Ok, nilikurupuka,Kwa logic zako hapo lazima ujiulize maswali yafuatayo
1. Swali hili tuntumia lugha ya picha kulisolve ( kwa kuzitazams vizuri kwa umakini)
2. Kama photograph ndo imetofautisha ukubwa wa vichwa
VP mbona chane za mkasi zinalingana na kuna za mbele na nyuma.
3. Ni kwa nin mwishoni wamechukua kichwa cha saiz moja
4. Photo gani inayosababisha kichwa kimoja kupungua kiasi hicho na wakati vimeshikana..!
Unproved mathematicallyKumbe kina thamani ya ngapi
Nirudie kwa kusema ukiangalia hapo vitu vinavyolingana na kufana vina thamani moja I.e chane za mkasi , mzinga nkOk, nilikurupuka,
Ila tuthibitishie kuwa kichwa kikubwa3 nakidogo1
duh... fnguka mkuu... esabu utataWrong
Mkuu ya mwanzo inasimama badala ya 4Jibu ni 17 yaani
2+5×3=17
Jibu ni 17 yaani
2+5×3=17
Kwa hiyo na sie tujibu kwa picha?Nirudie kwa kusema ukiangalia hapo vitu vinavyolingana na kufana vina thamani moja I.e chane za mkasi , mzinga nk
Lakini vichwa havilingani ndugu
Kumbuka
Swali hili in case of proving tunatumia picha kuprove MAJIBU
Na sio njia mkuu
Tulitofautisha wingi wa chane kwa numeral ...! Pia hata ukubwa wa picha kwa numeral
HILI NI SWALI LA PICHA