lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,468
- 21,904
Sifa za Higuaín ambazo mashabiki wengi wa Chelsea hawazijui
Katika Maisha yake ya soka, Higuaín hatamsahau Sari pale Napoli
Higuaín anakiri kuwa Sarri amembadilsiah jinsi anavyocheza na kuwazia soka
Kwa mapenzi haya ya Higuaín na Sari, ni Dhahiri Higuaín ni ngumu kufanya vizuri chini ya kocha mwenye approach tofauti na sarri
Tunategemea ari, kujitoa katika kucheza na kufunga magoli itaongezeka tofauti na alivyokuwa Sansiro au Turin Italy
Unaweza kusoma Zaidi hapa kuhusu Higuaín anavyomuelezea Sarri
Chelsea news: What Gonzalo Higuain has said about Maurizio Sarri ahead of Chelsea transfer | Metro News
- Umbile lake wastani kwa urefu na ni njemba kiasi kama Aguero
- Ana uwezo wa kukaa na mpira tofauti na Morata au Giroud
- Ana mashuti makali na ana uwezo wa kufunga magoli ndani na nje ya 18
- Akipata ushirikiano mzuri ni mshambuliaji mwenye shabaha kiwango cha akina Aguero wa Man City
- Katika nusu ya msimu uliobakia anaweza kufunga Zaidi ya magoli 15 na hivyo kuongeza Akiba ya magoli ya Chelsea na pia kumuongezea ari na fursa Hazard na Willian na Pedro
- Kwanza atamrudisha Hazard kwenye nafasi yake ya winga wa kushoto ambayo sio tu anaipenda bali pia anaiwezea
- Kwa sababu ya uwezo wake wa kukaa na mpira na ni tough, atashirikiana vizuri na Hazard na pengine Higuaín anaweza asifunge magoli mengi ila akampa nafasi Hazard ya kufunga magoli mengi Zaidi ya anavyofunga sasa
- Ataleta pia motivation kwa Willian ambaye uchezaji wake umedorora kwa siku za karibuni ambayo mimi nadhani ni kwa sababu Chelsea ina wachezaji wa hovyo kule mbele.
- Pia atatengeneza maelewano mazuri na Luiz kwa zile pressing pass zake na hivyo kuifanya Chelsea iwe hai mbele