Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kuandika Habari zako za kishabiki na chuki dhidi ya Mourinho, Fabregas ameruhusiwa na kocha wake wa timu ya taifa baada ya Madokta wa timu ya taifa ya Hispania kujiridhisha kwa kumpima Faby... Na pia Costa na yeye wamejiridhisha....sasa ni wapi Jose Mourinho kawazuia Hao wachezaji? Alafu tuna wachezaji wangapi ambao wameenda kuchezea mataifa Yao? Au Hao huwaoni? Na vipi kuhusu Ramires kuachwa na timu yake ya taifa kazuiwa na yeye Na Mourinho?

I

Mourihno anaendelea kuingiza soka kwenye kashfa ingine!

Anawalazimisha wachezaji wake tegemeo wajitoe team za Taifa kama alivyokuwa anawalazimisha wachezaji wa Madrid wasiwe na urafiki na Barcelona!

Lkn leo Ramos kaongea vitu vya maana sana,nchi kwanza club baadae!

Fabr anaisaliti Spain sababu ya club wkt Costa HANA cha kupoteza sababu yy ni Brazilian!! Ntuzu agosti 8 kalon
 
Last edited by a moderator:
Acha kuandika Habari zako za kishabiki na chuki dhidi ya Mourinho, Fabregas ameruhusiwa na kocha wake wa timu ya taifa baada ya Madokta wa timu ya taifa ya Hispania kujiridhisha kwa kumpima Faby... Na pia Costa na yeye wamejiridhisha....sasa ni wapi Jose Mourinho kawazuia Hao wachezaji? Alafu tuna wachezaji wangapi ambao wameenda kuchezea mataifa Yao? Au Hao huwaoni? Na vipi kuhusu Ramires kuachwa na timu yake ya taifa kazuiwa na yeye Na Mourinho?

Msome Ramos kwenye soccernet.com anavyo sema,Ramos ana mlaumu Fabregas kuweka club mbele zaidi ya nchi!

Kocha wa Spain kasema hataki ugomvi na Mourihno ndiyo maana kamuacha Costa!

Wachezaji wengine hao ulio wataja sio muhimu!Angekuwa na uwezo zaidi hata Hazard na Oscar na Matic angewazuia
 
Nyie kwani Ramos hayo maneno ya kumlalamikia Morinyo ameyasema lini?
 
Msome Ramos kwenye soccernet.com anavyo sema,Ramos ana mlaumu Fabregas kuweka club mbele zaidi ya nchi!

Kocha wa Spain kasema hataki ugomvi na Mourihno ndiyo maana kamuacha Costa!

Wachezaji wengine hao ulio wataja sio muhimu!Angekuwa na uwezo zaidi hata Hazard na Oscar na Matic angewazuia

hivi wewe PoYoYo unajua maana ya medical Report huyo ramos ni Doctor wa Spain national team..? Au ni doctor wa chelsea fc..? Kuna mchezji hataki kucheza timu ya taifa....!
 
Msome Ramos kwenye soccernet.com anavyo sema,Ramos ana mlaumu Fabregas kuweka club mbele zaidi ya nchi!

Kocha wa Spain kasema hataki ugomvi na Mourihno ndiyo maana kamuacha Costa!

Wachezaji wengine hao ulio wataja sio muhimu!Angekuwa na uwezo zaidi hata Hazard na Oscar na Matic angewazuia

Nimesoma Habari za Sergio Ramos zote lkn Faby karuhusiwa na Madokta wa timu ya taifa ya Spain huo ndio ukweli tena wamejiridhisha wenyewe kwa kumpima wenyewe Sasa shida iko wapi hapo Sasa?

Mbona usemi Ramos kafurahi kwa wachezaji wawili chipukizi kuitwa ktk timu ya taifa kuziba pengo la Faby?
 
Ramos hajatoa maneno kumlalamikia Mourinho! Na hawezi kufanya hivyo.

hamna kocha anaependa wachezaji wake waende timu ya taifa hasa kwenye mechi zisizo na umuhimu,si mourinho/ferguson/wenger au yeyote yule hawapendi! kwasababu huko wakirudi wana injury na wao ndio wanahangaika kuwatibu kwa wiki kadhaa....hivyo ikitokea excuse[minor injury] ya kuwafanya kutokwenda makocha hawa wanaitumia ipasavyo ili wasiende....si mourinho peke yake,ferguson,wenger etc wote wanachukia international games, kuna kipindi RVP alikuwa anaumia akienda national team tu, michael carrick kakaa nje tangu msimu umeanza kaanza kucheza juzi jana kaumia mazoezini akiwa na timu ya taifa!
 
kabla Ramos hajamlaumu Maurinho na Fabregas lazima awalaumu madaktari wake kuwa nao wanatetea position ya Maurinho ili Fabregas asichezee timu ya taifa. na akisema hivyo ataonekana punguwani na hayawani asiyejua alisemalo. nadhani huu udhaifu ndio ulio kwenye article ya Malafyale. Haiwezekani madaktari wa Spain waka back position ya Maurinho bila kuwepo na medical reasons. Kama nao wameungana na Maurinho dhidi ya spain team basi nakupa pole Malafyale na kukuomba na wewe ufanya lobbying ya aina hiyo iili vijana wenu wasiende kwenye timu zao za taifa...kama unadhani hilo linawezekana!
 
Ramos hajatoa maneno kumlalamikia Mourinho! Na hawezi kufanya hivyo.

Soccer News and Scores - ESPN FC

Sijui habari zenu mnazitoa wapi!Kocha wenu katunga tu kama wachezaji hawa wanaumwa!Na kocha wa Spain kachoka na tuhuma za Mourihno!!

Sergio Ramos has appeared to criticise Spain teammates Cesc Fabregas and Diego Costa for succumbing to pressure from their club Chelsea and pulling out of La Roja's upcoming international games.

Both Costa and Fabregas completed the 90 minutes in Chelsea's 2-1 Premier League win at Liverpool on Saturday, but groin and hamstring problems respectively mean neither are available to Spain coach Vicente Del Bosque for Saturday's Euro 2016 qualifier against Belarus, or the friendly against Germany the following Tuesday.

Del Bosque has gone on record to say he declined to pick Costa for these games to avoid "confrontation," an apparent reference to persistent complaints from Blues boss Jose Mourinho after the centre-forward missed four club games following Spain duty in the last international break.

Mourinho surprisingly announced after the match at Anfield that Fabregas had a hamstring injury. The midfielder then travelled to Madrid for tests on Tuesday, with Del Bosque subsequently allowing the ex-Barcelona player to return to his club despite the results showing the injury was not as serious as had previously been claimed.

Speaking to news agency EFE, Ramos said he was disappointed at the situation, arguing that players should show the same commitment no matter which team they are representing.

"It is difficult because this is not a club team, but the national team where you do not come here every day," the Real Madrid defender said. "Laying out rules is difficult. Often with injuries there can be a world of difference between what we have and what is said in public.

"Above all I would have like the players to show the same commitment to the national team as they do to their club. You must communicate this commitment and spirit to all the new players. Whether you club pays, or the national team."

Ramos, who missed Spain's most recent internationals due to a tear in a calf muscle, said he had played before for his country despite not always being 100 percent fit.

cc. Malafyale..

hamna kocha anaependa wachezaji wake waende timu ya taifa hasa kwenye mechi zisizo na umuhimu,si mourinho/ferguson/wenger au yeyote yule hawapendi! kwasababu huko wakirudi wana injury na wao ndio wanahangaika kuwatibu kwa wiki kadhaa....hivyo ikitokea excuse[minor injury] ya kuwafanya kutokwenda makocha hawa wanaitumia ipasavyo ili wasiende....si mourinho peke yake,ferguson,wenger etc wote wanachukia international games, kuna kipindi RVP alikuwa anaumia akienda national team tu, michael carrick kakaa nje tangu msimu umeanza kaanza kucheza juzi jana kaumia mazoezini akiwa na timu ya taifa!
 
Soccer News and Scores - ESPN FC

Sijui habari zenu mnazitoa wapi!Kocha wenu katunga tu kama wachezaji hawa wanaumwa!Na kocha wa Spain kachoka na tuhuma za Mourihno!!

