Ha ha ha hesabu ina wenyewe every answer wrong wrong duh! kawimbo sasa!Wrong
Ha ha ha hesabu ina wenyewe every answer wrong wrong duh! kawimbo sasa!Wrong
Ndizi=xNipe jibu na njia tuone
Hahahahaha imenibidi nicheke tu mkuu!!Nimeupdate jibu ni 19, sikuona ile alama ya kuzidisha nilijua jumlisha. Sasa kuna mtu umemwambia hata 19 ni wrong. We kijana unatuchezea wewe, hapo magazijuto lazima iapply
Picha ya kwanza 3 + 3 + 3 = 9
Picha ya pili 3 + 5 + 5 = 13
Picha ya tatu 5 - 4 = 1
Picha ya nne 4 + 5 x 3 = 19
Una explanation tofauti?
Ngoja tusubiri jibu lako lakini hii aljebra na hilo jibu langu (22) naona lipo sahihi.Big wrong
hakuna mwisho wa thread JF, labda ifungiwe!sio sahihi nitatoa jibu mwisho na njia yake