Chemsha ubongo tafadhali

Chemsha ubongo tafadhali

Nimeupdate jibu ni 19, sikuona ile alama ya kuzidisha nilijua jumlisha. Sasa kuna mtu umemwambia hata 19 ni wrong. We kijana unatuchezea wewe, hapo magazijuto lazima iapply

Picha ya kwanza 3 + 3 + 3 = 9
Picha ya pili 3 + 5 + 5 = 13
Picha ya tatu 5 - 4 = 1
Picha ya nne 4 + 5 x 3 = 19

Una explanation tofauti?
 
Mstari was kwanza ndizi zilikuwa mafungu 3 kila fungi na ndizi 3 hivyo 9 lakini mwishoni fungu lina ndizi 4.
Kichwa kipo kimoja hivyo ni 1.
Hiyo gari inawakilisha 5.
Jibu
1+5*4=21
 
Mstari was kwanza ndizi zilikuwa mafungu 3 kila fungi na ndizi 3 hivyo 9 lakini mwishoni fungu lina ndizi 4.
Kichwa kipo kimoja hivyo ni 1.
Hiyo gari inawakilisha 5.
Jibu
1+5*4=21
Wrong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom