eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Kumpa ucaptein sio hoja hoja ni kwamba asipofanya vizuri kazi yake awekwe benchi tucahili point of weakness in chelsea defense, hamfikii hata dogo ANDREAS CHRIST achilia mbali rudiger.
sema makocha wa kiitaliano huwa hawana imani na vijana wanapenda kutumia wazee.
sijui alitumia vigezo gani kumpa u captain mtu mzembe kama cahili.
Aspiliqueta si yupo
Adreas yuko vizuri sana asikuambie mtu