Chelsea FC (The Blues) | Special Thread




Jose Mourinho usiye mpenda akiwa Real Madrid.
 

Nditi wa Chelsea alishakuwa realised, hajaweza hata kucheza vizuri na makinda wenzake ataweza EPL au Champions League?
 

Inawezekana kweli kabisa Mourinho si mtu anayeamini katika chipukizi and it's not a crime, lakini ni kusema anafocus kwenye mafanikio ya muda ni kumkosea. Kikosi cha Chelsea chenye mafanikio makubwa kuliko chochote kilikua na base ya Mourinho, toka Mou alipoondoka Chelsea hakuna kocha aliweza kujenga kikosi imara kama chake na waliojaribu kuwapiga chini makamanda waaminifu wa Mou kuanzia Scolari mpaka AVB mnajua kiliwapata nini. Lampard, Terry, Drogba, A.Cole, Cech, Ferreira, Essien, Mikel, Ballack, Makelele hawa ndio muhimili wa mafanikio ya Chelsea, na wengine wao mpaka leo hii wanamuita Mourinho 'Daddy'

Sasa Mkuu wangu kama haya nayo ni mafanikio ya muda then tunatofautiana kwenye kuyapima mafanikio, halafu tukumbushane kuwa hakuna team inapata mafanikio kwa kuwa na chipukizi tu bila ya wazoefu, kama ipo naomba nielimishwe, SAF anasifiwa na class of 92 lakini hiyo class ilikua na watu wangapi? Je ni 11 ambao ni starting 11? Je walikua na namba za kudumu kwenye first 11? Au nao walikua introduced taratibu through the years mpaka wakawa na uzoefu wa kuhold permanent place kwenye 1st 11?
Au Pulofesa Wenger na team yake maarufu ya the Invisibles iliyomaliza msimu mzima bila kufungwa hata match moja, je ilikua team ya chipukizi ile?
 


Well said mkuu Mourinho.
:A S thumbs_up:
 

 


this is the second coming of JOSE MOURINHO.
je, umegundua kwamba kuna watu wako na Mourinho kila timu anayofundisha?

lete mawazo yako hapa tujadili..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…