ibn juma3 al-qaasimy
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 289
- 153
2(+5*4)
2+20
=22
2+20
=22
2+(5*4)Nimesha elewa, ila hii imekaa kimazingaombwe zaid...
But nimeona vizuri kumbe kuna idadi tofaut ya visu hivyo DAH...!
Umakin mdogo kweli
Kama hilo nalo sio jibu, basi binafsi nimeshindwa, nasubiri jibu ktoka kwako.Wrong
Big wrongNimeupdate jibu ni 19, sikuona ile alama ya kuzidisha nilijua jumlisha. Sasa kuna mtu umemwambia hata 19 ni wrong. We kijana unatuchezea wewe, hapo magazijuto lazima iapply
Picha ya kwanza 3 + 3 + 3 = 9
Picha ya pili 3 + 5 + 5 = 13
Picha ya tatu 5 - 4 = 1
Picha ya nne 4 + 5 x 3 = 19
Una explanation tofauti?
Big wrong
Angalia idadi mikasi ,vichwa
Basi kwa kuangalia idadi ya mikasi .....Big wrong
Angalia idadi mikasi ,vichwa
kweli hisabati ina watu wake haswaHa ha ha hesabu ina wenyewe every answer wrong wrong duh! kawimbo sasa!
jibu ni 21 mkuu usitupasue vichwa!!kweli hisabati ina watu wake haswa
Hapana we angalia vichwa vya ile mikasi......ile mikasi ya mwisho ina vichwa vi4 lakini ya kwanza ina vichwa vi3 ndio maana nikasema 2+(5×4)=22Umekosea kidogo tu hapo mwisho kwenye bracket ilitakiwa iwe2+ (5×3)=