Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!
Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"
Drogba ana uhakika kuwafunga Arsenal mechi zote mbili
Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!
Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"
Wale jamaa wenyewe hawakuamini kama wangepata hata goli moja ndio maana walifurahia sana walipoona ni draw. Kwao ilikuwa kama kushinda kombe.
Hongereni watani kwa kuziba mapengo yote during the off season.
Timu yenu imekamilika na sioni weakness yoyote darajani mwaka huu kuanzia kipa hadi striker
Terry anapata msaada toka kwa akina Ramirez na Cahil tofauti na Metusaker na Arteta ambao wote ni njia ya lamiOld-fashioned last man"Libero" Terry(34)cant copy with the pace of young and talented strikers!!
6-3
4-2
Bado haujaona tatizo hapo mkuu?
Terry anapata msaada toka kwa akina Ramirez na Cahil tofauti na Metusaker na Arteta ambao wote ni njia ya lami
Old-fashioned last man"Libero" Terry(34)cant copy with the pace of young and talented strikers!!
6-3
4-2
Bado haujaona tatizo hapo mkuu?
Na tuanze kusaka signature ya one good right back...Iva is over 30 mambo ya kutegemea mkataba wa mwaka mmoja mmoja sio.
Next summer though...this season we are good. Terry is good..a leader..legend....but ts time we started phasing him out slowly!!!