chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,430
- 4,485
Mkuu Viol ni mdau wa Chelsea Fc, ..ila tu wakati mwingine anateleza na kujisahau..hasa anapotaka sisi tuige Arsenal Fc na Man utd hapo ndo mie nashangaa..
sisi tuige watu ambao malengo yao na yetu hayalingani?
CHELSEA FC - BLUE FOREVER.
Sanchez ni bora kuliko Diegosasa kwa maoni yako ni bora tungemchukua sanchez kuliko diego
mpira wa Ujerumani ni tofauti na wa England mkuu agosti 8,wale jamaa wote wanacheza si timu ya taifa tu hadi vilabu vyao,ila kwa sisi wa England ipo tofauti kidogoje, Ujerumani imeingia fainali kwa kumtegemea nani?
kama wewe ni mtu wa Chelsea FC, unapaswa kuwa mwelewa kwamba hapa CHELSEA FC hatujawahi kumtegemea mchezaji mmoja tu, au kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja.
MIFANO:
Chelsea 2- 0 PSG. hii mechi Hazard alianza, lakini kocha alipoona kwamba kijana hayupo fiti kwa mapambano, alimtoa hata kabla ya dakika 20, akaingia Andre Schurrle..ambaye alifunga goli la kwanza. Kipindi cha pili akamtoa kipenzi cha mashabiki, one of the Chelsea legends, Frank Lampard na kumwingiza uwanjani..Demba Ba..dakika ya 87 tukapata ushindi..kupitia goli alilofunga Ba.
MFANO #2, Chelsea FC vs Barcelona 2012. Tulikuwa tumefungwa goli 1, na ndipo JT akatolewa kwa kadi nyekundu, tukafungwa goli la 2...lakini kabla ya mapumziko Ramires akafunga goli 1, kipindi cha pili dakika za mwisho mwisho..Fernando Torres akasawazisha na kuisaidia Chelsea Fc kuingia fainali na hatimaye kuchukua ubingwa..
NB: Chelsea Fc ina wachezaji 3 kwenye timu ya taifa ya Brazil, lakini hiyo haina uhusiano wowote na kiwango cha Chelsea..:cool2:
Sanchez ni bora kuliko Diego
Sanchez ni bora kuliko Diego
kivipi wakati hawachezi nafasi moja? utafananishaje popo (sanchez) na njiwa (diego)?
jiulize kwanini mchezaji bora wa dunia anaweza kuwa cannavaro,zidane,messi au george weah?kwani wote wanacheza nafasi tofauti lakini wanashndanishwa kumpata bora kuliko mwengine!
habari zenu the blues
Sanchez ni bora kuliko Diego
samahani mkuu naomba unifahamishe ubora wa sanchez umepimwa kwa vigezo vipi ambavyo diego hajafikia
Halafu mkuu viol utakuwa unakosea kabisa kumfananisha diego na sanchez ambaye ametoka lig moja na mwenzake diego,ambapo diego amescore zaidi ya goli 24 tofauti na sanchez ambaye sidhani kama amescore zaidi ya goli 10
mimi nafikiri tusubiri msimu uanze hiyo august ili tujiridhishe maana nikianza kutoa vigezo hapa na wewe ukatoa vya kwako tutakesha ingawa wc imetoa some points,ila cha msingi tuwasubiri uwanjani na vizuri wote wapo ligi moja kwa sasa
mkuu mi timu naipenda na pia nawakubali wachezaji wake,isitoshe mi morinho ndo best Coach.Maoni ya mkuu Viol huwa yananisikitisha sana wakati mwingine..
Mkuu Viol nadhani yeye ni mshabiki wa wachezaji fulani tu, hajui tofauti ya kupenda timu na kumpenda mchezaji au wachezaji..:A S-eek:
mimi nafikiri tusubiri msimu uanze hiyo august ili tujiridhishe maana nikianza kutoa vigezo hapa na wewe ukatoa vya kwako tutakesha ingawa wc imetoa some points,ila cha msingi tuwasubiri uwanjani na vizuri wote wapo ligi moja kwa sasa
mkuu mi timu naipenda na pia nawakubali wachezaji wake,isitoshe mi morinho ndo best Coach.
Ila swala la msingi ni kwamba wenzetu wanasajili kina nani na sisi tunawasajili kina nani na viwango vyao vipoje
kwenye worldcup costa kascore goli ngapi?tofautisha barca na atletico hata costa angekuwa barca asingescore kwa idadi hiyo kwani asingepewa uzito kama alivyopewa atletico pale pagumu
Sanchez ni bora kuliko Diego