HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,385
- 94,640
Yule jamaa ni flop akija kwetu tutajuta sana kumnunuandio ombi langu kubwa ........
Yule jamaa ni flop akija kwetu tutajuta sana kumnunuandio ombi langu kubwa ........
kweli kila mtu na matamanio yake miye lukaku kwangu ndiyo kila kitu costa kwangu alikuwa ananisababishia shinikizo la damuYule jamaa ni flop akija kwetu tutajuta sana kumnunua
bado mpaka first july na ndipo usajili unaanza rasmi kwa chelseaNew kit ya Chelsea ishatoka?
siku ya mechi ya monaco na juventus huyo bakayoko alikuwa ovyo sijui ana nini cha kumzidi maticBreaking news
Bakayoko atua london
Kukamilisha usajili wake na chelsea soon
Lukaku me naona miyeyusho tu bora tusimchukuekweli kila mtu na matamanio yake miye lukaku kwangu ndiyo kila kitu costa kwangu alikuwa ananisababishia shinikizo la damu
Siku pia tunacheza na man u ukafungwa 2-0 Matic alikuwa hovyosiku ya mechi ya monaco na juventus huyo bakayoko alikuwa ovyo sijui ana nini cha kumzidi matic
Huyo dogo hatufai.. chenga nyingi zenye madhara kwa timu yake na mchoyo kama sturridge.Chelsea wanakaribia kumnasa winga wa middlesbrough Adama traore
kwanini unasema nikafungwa badala ya kusema tukafungwa sababu ya kujiondoa wewe nini?Siku pia tunacheza na man u ukafungwa 2-0 Matic alikuwa hovyo
Huwezi kuwa katika kiwango kila day
Ila ni bonge la mchezaji bakayoko
Time will tell
tatizo lake nini mkuu?Lukaku me naona miyeyusho tu bora tusimchukue
Amekuwa hana performance nzuri akija Chelsea kama ambavyo huwa anafanya Evertontatizo lake nini mkuu?
kumbuka akiwa chelsea alicheza kwa pressure kubwa na ujana ulichangia ila kwa sasa huyo kijana tutegemee mazuriAmekuwa hana performance nzuri akija Chelsea kama ambavyo huwa anafanya Everton
Chelseafc.TanzaniaInsta watumia jina gani?
Hao watoto hawawezi kutupa ubingwaHili suala la ake kuuzwa halijanipendeza kabisa
Chelsea tuna academy nzuri sema tu ndio hivyo hatuwaamini wala kuwapa nafasi
Tunawauza halafu baadae tunahaha kuwarudisha tena kwa hela nyingi.
Kwa nn hata tusiige mfano kwa Spurs karubia kikosi chao chote wametoka kwenye academy yao
Man u vile vile akina rashford Lingdard
Chelsea tunabaki tu kusajili wazee akina bonnucci