Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku Nikimfunga Chelsea Darajani Ntaamini Chama Langu Limerud Kwa Sasa Bado Nasita Conte Ana Mbinu Za Ajabu Yule Wa Manchester City Sina Wasiwasi Nae Yeye Habadilik Ni Rahis Kumzuia Kipimo Cha Ubingwa Lazima nimfunge Chelsea.
Kweli mkuu ili uwe bingwa lazima umfunge bingwa, bila kusahau kuchukua walau point nne nne kwa wale top 4 wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandalizi gani.? Hivi ile ndizi ya Alonso unataka kuifananisha na goli la Likuku.? Kweli ndugu! Kweli.?

We kweli kipofu, sasa pale Alonso lile goli lina uspesho gani? just normal strike ambayo golikipa amefanya uzembe kuwahi kuchupa. Kweli mapenzi upofu.
 
We kweli kipofu, sasa pale Alonso lile goli lina uspesho gani? just normal strike ambayo golikipa amefanya uzembe kuwahi kuchupa. Kweli mapenzi upofu.
Ningekua kipofu hata hilo goli nisingeliona, na hilo la Likuku lina uspesho gani.? We kweli mbimbinyo wa ushirombo. Ukimaind busu kiwembe.
 
Habari Mupya!!! - £36m to end striker Michy Batshuayi's misery to Lille

Lille ready to offer £36million for Chelsea striker Michy Batshuayi and end his misery at Stamford Bridge
Batshuayi only scored five Premier League goals last season and is now playing second fiddle behind new arrival Alvaro Morata.

Arsenal-v-Chelsea-FA-Community-Shield-Football-Wembley-Stadium-London-Greater-London-United-Ki.jpg

Unaonaje? Anende ama abaki? Kumbuka kwamba mshambuliaji huyu ana miaka 23 tu, consider he has room to improve...tusije kujuta na kumnunua tena kwa Pound 70m
 
JIHESHIMU, unaharibu jukwaa tunaonekana wote sio wastaarabu kwa hayo matusi unayoandika.
be agentlemen, matusi yanakupunguzia ''reputation'' yako.
mimi ni blue mwenzio ila sijapendezwa na unavoandika kumjibu radika.
hatuishi hivo kiongozi.
Na ww embu kitulize, sasa kama hujapendezwa unanihusu nini? We hujui tulipoanzia so usiingilie usiyoyajua.
 
Hata Leicester City Alikuwa Bingwa Kumbuka Hilo Dogo Ila Hajazoea Ubingwa Unaweza Ukawa Bingwa Lakin Shabik Limbukeni Unatukana Hovyo Inshu Ni Ndogo Tu Ushachanganyikiwa Ukiona Unairuhusu Simu Yako Kuandika Takataka Ujue Dish Limeyumba Unawazalilisha Watu Wa The Blues Unafikir Ukitukana Ntakuacha Subutu Sisi Wakubwa Huwa Tunawapenda Madogo Zetu Utazoea Tu
Dishi la mama yako labda ndio limecheza na liquma lake lililovimba, tokea ameondoka fargie una makombe mangap y EPL na sisi tuna mangapi, hapo ndio utaelewa nani amezoea makombe ..........
 
Siku Nikimfunga Chelsea Darajani Ntaamini Chama Langu Limerud Kwa Sasa Bado Nasita Conte Ana Mbinu Za Ajabu Yule Wa Manchester City Sina Wasiwasi Nae Yeye Habadilik Ni Rahis Kumzuia Kipimo Cha Ubingwa Lazima nimfunge Chelsea.
Sawa mzee ila inawezekana ujipange sawasawa maana man u wanapata tabu sana darajani
 
Dishi la mama yako labda ndio limecheza na liquma lake lililovimba, tokea ameondoka fargie una makombe mangap y EPL na sisi tuna mangapi, hapo ndio utaelewa nani amezoea makombe ..........

NLISHAKWAMBIA MATUSI KWANGU HAYANA NAFASI NA WALA HAYANIUMIZ KWA KUWA HAYAKAI USONI KUNA TOFAUT KAT YA MKUBWA NA MTOTO.
Wakina Mama Wana Tabu Sana Vijana Wao Pamoja Na Kuwaleta Duniani Bado Unamzalilisha Hadi Mama Yako Kisa Spurs Kamzid Chelsea Possession Na Kaupiga Mwingi Du We Mkali Kwa Hiyo Ulikuwa Unasubiria Fergie Aondoke Ndo Panya Utawale Chelsea Kabeba Makombe Mawili Lakin Unajua Manchester Kabeba Mangapi Toka Aondoke Namalizia Tu HATA TEMBO AKONDE MIAKA NA MIAKA KAMWE HAWEZI KUFANANA NA PAKA,
 
Dishi la mama yako labda ndio limecheza na liquma lake lililovimba, tokea ameondoka fargie una makombe mangap y EPL na sisi tuna mangapi, hapo ndio utaelewa nani amezoea makombe ..........

Da Unatia Huruma 20 Kwa 6 Halafu Na Wewe Umezoea Makombe Mungu Wangu Kasome Ubao Wa Manchester United Uje Usome Na Wa Chelsea Utaona Utofaut

ILA SIIDHARAU CHELSEA FOOTBALL CLUB.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom