Kama hivi


FB_IMG_1622361272454.jpg
 
Shida iko wapi kwani? Au unadhani wamechukua ubingwa kwa ushindi wa mezani? Hukuwaona walivyo pambana kiasi cha kuwatoa Atletico Madrid na Real Madrid! Achilia mbali Porto!!

Chelsea ndiyo Bingwa! Na kwa hilo, binafsi nawapongeza sana.
 
Siyo sahihi njoo uchukue kombe na nyie mashabiki wa Man u tuwaonjeshe raha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sahihi sababu namba zina endana tu 2012 -2021kilichofanyika ni kugeuza tu izo namba basi
 
Sio sahihi
Sahihi

Ulitaka bingwa awe nani mkuu timu bora yenye game plan na bahati ndio imeshinda
 
Swali zuri sana;

Wamepewa ubingwa na Guardiola, unajisifu vipi kumtoa Atletico Madrid na Real Madrid ya wazee na Man City iliyopanga kikosi dhaifu.

Mpira wa kileo kutopanga kiungo mkabaji ni sawa na kulala mlango wazi usiku.

Guardiola kawapa zawadi kubwa sana, mumjengee sanamu pale nje Stamford Bridge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom