Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Chelsea na Juve zimekubaliana kwamba Chelsea itamsajili Huguain kwa mkopo kwa mkataba wa miezi 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichofanya hapo juu na hichi ulichpost hapa kina tofauti gani. Bado ni copy and paste.
Zipo lugha nzuri unaweza kutumia ili kuwasilisha hoja yako ukaeleweka. Kama unahisi hueleweki hebu acha kuliko kutumia lugha hizi.Asante sana Mkuu kwa kunisahihisha vyema, afu bado tena mtu anasema kuwa PEP kaitengeneza sana Man City kuliko Mou aliyeikuta Man U ambayo haikuwa kushiriki kabisa UEFA zaidi ya misimu miwili nyuma.
Kuna Mawatu majinga sana hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nalo hilo taira la Pep lizidi kujipendekeza ili liwe linabaguliwa tu mpaka life, maana linaongozwa na hisia kuliko ukweli halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatufaa sana japo sina uhakika na usahihi wa hii habari.Kuna tetesi kuwa wanataka kumswap Philippe Coutinho (26yrs) na Willian da Silva (30yrs) baada ya ile swap deal ya Willian na Malcom kushindikana. , Je Coutinho atatufaa Chelsea baada ya mambo kumuendea vibaya Barcelona?
Nimegundua kwamba huu mchezo wa kuswap ni wa kutegeana, Chelsea wasipowaondoa giroud na Morata, hawataweza pia kumsajili Higuan au striker yeyote, Odoi akiondoka, Willian hawezi kutolewa. Nafasi ambayo najua tu itawahi muda wowote ni ya Paredes kwa sababu Jourginho anaweza fia uwanjaniChelsea wanatarajiwa kuendelea mbeli na mpango wao wa kumsajili mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, ambaye yuko kwa mkopo AC Milan, kufikia mwisho wa wiki hii. (Telegraph)
Daa hivi Barca wameona nn kwa William?Kuna tetesi kuwa wanataka kumswap Philippe Coutinho (26yrs) na Willian da Silva (30yrs) baada ya ile swap deal ya Willian na Malcom kushindikana. , Je Coutinho atatufaa Chelsea baada ya mambo kumuendea vibaya Barcelona?
Bado nae ataonekana kuwa mzigo kama kutakua hakuna mpiga pasi za mwisho.Chelsea na Juve zimekubaliana kwamba Chelsea itamsajili Huguain kwa mkopo kwa mkataba wa miezi 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako Willian ni winga mzuri sana na pia anaweza kucheza kiungo wa kushambulia ila tu pamoja na Chelsea kukosa watu wazuri kule mbele wa kuweza kutumia vizuri krosi za willian pia naona interest na Chelsea imeisha tangu atibuane na Conte au ni inconsistency to ya kawaida ambayo kila mchezaji anapitiaDaa hivi Barca wameona nn kwa William?
Ila siwez kuamini et wamtoe Cotinho kwa Willian sio rahisi na haiwezekani
Hakuna timu yenye wachezaji wengi kuliko Chelsea hasa wale waliotolewa kwenye mkopo halafu bado tunakosa wachezaji kwenye nafasi nyeti. Mfumo wa usajili wa Chelsea una shida tena kubwaBado nae ataonekana kuwa mzigo kama kutakua hakuna mpiga pasi za mwisho.
yule aliyetaka kupigana jana fainal ya copa italiaChelsea wanatarajiwa kuendelea mbeli na mpango wao wa kumsajili mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, ambaye yuko kwa mkopo AC Milan, kufikia mwisho wa wiki hii. (Telegraph)
safi sana huyo ndio mzuri sasayule aliyetaka kupigana jana fainal ya copa italia
William kiwango chake kimeshuka, na sijaona akipiga krosi zozote mbali na kupoteza mipira hovyo, labda akienda huko atabadilikaKwa taarifa yako Willian ni winga mzuri sana na pia anaweza kucheza kiungo wa kushambulia ila tu pamoja na Chelsea kukosa watu wazuri kule mbele wa kuweza kutumia vizuri krosi za willian pia naona interest na Chelsea imeisha tangu atibuane na Conte au ni inconsistency to ya kawaida ambayo kila mchezaji anapitia