Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mbona Jembe Mikel Obi hazungumziwi?,
nina wasiwasi sana na future yake pale Chelsea, kuliko kumuweka benchi bora Mourinho amuuze tu
 
Mwenyewe karidhika:

CHELSEA FC imempa MIKEL ubingwa wa Uingereza[Premier League]
cHELSEA fC imempa MIKEL
CHAMPIONS LEAGUE.
chelsea fc imempa MIKEL; EUROPA league..


bila kusahau..FA CUP ..

hana haraka na maisha..JOHN OBI MIKEL ..:A S thumbs_up:


Kaka, huyo jembe benchi limeshamkubali, sioni kabisa future yake pale Darajani, bora aachiwe aende kumalizia mpira wake sehemu nyingine,
 

Habari yako Mkuu EMT, kitambo sana sijasoma nondo zako hata kwenye WC sikuoni, turudi kwenye hoja
Nakumbuka wakati wa Di Matteo, David Luiz alimaliza ule msimu vizurj sana na pamoja na mapungufu yake kwenye nafasi yake, washabiki wengi wa Chelsea walikua wanapenda jamaa arithi mikoba ya JT, nadhani na mimi nililileta hapa nikiwakilisha tu hayo maoni.
Kuna baadhi ya leadership skills ambazo Luiz anazo, wanasema jamaa ni very vocal kwenye dressing room na huwa anapresent a brother figure kwa mayoso na hata watu wa age yake na ukaribu wake na washabiki
Lakini akiwa uwanjani kwa kweli hawezi kulead by example, hawezi kupanga wenzake kwa sababu yeye mwenyewe hawezi kujipanga na sometimes yuko too emotional.
Naomba kukiri hapa kwamba nilikosea sana kudhani huyu bwana anaweza kuwa Captain wa team kama ya Chelsea
 
Last edited by a moderator:
legendary comment..thank you bro.
huu ndo unaitwa utaalam.:A S thumbs_up:


 
Mwenyewe karidhika:

CHELSEA FC imempa MIKEL ubingwa wa Uingereza[Premier League]
cHELSEA fC imempa MIKEL
CHAMPIONS LEAGUE.
chelsea fc imempa MIKEL; EUROPA league..


bila kusahau..FA CUP ..

hana haraka na maisha..JOHN OBI MIKEL ..:A S thumbs_up:

kweli kaka, Muda wake wa kuondoka umefika, Keshapata kila kitu aende sehemu anayoweza kucheza japo 75 minutes
 
Tayari timu iko tayari kuwaachilia Ramires na Mikel kulingana na sources nilizo nazo..
Ila tunataka kwanza tupate ofa nzuri....:cool2:



kweli kaka, Muda wake wa kuondoka umefika, Keshapata kila kitu aende sehemu anayoweza kucheza japo 75 minutes
 
Febregas atacheza namba ya Lampard:

kwenye mfumo wa 4-2-3-1, inakuwa hivi: wale 2 wa kati ni namba 6 na 8, sasa hapo atacheza Cesc Fabregas na Nemanja Matic.

:cool2:

Na Ramires atacheza wapi?
 
Habari yako Mkuu EMT, kitambo sana sijasoma nondo zako hata kwenye WC sikuoni,

Nipo waiting for the next season to commence. Kuhusu Kombe la Dunia, I am happy the tiki-taka style of play is officially dead na maziko yalifanyika at the World Cup Finals.

As for Samba, naona kama ilikufa zamani na inawezekana juzi was merely a confirmation to this? Sad though.

It seems the gegenpressing style of play is making its mark at the world stage. The Germans pressed them everywhere.

They played at full pace kwa dakika zote 90. They approached every minutes kama vile walikuwa wamefungwa. Uliona jinsi walivyolalamika baada ya Oscar kufunga lile goli moja?

They didn't give Brazil any chance. They swarmed on them, giving them no time on the ball which made Brazil kuishia kupiga mpira ovyo.

Gegenpressing style of play leads to many goals. Hili tulishuhudia wenyewe juzi. Bao 7.

But let's see if Messi's ability to conjure chances will trump the gegenpressing the Germans will throw at him on Sunday.
 

I can't wait for that neither
Naona kama the Germans are playing a hybrid of gegenpressing and tika-taka hasa kutokana kuwa na influence kubwa ya Bavarians (wachezaji 6 wa Bayern) in their 1st eleven, if it was pure gegenpressing wangeweza kushinda match ya juzi hata kwa zaidi ya goli 12

That being said, Mats Humells says they maid a pledge at half time not to humiliate the Brazilians in their own WC so they took the foot off the gas in the 2nd half or else.....
 
Reactions: EMT
That being said, Mats Humells says they maid a pledge at half time not to humiliate the Brazilians in their own WC so they took the foot off the gas in the 2nd half or else.....

Damn them. Watu tulibeti 9-1 kumbe tumepoteza pesa hivi hivi kwa watu kujidai kuonyesha respect?
 

Wangapi wamerudi? Hivi Gael Kakuta yuko wapi?
 
Mkuu agosti nimefurahi sana kuona ni namna gani usajili wa chese unaenda vizuri tena kwa umakini mno,ingawa kuna tetesi pogpa anaweza kutua darajani

Tetesi za Pogba zinaendelea..jana alionekana jijini London karibu kabisa na Stanford Bridge..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…