Sergio Ramos has appeared to criticise Spain teammates Cesc Fabregas and Diego Costa for succumbing to pressure from their club Chelsea and pulling out of La Roja's upcoming international games.

Both Costa and Fabregas completed the 90 minutes in Chelsea's 2-1 Premier League win at Liverpool on Saturday, but groin and hamstring problems respectively mean neither are available to Spain coach Vicente Del Bosque for Saturday's Euro 2016 qualifier against Belarus, or the friendly against Germany the following Tuesday.

Del Bosque has gone on record to say he declined to pick Costa for these games to avoid "confrontation," an apparent reference to persistent complaints from Blues boss Jose Mourinho after the centre-forward missed four club games following Spain duty in the last international break.

Mourinho surprisingly announced after the match at Anfield that Fabregas had a hamstring injury. The midfielder then travelled to Madrid for tests on Tuesday, with Del Bosque subsequently allowing the ex-Barcelona player to return to his club despite the results showing the injury was not as serious as had previously been claimed.

Speaking to news agency EFE, Ramos said he was disappointed at the situation, arguing that players should show the same commitment no matter which team they are representing.

"It is difficult because this is not a club team, but the national team where you do not come here every day," the Real Madrid defender said. "Laying out rules is difficult. Often with injuries there can be a world of difference between what we have and what is said in public.

"Above all I would have like the players to show the same commitment to the national team as they do to their club. You must communicate this commitment and spirit to all the new players. Whether you club pays, or the national team."

Ramos, who missed Spain's most recent internationals due to a tear in a calf muscle, said he had played before for his country despite not always being 100 percent fit.

Ni wapi ktk Hiyo article uliyoleta Ramos akimlalamikia Mourinho?
 
''Sergio Ramos has appeared to criticise Spain teammates Cesc Fabregas and Diego Costa for succumbing to pressure from their club Chelsea and pulling out of La Roja's upcoming international games"

Chelsea fc 2 - 1 liverpool fc

the main thing here!!!

Na hili lilikamilika kabla ya michezo ya kimataifa Maana km wachezaji wetu wasingeshiriki ktk timu zap alafu ukutane na LFC kelele zingekua nyingi sn..!
 
''Sergio Ramos has appeared to criticise Spain teammates Cesc Fabregas and Diego Costa for succumbing to pressure from their club Chelsea and pulling out of La Roja's upcoming international games"

hapo kwenye nyekundu has appeared haimaanishi has criticised. ni vitu tofauti. in any case hata hao madaktari wa spain wamesema kijana wao ni majeruhi. mtu mwenye busara atataka mchezaji wake awe 100% ili amsaidie na sio chin iya hapo. kwa kumpuzisha inawezesha mchezaji kupona na kushiriki kikamilifu kwenye mechi zijazo na sio kushiriki mechi ya leo akiwa majeruhi na kumkosa kwenye mechi zijazo
 
