Chemsha ubongo tafadhali

Chemsha ubongo tafadhali

c2690d5f9f51bce1e339363fb6c938fc.jpg
Jibu ni 27 yaani 4+5×3=27
 
MAJIBU SAHIHI NI HAYA

hapo ukiangalia kuna
Kuna mistari minne
A....Msitari wa kwanza una picha ya mikasi na kila mkasi una chane tatu hivyo ni
3+3+3= 9
B.. mstari unaofata una picha ya mizinga miwili na mkasi mmoja wenye chane tatu hivyo kwa kua mizinga inafanana kwa kila kitu kila mmoja una thamani ya 5 ili hesabu ya 13 ikamilike
3+5+5= 13
C... Mstari wa tatu ambao wengi wenu mlishindwa kujituma kimawazo ipasavyo
Huu una picha ya mzinga ambao nimesema thamani yake 5 na picha ya vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo ...! Ukiangalia kwa umakini wa hali ya juu kichwa kidogo kinaingia Mara moja na nusu (1.5) ili kilingane na kikubwa hivyo vinatakiwa vichwa vidogo vitatu(3) ndipo upate kikubwa kimoja ..! Kumbe kichwa kikubwa kina thamani ya (3) na kidogo kina thamani ya moja(1) jumla NNE (4)
Ikawa 5- 4= 1. HAPA NDIPO NILICHINJA WENGI ....!

D... Picha ya mwisho ni kichwa kikubwa thamani ni 3. Mzinga thamani 5. Na mkasi WENYE CHANE 4 . Kwa kua chane zinaendana na thamani
Ikawa 3+ 5× 4 = 23 HILI NDO JIBU SAHIHI ...!

KWA HIYO ANS IS. 23

Asilimia 98% yenu mmekosa hili swali ..!
 
MAJIBU SAHIHI NI HAYA

hapo ukiangalia kuna
Kuna mistari minne
A. Msitari wa kwanza una picha ya mikasi na kila mkasi una chane tatu hivyo ni
3+3+3= 9
B mstari unaofata una picha ya mizinga miwili na mkasi mmoja wenye chane tatu hivyo kwa kua mizinga inafanana kwa kila kitu kila mmoja una thamani ya 5 ili hesabu ya 13 ikamilike
3+5+5= 13
C. Mstari wa tatu ambao wengi wenu mlishindwa kujituma kimawazo ipasavyo
Huu una picha ya mzinga ambao nimesema thamani yake 5 na picha ya vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo ...! Ukiangalia kwa umakini wa hali ya juu kichwa kidogo kinaingia Mara moja na nusu (1.5) ili kilingane na kikubwa hivyo vinatakiwa vichwa vidogo vitatu(3) ndipo upate kikubwa kimoja ..! Kumbe kichwa kikubwa kina thamani ya (3) na kidogo kina thamani ya moja(1) jumla NNE (4)
Ikawa 5- 4= 1. HAPA NDIPO NILICHINJA WENGI ....!

D. Picha ya mwisho ni kichwa kikubwa thamani ni 3. Mzinga thamani 5. Na mkasi WENYE CHANE 4 . Kwa kua chane zinaendana na thamani
Ikawa 3+ 5× 4 = 23 HILI NDO JIBU SAHIHI ...!

KWA HIYO ANS IS. 23

Asilimia 98% yenu mmekosa hili swali ..!
Hakuna kitu hapo umetumia vipimo gani kupima hiko kichwa. Jibu lako halipo sahihi na wala sikubaliani nalo.
 
MAJIBU SAHIHI NI HAYA

hapo ukiangalia kuna
Kuna mistari minne
A....Msitari wa kwanza una picha ya mikasi na kila mkasi una chane tatu hivyo ni
3+3+3= 9
B.. mstari unaofata una picha ya mizinga miwili na mkasi mmoja wenye chane tatu hivyo kwa kua mizinga inafanana kwa kila kitu kila mmoja una thamani ya 5 ili hesabu ya 13 ikamilike
3+5+5= 13
C... Mstari wa tatu ambao wengi wenu mlishindwa kujituma kimawazo ipasavyo
Huu una picha ya mzinga ambao nimesema thamani yake 5 na picha ya vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo ...! Ukiangalia kwa umakini wa hali ya juu kichwa kidogo kinaingia Mara moja na nusu (1.5) ili kilingane na kikubwa hivyo vinatakiwa vichwa vidogo vitatu(3) ndipo upate kikubwa kimoja ..! Kumbe kichwa kikubwa kina thamani ya (3) na kidogo kina thamani ya moja(1) jumla NNE (4)
Ikawa 5- 4= 1. HAPA NDIPO NILICHINJA WENGI ....!

D... Picha ya mwisho ni kichwa kikubwa thamani ni 3. Mzinga thamani 5. Na mkasi WENYE CHANE 4 . Kwa kua chane zinaendana na thamani
Ikawa 3+ 5× 4 = 23 HILI NDO JIBU SAHIHI ...!

KWA HIYO ANS IS. 23

Asilimia 98% yenu mmekosa hili swali ..!
Mathematics sio lugha kaka,
Namimi nilijua tu utatengeneza njia iliuwakoseshe watu.

Vichwa viwili kutofautiana sio sababu yakupelekea kuvitofautisha thamani ie 1 kwa3,hii nikwasababu hiyo inaonekana ndogo kwasababu:-
-kipo nyuma yakichwa chakwanza.
-kama niphotograph,tutasema picha imepigwa upande wakichwa kikubwa kwaukaribu.
-hata ukiviangalia hivyo vichwa utaona hatamwelekeo wakidogo nitofauti nawakikubwa.

##tuthibitishie mathematical kuwa kichwa kikubwa 3 nakidogo1#

Alaf hizo thaman/3/1 ni nini ujazo, ukubwa au idadi.

###sikuwa mjuzi sana ila skuwa nabuluzwa##
 
Kwa logic zako hapo lazima ujiulize maswali yafuatayo
1. Swali hili tuntumia lugha ya picha kulisolve ( kwa kuzitazams vizuri kwa umakini)
2. Kama photograph ndo imetofautisha ukubwa wa vichwa
VP mbona chane za mkasi zinalingana na kuna za mbele na nyuma.
3. Ni kwa nin mwishoni wamechukua kichwa cha saiz moja
4. Photo gani inayosababisha kichwa kimoja kupungua kiasi hicho na wakati vimeshikana..!
 
MAJIBU SAHIHI NI HAYA

hapo ukiangalia kuna
Kuna mistari minne
A....Msitari wa kwanza una picha ya mikasi na kila mkasi una chane tatu hivyo ni
3+3+3= 9
B.. mstari unaofata una picha ya mizinga miwili na mkasi mmoja wenye chane tatu hivyo kwa kua mizinga inafanana kwa kila kitu kila mmoja una thamani ya 5 ili hesabu ya 13 ikamilike
3+5+5= 13
C... Mstari wa tatu ambao wengi wenu mlishindwa kujituma kimawazo ipasavyo
Huu una picha ya mzinga ambao nimesema thamani yake 5 na picha ya vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo ...! Ukiangalia kwa umakini wa hali ya juu kichwa kidogo kinaingia Mara moja na nusu (1.5) ili kilingane na kikubwa hivyo vinatakiwa vichwa vidogo vitatu(3) ndipo upate kikubwa kimoja ..! Kumbe kichwa kikubwa kina thamani ya (3) na kidogo kina thamani ya moja(1) jumla NNE (4)
Ikawa 5- 4= 1. HAPA NDIPO NILICHINJA WENGI ....!

D... Picha ya mwisho ni kichwa kikubwa thamani ni 3. Mzinga thamani 5. Na mkasi WENYE CHANE 4 . Kwa kua chane zinaendana na thamani
Ikawa 3+ 5× 4 = 23 HILI NDO JIBU SAHIHI ...!

KWA HIYO ANS IS. 23

Asilimia 98% yenu mmekosa hili swali ..!
We ni mtunzi tu wa Jibu, ila iyo nursery quest jibu lake ni 22 tu..orientation ya vichwa ndo unataka utulazimishie jibu lako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom