MAJIBU SAHIHI NI HAYA
hapo ukiangalia kuna
Kuna mistari minne
A....Msitari wa kwanza una picha ya mikasi na kila mkasi una chane tatu hivyo ni
3+3+3= 9
B.. mstari unaofata una picha ya mizinga miwili na mkasi mmoja wenye chane tatu hivyo kwa kua mizinga inafanana kwa kila kitu kila mmoja una thamani ya 5 ili hesabu ya 13 ikamilike
3+5+5= 13
C... Mstari wa tatu ambao wengi wenu mlishindwa kujituma kimawazo ipasavyo
Huu una picha ya mzinga ambao nimesema thamani yake 5 na picha ya vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo ...! Ukiangalia kwa umakini wa hali ya juu kichwa kidogo kinaingia Mara moja na nusu (1.5) ili kilingane na kikubwa hivyo vinatakiwa vichwa vidogo vitatu(3) ndipo upate kikubwa kimoja ..! Kumbe kichwa kikubwa kina thamani ya (3) na kidogo kina thamani ya moja(1) jumla NNE (4)
Ikawa 5- 4= 1. HAPA NDIPO NILICHINJA WENGI ....!
D... Picha ya mwisho ni kichwa kikubwa thamani ni 3. Mzinga thamani 5. Na mkasi WENYE CHANE 4 . Kwa kua chane zinaendana na thamani
Ikawa 3+ 5× 4 = 23 HILI NDO JIBU SAHIHI ...!
KWA HIYO ANS IS. 23
Asilimia 98% yenu mmekosa hili swali ..!