Giles Smith: Lighting
up
While Chelsea supporter and
columnist Giles Smith is
determined to remain
understated over recent
events, he has noticed others
are not the same…
A great performance and a
life-enhancing result at Anfield.
And what a reaction. That
Saturday night, people round
my way were letting off
fireworks long into the night,
and from what I can gather it
was the same in many other
parts of the country.
In some places, apparently,
they even built huge bonfires,
like beacons, and set fire to
them. And, on the Thames, in
the early part of the evening,
newspapers and television
reported that a glorious
display of fireworks was
launched from a barge
moored mid-stream just east
of Waterloo Bridge while a
delighted crowd looked on
from the pavement.
Extraordinary scenes, and it
showed you how much that
result meant to everyone – a
testament to the way that
football can really bring people
together from time to time,
and certainly when Chelsea
win away at Liverpool.
Actually, now I come to think
of it, people were still letting
off fireworks more than 24
hours later, on the Sunday
evening – largely, I guess,
because, by then, a defeat for
Arsenal at Swansea had been
added into the celebratory
mix, along with that pitifully
scraped draw for Manchester
City away at QPR. And also
because it seems people just
can’t stop letting off fireworks
once they start.
Anyway, festive times. Those
combined results left us:
1. Four points clear at the
top of the table.
2. Eight points clear of
Manchester City.
3. Twelve points clear of
Arsenal, whose manager
went on to state that the
title was now officially
beyond his team’s reach.
4. Thirteen points clear of
Manchester United, whose
manager has yet to express
an opinion about the title
but who surely wouldn’t
want to quibble with an
analyst of the game as
shrewd and experienced as
Arsene Wenger.
5. Fifteen points and 10
places clear of Liverpool.
6. Fifteen points and 11
places clear of Tottenham.
7. Only 10 points and 37
places clear of Fulham – but
don’t forget that we have
six games in hand on them.
8. Unbeaten in 17 games in
all competitions since the
season started, which is a
new club best.
Really, you would have to say,
that outcome was worth a
Catherine wheel and a family
pack of sparklers in anyone’s
back garden. And that’s before
you consider the remarkable
fact that we would be four
points even better off than we
are, had the Manchester
United game ended 10
seconds earlier than it did and
had Frank Lampard not scored
that own goal in the dying
moments at the Etihad.
Not wishing to be greedy, or
anything.
It’s been a truly outstanding
opening phase, though,
leaving us all with a sense of
quiet, understated and
becomingly modest
confidence to take into the
latest of this season’s
seemingly fortnightly
international breaks, and with
some warm and fond
memories to look back on as
England take on the Faroe
Isles or Iceland or Caragua or
whoever it is they’re playing
this time.
Let’s not get carried away,
though. Despite the fact that
we’re under a third of the way
through the season, we’re
already hearing people talk
about whether a complete
campaign without defeat in
the league might be possible
for this Chelsea side, emulating
the achievement of Arsenal’s
'Invincibles' of 2003/04.
And obviously it’s nice when
your team inspires that kind of
conversation, because there
are far worse kinds of
conversation that a team can
inspire. But, even so, don’t you
kind of wish, deep down, that
people wouldn’t?
After all, it’s no longer
2003/04. The league in which
Arsenal racked up 90 points,
drew 12 times and suffered
no defeats, included Charlton
Athletic, Wolves, Bolton,
Portsmouth, Fulham, Leicester,
who were on their way down,
and even Leeds, who were
also on their way down.
(Arsenal’s aggregate score
against Leeds that season:
9-1.) Hard to spot the
equivalent of today’s Swansea
or Southampton or Stoke in
there – tough, so-called ‘over-
achievers’, perfectly capable of
ripping three points out of the
hands of anybody who grows
complacent. It was also a
league in which Manchester
City, Tottenham and Everton all
contrived to finish well inside
the bottom half. (Everton
weren’t far off being
relegated.)
The point is, in the intervening
decade, the league got harder
– more random, more variable
and better, you could argue. It
got so much harder and more
random that it’s currently a
place where, after 11 games,
Arsenal are sixth, Manchester
United are seventh and
Liverpool are 11th. No
disrespect to Arsenal, of
course, but one hardly expects
to see invincibility in such
circumstances – not this
season, of all seasons.
Or perhaps one should put it
another way: if it happens, it
will be a far greater
achievement than anything
the Premier League has
known.
One should also remember
that you don’t have to win or
draw all of your games in
order to win the title. Though,
of course, it helps.
Brendan Rodgers got a lot of
stick at the end of what
turned out to be a triple-
defeat week for Liverpool, but
much of that stick was
enormously unfair and even
gleefully opportunistic in my
opinion.
Management is about getting
the best out of what you’re
got, after all. Rodgers was
noisily criticised for standing
down seven first-teamers for a
Champions League match
against Real Madrid, in order
to keep them pristine for a
league match against Chelsea.
Yet the plan worked pretty
much perfectly. His team
selection for the Bernabeu
effectively removed the
competitive sting from the
game and turned it into a
televised training match. As a
consequence, Liverpool came
away with a narrow defeat,
and nothing like the
humiliation expected at the
hands of a side that had
already comfortably beaten
them 3-0 at Anfield.
Moreover the first team was
then fresh and motivated
enough to restrict us to just
the two goals – and, again, a
predicted humiliation with
genuinely lasting
consequences for Liverpool's
morale was averted. (They’ll be
over this one by Christmas, no
question about it. Or soon
after.)
Excellent maximising of
resources, then, by Rodgers.
Last year’s ‘Make Us Dream’
slogan up at Anfield seems to
have modified, metaphorically
speaking, to this year’s ‘Spare
Us Our Worst Nightmares’, and
Rodgers more than met the
fans’ requirements in that
area, so they should give him
credit for that. We all should.
 
Msome Ramos kwenye soccernet.com anavyo sema,Ramos ana mlaumu Fabregas kuweka club mbele zaidi ya nchi!

Kocha wa Spain kasema hataki ugomvi na Mourihno ndiyo maana kamuacha Costa!

Wachezaji wengine hao ulio wataja sio muhimu!Angekuwa na uwezo zaidi hata Hazard na Oscar na Matic angewazuia

nimekuwa nikikufuatilia kuhusu michango yako hapa jamvini namna ulivyo leo nimesadiki kuwa wewe ni kichwa maji na kichwa chako kimejaa kamasi na sio ubongo, nani kakwambia mourinho amemkatalia diego na fabregas kuchezea timu ya taifa ina maana wewe unapingana na madaktari wa timu ya taifa waliompima fabregas wakakuta hayuko fiti tena unaanza kumsingizia mourinho au umesahau kuwa huyo kocha wa spain ndiye aliyekuwa anamuweka bench fabregas kipindi cha kombe la dunia mpaka ikaleta mgogoro kati ya kocha na febr.Kumbe sasa hivi baada ya kumuona anapaform vyema wanaona kama lulu acha hizo bwana tumekuvumilia vya kutosha.Pia kuonesha kuwa uko bias unashindwa kuelezea mgogoro uliokuwepo kati ya hodson(england coach) na rodgers kuhusu sturridge kuitwa tim ya taifa wakati anaumwa kabla ya majeruhi ya sasa.
Pia umeongelea kwamba eti mourinho angekuwa na uwezo angewazuia hata hazard,oscar etc sasa ndugu yangu kama sio ujinga ulionao hivi unadhani mou ana hisa na hispain mpaka awazuie costa na fabregas wachezaji wana haki ya kuchezea timu ya taifa tena hii ni kwa mujibu wa kanuni za FIFA hilo halina ubishi,tena kwa kukumbusha hakuna wachezaji wenye uzalendo wa kuchezea timu zao za taifa kama wenzentu hao wazungu.Wachezaji wa kiafrika ndiyo wenye matatizo ya kutozipenda nchi zao,malafyale kama kitu hukijui kamaa kimya utaonekana ni mtu mwenye busara na ndoo maana wenye kujua mpira waliahatabiri kuwa chese atampiga liver kudhibitisha hilo uliona mwenyewe jumamosi lakini nyie msiojua mpira mmekalia ubishi tu usio na maana
 
Ww hujui hata kiingereza kubishana nawe ni upuuzi kabisa!Wenzako wanaojua kiingereza wamekaa kimywa!Jitu halijui hata kwa nn kocha wa Spain hakumuita Costa sasa mtu wa hovyo kama ww naongea nawe nn?

I'm done with you!Little black pie brain
 
kudhibitisha kwamba wewe ni poyoyo hayo ndiyo majibu ndiyo maana wanaojua mpira hata wenzako wa liver wanakuita mpumbavu hata miye naongezea wewe malafyale ni mpumbavu cubic ni kiingereza gani kilichosemwa ktkt article ya ramos kinachosema fabregas anathamini club kuliko timu ya taifa,kama wewe ndiyo aina ya washabiki wa liver ilionao ni vyema ukachomwa moto tuu maana huna tofauti na mtoto
 
Mkuu, achana nae! Sisi tumeshampuuza kitambo, ana wivu wa kike kisa tulimchapa nyumbani kwake Anfield. Asikuumize kichwa. Anajaribu kuutoa uchungu wake kwa njia hiyo. Kumpuuza ndio njia pekee.

Mashabiki wa aina hii ni tatizo. Wanajenga chuki kwenye mioyo yao kiasi cha kutaka kujinyonga....Hata maana ya michezo hawajui.

Achana nae mkuu chilumendo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom