ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
kwanza nikukumbushe jambo moja..miaka ile ya tisini na 2000 mwanzoni; CHELSEA FC ilikuwa inasifika sana kwa kuwa na wachezaji wa mataifa mbalimbali hata kabla ya ROMAN ERA ..
mfano:
Frank Leboeuf - Ufaransa.
George Weah - Liberia.
Babayaro - Nigeria
Franco Zola - Italia
Andre Flo - Norway
Guy Poyet - Uruguay
Dennis Wise - Uingereza
na wengine wengi..wa mataifa na rangi mbalimbali..
Usimuite Nkwela.
Halafu huyu agosti 8 tungempa BelindaJacob angemfaa sana!
Hapa ndo sebuleni shem...home nitakuja shemeji asipokuwepo!!!!
Safi sn mkuu.yani ntafanya niwezavyo mpk agosti 8 ampate huyo mdada
mkuu umemsahau huyu drogba wa ivory coast
mkuu umemsahau huyu drogba wa ivory coast
Kituko thumb up dudy......!
Thanks Mkuu Ntuzu,
wakinamama wana haki kabisa ya kuichagua Chelsea, THE TRUE BLUE
CC: Khantwe, ladyfurahia
jamani naomba nitajiwe timu ambazo zilimfunga chelsea msimu ulio pita
sawa ila kwa ishu ya sporting director ni nyeti yani kwa lugha nyingne ni boss wa mou
Besti amesema miaka ya 90 na 2000 mwanzoni...!!
alipataje huo mchongo coz kwa mtu mweusi tena wa Afrika ambaye hajachezea hapo huwa ngum sana kupata dili hilo halafu kwa tim caliber ya chelsea
hahahahahaa alaa kumbe, basi best nimechanganya madasa