Conte: "We are building something important. I think my players are fully in my idea of football, fully in the method. When you arrive as a new coach in a new team, you must know your players & have a bit of time to understand the habits.“

Antonio Conte is expected to sign a new contract has warned Chelsea’s rivals that his side will be even better next season.

Conte: "This is my first season at Chelsea and for sure when you have the possibility to work more years, you must improve. My players are understanding my idea of football. They are adapting to my system, to my philosophy of football.“
 
umeongelea vitu viwili vinavopingana ndugu, sasa sijajua msimamo wako ni upi.

Tunaongelea performance ya herrera na kante, we unaongelea Manchester kuwa namba 6 na chelsea kuongoza ligi, umesahau kuongoza ligi ni team performance sio individual performance. umesahau kuwa vermaleen alichukua uefa na barca wakati akina bonucci, T silva, David luiz etc wanaangalia kwenye tv, au unataka unambie vermaleen alikua mzuri kuliko hao?
Handerson na buttner walichukua epl wakati gerald kaishia kubusu kamera

umeongea kuhusu mfumo na jinsi makocha wanavowatumia, hapa sijakuelewa ndugu, kwamba mfumo anaotumia conte haujamkubali kante ndio maana takwimu zake zipo chini kuliko herrera???

hapo kwenye red umekubali kuwa takwimu zinaonesha herrera ni bora kuliko kante ila ni underrated?
Kwa mtu anaefuatilia mpira, kiungo wa uhispania anaechezea klabu kubwa yoyote ulaya obvious ni fundi ukilinganisha na wa nchi zingine unless huyo wa nchi nyingine awe na uwezo wa kuchukua ballon d or ndo utamlinganisha

Mm nauelewa sana mchango wa kante na ninaufurahia, ila kiukweli quality yake bado ni kawaida sana hata kocha conte anazungumza hilo suala mara nyingi tuu kuwa kijana anakiwa kuimprove

Namalizia kwa kusema hivi kante ana kiwango bora kuliko hererra lakini hererra ana ubora mzuri kuliko kante. Kama hujaelewa na hapo sasa wewe ni ........ Tafuta jawabu
 
Mwisho wa ligi tutaona aliyeingia kwenye kikosi bora cha EPL kati ya kante na Herrera kisha sitapenda malalamiko huo ndio utakuwa mwisho wa ubishi.ntakuja kukukumbusha hili
 
Kwa mtu anaefuatilia mpira, kiungo wa uhispania anaechezea klabu kubwa yoyote ulaya obvious ni fundi ukilinganisha na wa nchi zingine unless huyo wa nchi nyingine awe na uwezo wa kuchukua ballon d or ndo utamlinganisha

Mm nauelewa sana mchango wa kante na ninaufurahia, ila kiukweli quality yake bado ni kawaida sana hata kocha conte anazungumza hilo suala mara nyingi tuu kuwa kijana anakiwa kuimprove

Namalizia kwa kusema hivi kante ana kiwango bora kuliko hererra lakini hererra ana ubora mzuri kuliko kante. Kama hujaelewa na hapo sasa wewe ni ........ Tafuta jawabu
Bashite at work
 
Ushabiki usikutie upofu, maana yeye mwenyewe kante anakiri kua anatakiwa Kuimprove, sasa nakushangaa wewe unaebisha!!! May be you know less about football
Hahahahhaa braza usikazanie kutetea imani yako kwan herera hasemi anatakiwa aimprove
 
Screenshot_2017-03-24-09-50-06-1.png

Tukimaliza hizi mechi zote vizuri itakuwa poa sana, maana kwanza ni nyingi na ngumu aiseee!
 
"ONCE A BLUE ALWAYS A BLUE"[/BLUE]

True blues!

Poleni shabiki wa Chelsea hapa Tanzania kwa kuchelewa kutazama kandanda,wengi wamechipukia 2005/6.
 
Back
Top Bottom