basi angekuwa anaheshimu mawazo ya watu,....mfano ikatokea Samata akaitwa Chelsea,na mimi nikakuuliza ni vigezo gani au kwanini aitwe aje chelsea?huwezi kuniita mamluki,Jamaa hana busara kujibu hoja.

nimetoa mfano na nimesema kabisa ni mfano,acha unafkiunamfananisha DIEGO COSTA na Samatta? kufuru hizo...
ikitokea; mpaka itokee tutaongea kwa sababu bado haijatokea; DIEGO NI BORA KULIKO KA-SANCHEZ
basi angekuwa anaheshimu mawazo ya watu,....mfano ikatokea Samata akaitwa Chelsea,na mimi nikakuuliza ni vigezo gani au kwanini aitwe aje chelsea?huwezi kuniita mamluki,Jamaa hana busara kujibu hoja.
nayaheshimu unayoposti.:wacko:
pwaaaaah HAHAHAHAHAHAHA UNAFKI MBAYA SANAsi muda mrefu tutafika 1000 pages..keep up the good job!
nimetoa mfano na nimesema kabisa ni mfano,acha unafki[/QUOTE]
sawa mkuu ..wewe ukiita wengine wanafiki, madikteta, hawana busara tunapaswa tukubali tu si ndiyo eeh?:angry:
kwani huku kuna morinhno?unajua kabisa namwuliza naniwewe unauliza vigezo tena?
Sasa unaniuliza mie au unauliza chelsea fc.?
pwaaaaah HAHAHAHAHAHAHA UNAFKI MBAYA SANA
kwani huku kuna morinhno?unajua kabisa namwuliza nani
bwaaaaah we mnafki
nimetoa mfano na nimesema kabisa ni mfano,acha unafki[/QUOTE]
sawa mkuu ..wewe ukiita wengine wanafiki, madikteta, hawana busara tunapaswa tukubali tu si ndiyo eeh?:angry:
usisititeshe mjadala kwa kukimbia huku ukiniita mi sio chelsea kisa umekosa point,point zako zipo mbili tu,mi kuchukia Diego kuja chelsea kwa kusema hana kiwango,baadaye we mwenyewe ukaleta post yangu nikisema sikujua dieo anajua hivi,baada ya kumwona akicheza kwenye chelsea,na nilisema Sanchez ni bora kuliko Diego na kwenye post zangu nilikuwa na-refer kombe la dunia,na Sanchez alionekana,Diego hakuonekana kombe la dunia na hakutisha,sasa mi kusema ukweli ndo nionekane si chelsea?ukanibishia Dieogo ni zaidi ya Sanchez(sikukataa maana sikuona game zake zaidi ya UEFA na world cup kama nilivyosema,na humu kuna post yangu pia nikisema kuwa sikutegemea kwamba Diego anajua (baada ya kumwona akifunga magoli chelsea),bado ukasema mi ni mamluki,nikakuambia haya ni mawazo yangu kwamba Sanchez ni zaidi ya Diego,nikakuuliza Je Diego ni bora kuliko Messi?na ningesema messi ni bora kuliko diego ungeniita mi mamluki?Heshimu mawazo ya watu ndugu.
nayaheshimu unayoposti; lakini ukileta stori za ajabu lazima nikuweke sawa;
ukitaka kafungue 'thread' ya kumsifia Sanchez lakini hapa si mahala pake hapa ni for CHELSEA FC.:wacko:
Kiwango cha juu cha unafki.
Usipanic mkuu Viol....sisi wote ni BLUE, Solidarity forever, wapinzani watatucheka. One love!
basi angekuwa anaheshimu mawazo ya watu,....mfano ikatokea Samata akaitwa Chelsea,na mimi nikakuuliza ni vigezo gani au kwanini aitwe aje chelsea?huwezi kuniita mamluki,Jamaa hana busara kujibu hoja.
Acha apaniki na kufoka atakavyo;
Mbivu na mbichi zitajulikana tu.
GREAT THINKER ni kuambiana ukweli. Post zetu wote ni ushahidi wa haya.
Hii ni CHELSEA FC THREAD mtu hawezi akaja hapa akasema SANCHEZ ni bora kuliko Costa alaf nimgongee LIKE.
Au Mtu asema Gerrard ni bora kuliko Terry nimgongee LIKE?
hakuna mambo ya hivyo..
si muda mrefu tutafika 1000 pages..keep up the good job!
Mawazo ya akina nani yaliyopuuzwa?
Si kila hoja ikiletwa tunakubali; ukileta hoja nzuri tunagonga LIKE.
Ukileta hoja mbaya tunasema; ukianza kulalamika hapa haisaidii..kama wewe ni CHELSEA damu itabaki kuwa hivyo; kama wewe si Chelsea itabaki kuwa hivyo..hapa tunajadiliana tu..
wewe unauliza vigezo tena?
sasa unaniuliza mie au unauliza CHELSEA FC.?
pwaaaaah HAHAHAHAHAHAHA UNAFKI MBAYA SANA
nimetoa mfano na nimesema kabisa ni mfano,acha unafki[/QUOTE]
sawa mkuu ..wewe ukiita wengine wanafiki, madikteta, hawana busara tunapaswa tukubali tu si ndiyo eeh?:angry:
kwani huku kuna morinhno?unajua kabisa namwuliza nani
bwaaaaah we mnafki
Haya mkimaliza kubishana kaeni mkijua emirates mnaoga goli za uhakika ndipo mamluki na wenye timi yao watajulikana
#COYG
Haya mkimaliza kubishana kaeni mkijua emirates mnaoga goli za uhakika ndipo mamluki na wenye timi yao watajulikana
#COYG
Mkuu tema mate chini, yaani Arsenal waifunge Chelsea? Haitatokea, usijipe matumaini, ni hatari kwa afya yako. Jiandae kisaikolojia kupokea kipigo kila mtakapokutana na #TheBlues #
ukijua hilo usikasirike mkuu; mpira ni burudani; hata ukiwa mchezaji wenzio wanaweza kukukosoa hupaswi kususa timu eti kwa sababu wengine hawakusikilizi au vipi?
Ukiendelea hivi sasa itadhihirika wazi kwamba kwa kweli kuna mtu 'mamluki' humu ndani..:angry::angry:
inaweza ikawa hoja ya maana na usigonge LIKE,who care wakati hujielewi?Mawazo ya akina nani yaliyopuuzwa?
Si kila hoja ikiletwa tunakubali; ukileta hoja nzuri tunagonga LIKE.
Ukileta hoja mbaya tunasema; ukianza kulalamika hapa haisaidii..kama wewe ni CHELSEA damu itabaki kuwa hivyo; kama wewe si Chelsea itabaki kuwa hivyo..hapa tunajadiliana tu..
wee mkuu Grand PA ndo ulikuwa unaitwa Kidume?
jitambulishe upya mkuu..tunakupotea.:angry: