Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Kaka Mentor, nakubaliana na wewe kulikuwa na matatizo kwenye uchezaji wa Team yetu jana, Hatukuingia kushinda kabisa, tulikuwa na mentallity ya kuwabahatisha/kuwastukiza tu, wachezaji wa Chelsea walikuwa wako makini na kuzuia magoli zaidi ya kufunga kwa kile kipindi cha kwanza,

1. Kipa-Anyway siwezi kusema kwamba ana uwezo mdogo ila anaonekana kama hajachangamka na kama hapigi kelele kuwaamsha mabeki wake, Kapoa sana Golini, kusema ukweli mpaka sasa bado sijaona kiwango cha kuzidi Petre Czec,

2. Kulia kulikuwa sawa tu

3.Kushoto, hilo ni tatizo lingine kwa Chelsea, Azip ni mzuri sana wa kudokoadokoa na kuintercept mipira na mara nyingi kona na mipira mingi ya kurushwa huwa upande wake, lakini sio mchezaji hasa wa kupandisha timu au kuanzisha mashambulizi kupitia kushoto, Ukiangalia mechi ya jana sidhani kama alipandisha mashambulizi zaidi ya mara kumi kwa mechi nzima ya jana, tofauti na Inanovic ambaye mara nyingi huwa anashambulia, anapiga cross na kufunga pia,
Hili ni tatizo kwa attacking hasa Hazard mabaye mara nyingi ndio huwa anacheza kushoto, mara nyingi inampasa hazard kuja Dip kuchukua mipira

4. Terry na Cahill Jana walicheza vizuri sana, sikuona tatizo lao hasa ukizingatia timu mara nyingi ilikuwa kwenye presha hasa kipindi cha Kwanza

5. Midfield ilikuwa ya kujiami sana, tofauti na nilivyotegemea, Man city walijua uzuri wa viuongo wa Chelsea, hivyo wakaja na 442-451, kwa minajilri ya kujaza kiungo kati, kujaribu kuiua nguvu Chelsea na kweli kipindi cha Kwanza tulipoteana sana kati na Mancity walifanikiwa kutawala kiungo

Kwa mtazamo wangu Mourinho alishindwa kuisoma game vizuri, Hasa baada ya Zabuleta kutolewa nje, Zabuleta alipotolewa, Man city ilibidi wamtoe Dzeko na kumuingiza Sagna ili kuimarisha ulinzi, kwa maana nyingine tayari Man City walikuwa wameshajipunguza nguvu mbele,
Kilichotakiwa kufanywa na Mourinho ni kupunguza midfield mmoja na kumuingiza Remy na Chelsea kubadirisha mfumo kwenda 442 au 4321 kwa maana tuwe na mastiker wawili mbele (Costa na Remy) au Remy angecheza nyuma ya Costa ili tuzidi kuwapa pressure Man city

Anyway tulipata point moja na bado tupo juu ya ligi na Mechi ya Jana ndio kilikuwa kipimo kikubwa cha Chelsea
 
Last edited by a moderator:

Nilishasema kuhusu Oscar,Morinyo wakati anamuuza Mata akasema Oscar ndio namba 10 wake anajua kukaba while Mata hawezi.Baada ya Cesc kusajiliwa nikajua Oscar atakuwa anapigwa benchi na ndio kinachotokea now
 
Yap yap!!hadi leo huwa nashangaa kwanini wanamzomea van persie lakini nasri wacha wamsomee tu maana anamaneno machafu nje ya uwanja


Mafanikio kwao ni ndoto wanawaonea wivu wanapopata mafanikio.
 



Mkuu Kituko maoni yenu ni mazuri sn Lkn Man City walipaswa wacheze ktk kiwango cha juu sn Kwa game ya Jana na hii inasababishwa na mambo mengi sn na km ulivyoona baada ya game ya Jana Pereglino alitoa maneno mabaya dhidi ya Chelsea kwamba timu Yake ya City imecheza na ka timu kadogo sn km Stock City kitu ambacho Jose hakupenda na akamjibu pia!

Jose aliijua nguvu ya City itakavyokua Na Ndio maana akawaanda wachezaji kukaba sn!

Lkn matokeo Bado ni mazuri kulikoni km tungepoteza!

Ila LAMPARD mie kaniumiza sn
 
Last edited by a moderator:
Nilishasema kuhusu Oscar,Morinyo wakati anamuuza Mata akasema Oscar ndio namba 10 wake anajua kukaba while Mata hawezi.Baada ya Cesc kusajiliwa nikajua Oscar atakuwa anapigwa benchi na ndio kinachotokea now


Kuna Tofauti KUBWA sn Kati ya Mata na Oscar! Oscar ni mzuri kuliko Mata!

Kuna Tofauti KUBWA sn Kati ya Fabrigas na Oscar! Wote ni waziri Lkn Fabrigas ni mzuri Zaidi!

First eleven inavyopangwa Lazima na bench la sub liwe na uhai maana Wakati mwingine mchezaji anaweza Kua hayuko ktk Hali Yake ya kiwango basi akiwa Repraced na sub nzuri timu inakua ktk Hali nzuri tu!

Na pia tunashiriki mashindano manne Kwahiyo wachezaji wote watacheza na lengo ktk msimu huu ni kuchukua vikombe Zaidi ya kimoja!
 
POLENI MASHETANI MEKUNDU..

mechi 5 mmefungwa 2; mkicheza mechi 10 mtakuwa mmefungwa 4..
mwaka wenu huu...

:wacko:



Nilishasema kuhusu Oscar,Morinyo wakati anamuuza Mata akasema Oscar ndio namba 10 wake anajua kukaba while Mata hawezi.Baada ya Cesc kusajiliwa nikajua Oscar atakuwa anapigwa benchi na ndio kinachotokea now
 
chelsea fc # 1.




 

Ntuzu Legend..:hail:
 

hapo kwenye red tuko pamoja...

hadi sasa kumbuka CHELSEA FC haijafungwa mechi yoyote ya mashindano kwenye msimu huu..ilhali wenzetu wameshafungwa za kutosha...

CHELSEA FC # 1.
 

Asa lampard kakuumiza nn sasa??

Ye alikuwa kazini, anatimiza majukum kwa mwajiri wake!!
 
Last edited by a moderator:
Asa lampard kakuumiza nn sasa??

Ye alikuwa kazini, anatimiza majukum kwa mwajiri wake!!


Naelewa yote hayo Ndio maana siwezi sema neno lolote juu yake Zaidi ya kuumia Moyo na pia ata yeye Hana furaha japokua alifunga! Upo hapo mkuu?
 
POLENI MASHETANI MEKUNDU..

mechi 5 mmefungwa 2; mkicheza mechi 10 mtakuwa mmefungwa 4..
mwaka wenu huu...

:wacko:
Game ya jana ndio imetuharibia tatizo defence na majeruhi but timu inaimprove sana,huku nyuma hata kufunga goli 2 ilikuwa tabu now mechi 2 goli 7 na still tunacreate nafasi za kutosha
 
Naelewa yote hayo Ndio maana siwezi sema neno lolote juu yake Zaidi ya kuumia Moyo na pia ata yeye Hana furaha japokua alifunga! Upo hapo mkuu?


Tafuta post-match interview ya Lampard na Milner!!!
 
Game ya jana ndio imetuharibia tatizo defence na majeruhi but timu inaimprove sana,huku nyuma hata kufunga goli 2 ilikuwa tabu now mechi 2 goli 7 na still tunacreate nafasi za kutosha

next match vs West Ham..
muulize Mosdef anawajua vizuri..kwa mabeki wale..mkifika JANUARI mtakuwa mmechakaa..
 
Game ya jana ndio imetuharibia tatizo defence na majeruhi but timu inaimprove sana,huku nyuma hata kufunga goli 2 ilikuwa tabu now mechi 2 goli 7 na still tunacreate nafasi za kutosha

Man utd ni mbovu kuanzia kwenye kiungo mpaka kwenye backline!!

na hao majeruhi unaowazungumzia wote ni mediocre players..Phill jones, carrick, Evans etc, ni wachezaj ambao hawatakuongezea chochote kwenye team!

Ni makosa tu ambayo yanafanywa na clubs zetu, sometimes unakuta club inaspend BIG kwa mchezaj lakin tatizo bado linakuwa pale pale, (kma LFC kwa Lovren), Manchester utd baada ya kukamilisha usajili wa Di Maria, mlikuwa mnawahitaj zaid kina Hummels, benatia, Calvariho, De jong etc, but you decided to go for Falcao and Blind, naelewa lengo la kumsajili Falcao lilikuwa ni kwa ajili ya kuleta ile fear factor kwa opponents, lakin itafail as long as defense ni mbovu na opponents washalijua hilo...

Cambiasso (MZEE zaid ya Lampard na SG) dominated the midfield yesterday..Blind and Herrera made him look like a 23 years old midfield..huwez kutegemea ushind Etihad au darajan na Midfield ile!

Belo, Me nna hali ngumu, Lakin wewe una hali ngumu zaid ndugu yangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…