa lishahabarishwa na RO, je alimwacha kwa makusudi aanguke mwenyewe na yeye akabaki kunawa mikono kama pilato?

Na huu msalaba ataubeba chenge peke yake au kutakuwepo na wa kumsaidia kama ilivokuwa kwa EL?
 
Sisi watanzania kusema kweli kama ni usingizi..majority wetu tunauchapa kisawasawa! Inashangaza sana kuona kwamba mtu kama Mh Rais ameshindwa kujiweka upande wa wananchi na kuwateteta kama katiba inavyomtaka! Ni jambo la busara sana kwa viongozi kuhakikisha kwamba bado wako intouch na wananchi na sio kuwa out of touch!

Kwamba mh rais anashindwa kuwa na empathy na kujiweka kwenye nafasi ya mtanzania wa kawaida! Nashangazwa sana na utofauti ambao wameuonyesha..mpaka inafikia mahali tunajiuliza "HIVI KWELI VIONGOZI WETU NI WATANZANIA HALISI? "Ni maswali ambayo huwa nashindwa kuacha kujiuliza kadri ninavyozidi kupata muda wa kufuatilia mwenendo wa siasa zetu nchini! Inanishangaza sana pale ninapoona kuwa either kwa makusudi ama kwa ulazima Mh Rais ameshindwa kuyatumia madaraka makubwa aliyonayo katika mpambano huu dhidi ya mafisadi!

Mimi ni mmojawapo wa watu ambao nilikuwa nikimuona Kikwete kama "mtu wa watu" Raisi wa wanyonge na masikini..ambao ndio waliompeleka ikulu! Kwamba walipewa pilau, malapa, na kanga..hiyo sijui kama ilikuwa ndio the only reason walimpigia kura!

Kikwete alikuwa kipenzi cha watu na ndio maana mwalimu ilibidi azunguke nchi nzima kumnadi Mkapa..wote tunakumbuka hayo! Lakini kitendo cha mheshmiwa raisi kuwageuka wanyonge na masikini na kujikita kwenye siasa za mafisadi waliyoiuza nchi yetu kwa bei ya jumla huku wakigawana mifupa na mabaki.. na kuzidi kuwakumbatia wale wanaokiri kuwa "BILIONI NI VIJISENTI"..Kama yale yaliyotokea huko Ufaransa wakati wa French revolution pale malkia alipowaambia wakina mama waliokuwa hawana hata mkate wa kuwalisha watoto wao..kwa maana kuwa njaa ilikuwa kubwa..malkia aliwajibu kina mama hao walioandamana hapo ikulu kuwa "KWANINI MSILE KEKI?" Wakina mama hao walishangazwa kwani malkia alikuwa out of touch!

Yeye akila keki badala ya mkate huku watoto na kina mama hao wakililia walau mkate kwa watoto wao! Mapinduzi ya ufaransa ndio hapo yalipoanza! Chenge kutuambia watanzania kuwa bilioni anazoshutumiwa kuzipata isivyo halali ni visenti inaonyesha jinsi ASIVYOJALI KABISA! Hana hata chembe ya huruma wala ubinadamu! Inasikitisha ndugu wana jf kwani wote tunatembea mitaani na vivjijini na kujionea jinsi umasikini ulivyokithiri!

Mimi nionavyo..nchi yetu inayapitia mambo ambayo wenzetu pia waliyapitia miaka mingi iliyopita...ni wazi kuwa pengo kati ya masikini na matajiri litapelekea mgawanyiko mkubwa! Nimegundua kuwa CCM wanapenda upinzani uwepo! Kwasababu distraction itakuwepo! Wakiitwa mafisadi na wao wanaeneza propaganda na kuwaingiza wapinzani kwenye listi ya ufisadi ili kuwaneutralize na kuwa confuse wananchi wa kawaida ambao wao wanafikiria watapata wapi mlo!

CCM inabidi wawe accountable this time na wafanye mabadiliko ambayo yatainufaisha nchi hata kama upinzani wataonekana kuwa wana nia nzuri..hiyo haijalishi! Nia ambayo wameanza kuionyesha mahsusi kuanzia pale "mwembe yanga" Nawaeleza viongozi wetu Tanzania kuwa UANAUME WA KWELI NA UONGOZI BORA NI KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU KWA NIABA YA WANANCHI!

Mh rais hata kama Ufisadi utakuwa umekupitia kwa ukaribu..kuchukua uamuzi wa kuushughulikia kwa nia njema..na kuwawajibisha wote..na kuwaomba wananchi msamaha na kulimaliza hili suala kihistoria na kuwa kiongozi atakaye kuwa kwenye upande wa wazalendo kwenye historia ya nchi yetu! Mh Rais kwa waelewa wa mambo ni wazi tunajua yuko kwenye wakati mgumu..wakati ambao ndio kipimo kikuu cha uongozi!

Hata kama ikifikia kuunda timu mpya ya wasaidizi! watu wapya, uongozi mpya..ndio walichokuwa wakililia wananchi mara baada ya wewe kuupata uraisi..lakini bado inaonyesha kwamba unakumbatia upande wa ule msemo wa mkaa hauwezi kuwaka peke yake! Mh Rais pangua mikaa yote weka mipya..washa moto! utawaka tu! tunajua inachukua muda ila eventually utawaka! utakuwa moto mpya..utakaopelekea hari mpya! UWAJIBIKAJI NI LAZIMA!

Mh rais wanaokushauri wanakosea..ama umeamua mwenyewe kukosea!?Zamani mwalimu aliweza kuidhibiti Tanzania kwani alikuwa akiwanyima haki nyingi tu za kimsingi..kama vile kukutana..enzi hizo kila mtu spy! na hamruhusiwa watu kufanya mkusanyiko wa aina yeyote..sasa dunia ya sasa ni tofauti..watu hawana hata haja ya kukusanyika physically..jf ni mfano..tunakusanyika na kutoa maoni yetu..kuna bubu humu ndani kuna mwiba, wanavijiji, mapadre, masheik, viongozi wazalendo, wanasiasa wa tofauti kama makada na kina John Mnyika..na pia wewe mheshmiwa rais sometimes i am sure unakong'otea jf hapa na pale..na kwa hivyo basi tunakuwa tumeshakutana bila hata kibali..huku usalama wa taifa ukitumbua macho tu bila kuwa na uwezo wa kufanya lolote!

Wa kupingana na dunia mpya bila kutumia ugaidi! Maisha ya watu tu ndio hala hala yasiwekwe hatarini hata siku moja! Badala yake Mh raisi ujue kuwa sote tuna nia nzuri na nchi yetu..ila labda kimaamuzi flani flani tunatofautiana! Naamni deep inside your heart there is still something..something that you yourself needs to revive it..and then umshinde shetani na uwakomboe wananchi kutoka kwenye makucha ya ufisadi!

Kwenye hili ..yes time is a factor lakini nachelea kusema kuwa history inaweza isije kuwa upande wako kama usipoitumia nafasi hii muhimu na hadimu kihistoria kama "lulu" Uongozi ni mgumu mh rais..sijui kama ugumu unaouchukulia wewe ni wa u "busy" wa kishughuli ama ni wa maamuzi! Mimi nauzungumzia wa kimaamuzi kwani unaweza ukawa rais na ukafanya maamuzi ambayo yatawanufaisha wananchi hata kama utapata wakati wa kuwa "broken hearted" kwa kuwasukumia pembeni marafiki wapenzi wa siku nyingi..uliokuwa ukifanya nao kazi siku nyingi tu! na wasaidizi mafisadi..na kujikita kwenye timu mpya..yenye maono mapya na mapenzi dhabiti na ya kweli kwa nchi yetu!

Na sio wanaokula na kufakamia bila huruma na hapo hapo bila kujali na kuwatukana wanyonge! kuwaambia ndio nimeiba hivyo visenti lakini Mh rais hawezi kunifukuza kazi! Chenge alikuwa mwamuzi wa mwisho kwenye kila mkataba na keshawatega viongozi na hawawezi kumminya! Wao walikuwa wana imani nae kwani yeye kama mwanasheria mkuu..alikuwa na uwezo wa kuhakikisha hata kama kuna ufisadi..sheria za nchi zitakuwa zimefuatwa na mafisadi watakuwa wamelindwa na sheria hizo! Issue ilivyokaa kwa maoni yangu ni kwamba ikiwa kuna siku upinzani utachukua nchi..then kuna hatari kubwa ya viongozi kufikishwa mahakamani! Kwa ajili hiyo mh rais akaamua kuendelea kumkumbatia!

Lakini sidhani kwamba Chenge kuwa mwanasheria mkuu kunamfanya kuwa na uwezo wa kuziba mianya yote! Hatoweza kwani maslahi ya wananchi hayajawahi kupewa kipaumbele! Dola ndio inayowalinda viongozi wetu! Where are we going? Nina imani kuwa kabla hata ya sheria ama uchunguzi wowote ule..mazingira ya matukio yenyewe yana nguvu za hoja za kutosha kumfanya mh rais awasimamishe kazi viongozi wote..kutangaza hali ya hatari na kuutokomeza ufisadi!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mkjj ulijua wewe jamani au nawe ni msalama?tuambie mana mi niliwapasha watu hii habari wakasema haiwezekani leo nimekuwa wa kwanza kuwaambia jamaa masaa 48 ya mtu kujiuzulu yametimia.haaaaaaaaaaaa

ukiangalia posti yangu ya Ijumaa utajua ni kwanini nilianza 'tic tac tic tac'.. Wala haihusiani na yeye kusema "vijisenti" ile ilikuwa ni kama limau tu kwenye kachumbari ya kuwajibishwa.
 
duh ya leo kali mjomba kadokoa vya kutosha sasa kinachofuata segerea maana yeye ni mdau wa sheria so tunatarajia pia atazifuata ili kutekeleza katiba na sheria za nchi
 
Naomba tuvumiliane kwa hilo..ila ujumbe naomba usi uignore!

kusema ukweli huwa unadondosha sana Nondo lakini huwa nasoma mistari miwili ya mwanzo kisha bas

hebu fanya uweke SPACING kwenye post yako ninaham ya kuisoma lakini n=inaniumiza macho
 
jmushi1.

Ujumbe wako unaweza kuwa na maana lakini nimeshindwa kuusoma kwa sababu ni single paragraph.

Nikitaka kufanya mahesabu ya "fog factor" utapata 400, angalia kwenye mtandao ni nini, this is the biggest ever. Nina imani umesoma so "Rules of clear writing are mportant everywhere". Hata hapa JF.

If you want to know what is "FOG FACTOR" do not hesitate to ask me.

Njimba
 
Yaani mara mia tukodishe Kampuni na viongozi toka nje waje watuongoze tujue tunawalipa faida ya kiasi fulani kwa mwaka baasi. Hii ya kila mtu kujichotea chake tutabaki maskini milele.
 
Kwa kuwa raisi ndiye anayewateua hawa mawaziri, na kwa kuwa kila waziri aliyejiuzulu hadi sasa amefanya hivyo kwa kuhusishwa na kashfa ya aina fulani, Je Raisi hapaswi kutuomba radhi sisi wananchi kwa kutokuwa makini wakati wa teuzi zake na kuwakabidhi dhamana ya uongozi watu wasio safi?
 
Sisi watanzania kusema kweli kama ni usingizi..majority wetu tunauchapa kisawasawa! Inashangaza sana kuona kwamba mtu kama Mh Rais ameshindwa kujiweka upande wa wananchi na kuwateteta kama katiba inavyomtaka! Ni jambo la busara sana kwa viongozi kuhakikisha kwamba bado wako intouch na wananchi na sio kuwa out of touch!

Kwamba mh rais anashindwa kuwa na empathy na kujiweka kwenye nafasi ya mtanzania wa kawaida! Nashangazwa sana na utofauti ambao wameuonyesha..mpaka inafikia mahali tunajiuliza "HIVI KWELI VIONGOZI WETU NI WATANZANIA HALISI? "Ni maswali ambayo huwa nashindwa kuacha kujiuliza kadri ninavyozidi kupata muda wa kufuatilia mwenendo wa siasa zetu nchini! Inanishangaza sana pale ninapoona kuwa either kwa makusudi ama kwa ulazima Mh Rais ameshindwa kuyatumia madaraka makubwa aliyonayo katika mpambano huu dhidi ya mafisadi!

Mimi ni mmojawapo wa watu ambao nilikuwa nikimuona Kikwete kama "mtu wa watu" Raisi wa wanyonge na masikini..ambao ndio waliompeleka ikulu! Kwamba walipewa pilau, malapa, na kanga..hiyo sijui kama ilikuwa ndio the only reason walimpigia kura!

Kikwete alikuwa kipenzi cha watu na ndio maana mwalimu ilibidi azunguke nchi nzima kumnadi Mkapa..wote tunakumbuka hayo! Lakini kitendo cha mheshmiwa raisi kuwageuka wanyonge na masikini na kujikita kwenye siasa za mafisadi waliyoiuza nchi yetu kwa bei ya jumla huku wakigawana mifupa na mabaki.. na kuzidi kuwakumbatia wale wanaokiri kuwa "BILIONI NI VIJISENTI"..Kama yale yaliyotokea huko Ufaransa wakati wa French revolution pale malkia alipowaambia wakina mama waliokuwa hawana hata mkate wa kuwalisha watoto wao..kwa maana kuwa njaa ilikuwa kubwa..malkia aliwajibu kina mama hao walioandamana hapo ikulu kuwa "KWANINI MSILE KEKI?" Wakina mama hao walishangazwa kwani malkia alikuwa out of touch!

Yeye akila keki badala ya mkate huku watoto na kina mama hao wakililia walau mkate kwa watoto wao! Mapinduzi ya ufaransa ndio hapo yalipoanza! Chenge kutuambia watanzania kuwa bilioni anazoshutumiwa kuzipata isivyo halali ni visenti inaonyesha jinsi ASIVYOJALI KABISA! Hana hata chembe ya huruma wala ubinadamu! Inasikitisha ndugu wana jf kwani wote tunatembea mitaani na vivjijini na kujionea jinsi umasikini ulivyokithiri!

Mimi nionavyo..nchi yetu inayapitia mambo ambayo wenzetu pia waliyapitia miaka mingi iliyopita...ni wazi kuwa pengo kati ya masikini na matajiri litapelekea mgawanyiko mkubwa! Nimegundua kuwa CCM wanapenda upinzani uwepo! Kwasababu distraction itakuwepo! Wakiitwa mafisadi na wao wanaeneza propaganda na kuwaingiza wapinzani kwenye listi ya ufisadi ili kuwaneutralize na kuwa confuse wananchi wa kawaida ambao wao wanafikiria watapata wapi mlo!

CCM inabidi wawe accountable this time na wafanye mabadiliko ambayo yatainufaisha nchi hata kama upinzani wataonekana kuwa wana nia nzuri..hiyo haijalishi! Nia ambayo wameanza kuionyesha mahsusi kuanzia pale "mwembe yanga" Nawaeleza viongozi wetu Tanzania kuwa UANAUME WA KWELI NA UONGOZI BORA NI KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU KWA NIABA YA WANANCHI!

