Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #18,481
Manchester city wameanza vizuri...
Duh!!Refa anatoa kadi balaa
Huyu refa niaje??
Huyu refa anakuwa kama wa ile mechi ya Lester city.
Duh!!Refa anatoa kadi balaa
Angefuata haki zingeshatolewa nyingi tu
Hadi sasa kadi ya Sita hiyo kwa Yaya hata half time Bado!!zingine inabidi achune tu