Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani Arsenal wamejenga liini Emirates, kwa nini miaka yote walikuwa na Highbury tu,
kutojenga uwanja mkubwa aimaanishi hauna washabiki , mambo ya pesa pia yanahusika sana, Arsenal walijenga baada ya kupata pesa sio baada ya kupata washabiki

na Chelsea watajenga baada ya kuwa na Pesa za kufanya hivyo na wala sio issue ya kuwa na washabiki

kwani pesa ya timu ndio inajaza uwanja? basi man city wangekuwa na capacity ya 100,000....arsenal walijenga baada ya maombi ya tiketi kila season kuzidi uwanja wao wa zamani...chelsea tangu amekuja abramovich hela ipo ila wanajua wakijenga 60k hautajaa labda kiingilio kiwe bure....ngoja waje wakereketwa hapa na siku hizi wana maneno makali!!! khe khe khe khe khe khe
 
duh kumbe kelele zote hizi mna kauwanja kadogo kuliko hata St. James' Park???!!!! anyway hata mngekuwa na uwanja mkubwa usingejaa waliona mbaki plastic fans hawawezi kujaza uwanja khe lkhe khe khe khe khe

cc: Ntuzu agosti 8 Viol Mentor
Mkuu unajengwa uwanja mkubwa hoja msingi tungezungumzia msimamo wa ligi
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1415936460172.jpg
    1415936460172.jpg
    59.7 KB · Views: 65
TAREHE 22 ..CHELSEA FC vs WBA.

hii mechi tunacheza nyumbani; hawa vijana wamekuwa wasumbufu sana siku hizi.

tunahitaji kuchukua pointi 3 zote..
 
RRONDO hujambo?

jitahidi kuingia TOP 4 la sivyo utabaki historia...

Shauri yako.

kwani pesa ya timu ndio inajaza uwanja? basi man city wangekuwa na capacity ya 100,000....arsenal walijenga baada ya maombi ya tiketi kila season kuzidi uwanja wao wa zamani...chelsea tangu amekuja abramovich hela ipo ila wanajua wakijenga 60k hautajaa labda kiingilio kiwe bure....ngoja waje wakereketwa hapa na siku hizi wana maneno makali!!! khe khe khe khe khe khe
 
Mkija London tutawapiga 4..

Mm ni mwana michezo mkuu siwezi chukia Liverpool kufungwa!Fuatilia maandishi yangu popote uone kama mn nimewahi anzisha matusi!Infact mm ndiyo huwa natuliza matusi!

From no where hawa mbwiga wameanza kunitusi nikavumilia!Wakaendelea kukaa kimywa wanakuona f a l a!

Acha tuendelee
 
Achana na RRONDO; hajui kitu.

Eneo la FULHAM ni vigumu kupata eneo la kutosha;

Pia tukipata mbali na mitaa yetu inaweza kusababisha tubadili jina kidogo;

Walikuwa wanasema huenda ikasababisha tuitwe FC CHELSEA

Kuna mchakato mrefu kabla ya kufanikiwa katika hili..

So far so good..

haaaa mkuu, Washabiki wa Chelsea London wako wengi mno, ni maswala ya muda na vipau mbele, uwanja wa maanautajengwa nautakuwa unajaa kama kawa
 
Malafyale hana maana;

akileta za kuleta apewe za uso tu; arudi kwenye jukwaa lao

mkuu successor nashukuru kwa ushauri ila kwa ujumla jamaa anaudhi sana kama tusipo mjibu anaweza kutuona washabiki wa chese ni vilaza atatupanda kichwani huyu mzee
 
project yetu ni miaka mitatu....mdogo mdogo tutafika tu

That was mind game from Luis Van Gaal.... Lkn ki-ukweli ata msimu huu anataka sn awe bingwa lkn ndio hivyo tena Hana jinsi. Na kwa kuthibitisha hili Van Gaal amempinga Wenger ktk ubashiri wa Wenger kwamba hakuna timu inayoweza kuipa Changamoto Chelsea na kwamba Chelsea atakua bingwa....

Van Gaal ktk kumpinga Wenger ametufanya watu km mimi kuifatilia Man Utd kila mchezo wake itakao cheza ili nione km kuna kitisho cha kuwania ubingwa kutoka kwa Van Gaal
 
tulikuwa tunanyakua makombe mengine at the same time..

Winners Cup 1971 vs Real Madrid.
FA Cup
Winners Cup 1998...
Super Cup 1998 vs Real Madrid

etc. .etc..

mbona nyie mlikaa miaka 50 bila EPL si mngekufa kabisa na si kukonda!
 
That was mind game from Luis Van Gaal.... Lkn ki-ukweli ata msimu huu anataka sn awe bingwa lkn ndio hivyo tena Hana jinsi. Na kwa kuthibitisha hili Van Gaal amempinga Wenger ktk ubashiri wa Wenger kwamba hakuna timu inayoweza kuipa Changamoto Chelsea na kwamba Chelsea atakua bingwa....

Van Gaal ktk kumpinga Wenger ametufanya watu km mimi kuifatilia Man Utd kila mchezo wake itakao cheza ili nione km kuna kitisho cha kuwania ubingwa kutoka kwa Van Gaal

karibu uangalie man utd huna jinsi.....
 
Quality ya Liverpool ina match kabisa na in-form Chelsea!

Lolote linaweza likatokea Darajani nakuonya mapema

Malafyale unafirahisha sn wakati mwingine unapojitoa ufahamu..,!

Msimu uliopita ulianzia Darajani then mi nikaja kwako, ktk michezo Yote Hiyo nimekufunga. Msimu huu nimeanzia kwako tena ulifanya maandalizi makubwa sn yakiwemo ya kupumzisha wachezaji lkn kilichotokea wewe unafahamu...!

Alafu unataka uje Darajani nikuache?unachekesha...! Huna kiwango sawa na chelsea wewe..'
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom