Shukrani Kubwa iende kwa agosti 8, Ntuzu, Mourinho, RRONDO, Mentor na wengineo ambao kwa kutokukusudia sijawataja hapa lakini mpo Active member wa the Chelsea FC Thread,
Kwa kweli Mmeinyanyua Thread sana kiasi kwamba haipiti siku bila mtu kuja kuchungulia kama kuna updates gani zimekuwa added,
Thanks All ,
kuna timu Nyingi zinavaa blue England lakini Chelsea ni TRUE BLUES
Asante shemeji
Ee shem nimekuja kuchungulia kijiwe chenu...kwani ni vibaya?
karibu sana...:hungry: karibuni chakula cha mchana.
cc.Mr and Mrs Ntuzu..
DOWN MEMORY LANE:
13 May 1998: Chelsea players hold the trophy aloft after the European Cup Winners Cup final against VfB Stuttgart at the Rasunda Stadium in Stockholm, Sweden. Chelsea won the match 1-0
Hakuna ubaya wowote shem...halafu huku wifi yako huwa hafiki kabisaaaa....!!!:cool2::A S wink:
Hakuna ubaya wowote shem...halafu huku wifi yako huwa hafiki kabisaaaa....!!!:cool2::A S wink:
duuh! ama kweli leo tutajua mengi..kumbe na wewe unaye huko MMU?
au ndo yulee....????:wacko:
karibu sana...:hungry: karibuni chakula cha mchana.
cc.Mr and Mrs Ntuzu..
Hakuna ubaya wowote shem...halafu huku wifi yako huwa hafiki kabisaaaa....!!!:cool2::A S wink:
duuh! ama kweli leo tutajua mengi..kumbe na wewe unaye huko MMU?
au ndo yulee....????:wacko:
CHELSEA FC - OLD BOYS
Di Matteo
Gus Poyet
Celestine Babayaro..
Mkuu kweli hii umenikumbusha mbali sana kipindi hawajamaa hata vipara havijaota kichwani
Shemeji na wewe mdaku...lol