Mh rais hata kama Ufisadi utakuwa umekupitia kwa ukaribu..kuchukua uamuzi wa kuushughulikia kwa nia njema..na kuwawajibisha wote..na kuwaomba wananchi msamaha na kulimaliza hili suala kihistoria na kuwa kiongozi atakaye kuwa kwenye upande wa wazalendo kwenye historia ya nchi yetu! Mh Rais kwa waelewa wa mambo ni wazi tunajua yuko kwenye wakati mgumu..wakati ambao ndio kipimo kikuu cha uongozi!

Hata kama ikifikia kuunda timu mpya ya wasaidizi! watu wapya, uongozi mpya..ndio walichokuwa wakililia wananchi mara baada ya wewe kuupata uraisi..lakini bado inaonyesha kwamba unakumbatia upande wa ule msemo wa mkaa hauwezi kuwaka peke yake! Mh Rais pangua mikaa yote weka mipya..washa moto! utawaka tu! tunajua inachukua muda ila eventually utawaka! utakuwa moto mpya..utakaopelekea hari mpya! UWAJIBIKAJI NI LAZIMA!

Mh rais wanaokushauri wanakosea..ama umeamua mwenyewe kukosea!?Zamani mwalimu aliweza kuidhibiti Tanzania kwani alikuwa akiwanyima haki nyingi tu za kimsingi..kama vile kukutana..enzi hizo kila mtu spy! na hamruhusiwa watu kufanya mkusanyiko wa aina yeyote..sasa dunia ya sasa ni tofauti..watu hawana hata haja ya kukusanyika physically..jf ni mfano..tunakusanyika na kutoa maoni yetu..kuna bubu humu ndani kuna mwiba, wanavijiji, mapadre, masheik, viongozi wazalendo, wanasiasa wa tofauti kama makada na kina John Mnyika..na pia wewe mheshmiwa rais sometimes i am sure unakong'otea jf hapa na pale..na kwa hivyo basi tunakuwa tumeshakutana bila hata kibali..huku usalama wa taifa ukitumbua macho tu bila kuwa na uwezo wa kufanya lolote!

Wa kupingana na dunia mpya bila kutumia ugaidi! Maisha ya watu tu ndio hala hala yasiwekwe hatarini hata siku moja! Badala yake Mh raisi ujue kuwa sote tuna nia nzuri na nchi yetu..ila labda kimaamuzi flani flani tunatofautiana! Naamni deep inside your heart there is still something..something that you yourself needs to revive it..and then umshinde shetani na uwakomboe wananchi kutoka kwenye makucha ya ufisadi!

Kwenye hili ..yes time is a factor lakini nachelea kusema kuwa history inaweza isije kuwa upande wako kama usipoitumia nafasi hii muhimu na hadimu kihistoria kama "lulu" Uongozi ni mgumu mh rais..sijui kama ugumu unaouchukulia wewe ni wa u "busy" wa kishughuli ama ni wa maamuzi! Mimi nauzungumzia wa kimaamuzi kwani unaweza ukawa rais na ukafanya maamuzi ambayo yatawanufaisha wananchi hata kama utapata wakati wa kuwa "broken hearted" kwa kuwasukumia pembeni marafiki wapenzi wa siku nyingi..uliokuwa ukifanya nao kazi siku nyingi tu! na wasaidizi mafisadi..na kujikita kwenye timu mpya..yenye maono mapya na mapenzi dhabiti na ya kweli kwa nchi yetu!

Na sio wanaokula na kufakamia bila huruma na hapo hapo bila kujali na kuwatukana wanyonge! kuwaambia ndio nimeiba hivyo visenti lakini Mh rais hawezi kunifukuza kazi! Chenge alikuwa mwamuzi wa mwisho kwenye kila mkataba na keshawatega viongozi na hawawezi kumminya! Wao walikuwa wana imani nae kwani yeye kama mwanasheria mkuu..alikuwa na uwezo wa kuhakikisha hata kama kuna ufisadi..sheria za nchi zitakuwa zimefuatwa na mafisadi watakuwa wamelindwa na sheria hizo! Issue ilivyokaa kwa maoni yangu ni kwamba ikiwa kuna siku upinzani utachukua nchi..then kuna hatari kubwa ya viongozi kufikishwa mahakamani! Kwa ajili hiyo mh rais akaamua kuendelea kumkumbatia!

Lakini sidhani kwamba Chenge kuwa mwanasheria mkuu kunamfanya kuwa na uwezo wa kuziba mianya yote! Hatoweza kwani maslahi ya wananchi hayajawahi kupewa kipaumbele! Dola ndio inayowalinda viongozi wetu! Where are we going? Nina imani kuwa kabla hata ya sheria ama uchunguzi wowote ule..mazingira ya matukio yenyewe yana nguvu za hoja za kutosha kumfanya mh rais awasimamishe kazi viongozi wote..kutangaza hali ya hatari na kuutokomeza ufisadi!

The message is loud and clear...........Thanks.
 
Yaani mara mia tukodishe Kampuni na viongozi toka nje waje watuongoze tujue tunawalipa faida ya kiasi fulani kwa mwaka baasi. Hii ya kila mtu kujichotea chake tutabaki maskini milele.

Huko ndio kutakuwa kuuza nchi kabisaaa, kama watanzania tu uzalendo unawashinda hiyo kampuni ya kigeni toka nje tutegemee ifanye nini.Makampuni ya kigeni ya madini mfano mdogo tu kwani yanachofanya hasa ni kuhakikisha yanapata faida kubwa na kuipeleka kwao huku at the end of the day watatuachia mashimo matupuuu
 
jmushi1.

Ujumbe wako unaweza kuwa na maana lakini nimeshindwa kuusoma kwa sababu ni single paragraph.

Nikitaka kufanya mahesabu ya "fog factor" utapata 400, angalia kwenye mtandao ni nini, this is the biggest ever. Nina imani umesoma so "Rules of clear writing are mportant everywhere". Hata hapa JF.

If you want to know what is "FOG FACTOR" do not hesitate to ask me.

Njimba

Nashukuru sana tu kwa ushauri wako. Nina amini bado nitafikia uwezo wa kutuma posting yenye kusomeka vizuri na yenye hadhi ya kiuandishi!Tunajua kuwa hatuwabagui watu wasiojua "FOG FACTOR" ambayo unapata 400! Ni matumaini yangu kuwa una weka in consideration kuwa humu kuna wana vijiji toka sehemu mbali mbali na wananchi wengine wa kawaida tu!

Pamoja na wajuzi na wasomi wa kila aina!Tupeane muda tu hapa na baadae utagundua that we're all learning and growing in many different and unique ways.. given our back grounds! Tujue namna ya kuwasikiliza watu wote bila kujali tukasoro..ndio Tanzania yetu hii..kusikilizana hata kama unaongea kwa accent ya kigogo, kichagga, kihaya, kisukuma..together we're one and we all learn to present our matters in a simplier and better way in each and every day! at the same time not to under estimate each others views on how to move our beloved country foward!
 
Ningemshauri sasa JK awe karibu na JF na asikilize USHAURI unotolewa hapa kuliko kukutana na aibu hii
 
its fine, there was no way out...but the man possess a huge reserve of govts secrets....will he ever face justice??? kikwete tujibu hapa....
 
wamrudishe JOHN POMBE MAGUFULI au wampe ENG stella m.

huyu dr MAUA DAFTARI si kuwa hafai..bali naye anako katatizo kadogo ka kale kakesi kake kakutapeli vile visenti..UNAJUA ILE KESI AKISHINDWA RUFAA ATASTAHILI KUJIUZULU NAFASI YAKE!!!..maana atakuwa amekuwa convicted kwa jinai...hata kile kitendo cha kushindwa ile kesi kabla ya kukata fufani..kilipelekea rais kushauriwa asimchague kwenye baraza lililopita....na hata yeye alijua anatemwa ..basi tu rais alikaidi ushauri huo!!!
 
Back
Top Bottom