Chemsha ubongo tafadhali

Chemsha ubongo tafadhali

Napenda sana chemsha bongo za namna hii. Hapo kwenye rangi nyekundu, umejuaje huo ukubwa kwamba ni mara moja na nusu japo ni kweli kichwa kimoja ni kikubwa kuliko kingine? Kwanini kisiwe kikubwa mara 2 au 2 na 1/2? Na pale mwanzo onyesha basi hiyo 3 umeipataje!
Hajui hesabu huyo,na ili kuonyesha hajui hili swali hana uwezo wa kulijibu.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mbona nilishajibu
Umejibu kinadhalia lakini sio uhalisia.

Kiuhalisia mtu yeyote alie assume hicho kichwa kidogo ni nusu ya kikubwa,au ni 1/4 ya kikubwa(alie assume) kiuhalisia kapata.Kwa sababu hukuweka any limit yeyote itakayomuongoza muhusika kupata jibu ulilotaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom