Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"They[CHELSEA FC] match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies. They have an amazing squad of players and an incredible manager. I am fully committed to this team and I can't wait to start playing."- CESC FABREGAS #4.🙂
 
[h=2]Francesc Fábregas' Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Holding on to the ball

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Through balls

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Defensive contribution

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]- Weaknesses[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Aerial Duels
[/TD]
[TD="align: right"] Weak
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tackling
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

'HAIWEZEKANI!', hili dili 'batili'. Amesajiliwa akiwa kwenye kambi ya timu ya taifa.
 
Ntuzu na agost 8 njooni mniambie tofauti ya kiuchezaji kati ya fabregaz na mata... Na kama wanafanana je, kwanini kamuuza mata na kumnunua faby?
[h=2]Juan Mata's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Direct free kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Taking set-pieces
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Long shots
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Through balls
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Crossing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]- Weaknesses[/h] Defensive contribution
 


kwa hiyo umeanona mkuu?
MATA mzuri kwenye mipira ya adhabu na kona na pasi[very strong].

mammbo mengine ni mchezaji wa kawaida hizo 'strong'.

naamini umepata jibu la swali lako. kuhusu FABREGAS nadhani umeona tayari nimeweka uimara wake; tazama hapo juu.

Kwangu FABREGAS ni aina ya kiungo ambaye Chelsea imekukwa ikihitaji siku nyingi; kidogo anafanana na JOE COLE #10 wetu enzi zile za 2004-2006.

FABREGAS yuko sawa zaidi.:israel:
 
Baada ya Mata kuondoka Oscar alitegemewa sana ku-prove wrong but ukweli Oscar amechemsha bora hata ule msimu wa Benitez.Fabregas anafit kwenye system ya Morinyo anaweza kukaba,kutengeneza nafasi na kufunga but ujio wake huenda ukahatarisha nafasi ya Oscar
 

I highly doubt this. Oscar atacheza na Fab atacheza. sanasana naona ukihatarisha namba ya Ramires. I think atakuwa kati zaidi..
 
I highly doubt this. Oscar atacheza na Fab atacheza. sanasana naona ukihatarisha namba ya Ramires. I think atakuwa kati zaidi..
Morinyo akishapata striker usitegemee kama Oscar atakuwa na nafasi kama mwanzo,Morinyo anaangalia work rate ya mchezaji,Cesc anaweza kuzuia/kukaba kutengeneza nafasi na kufunga labda kama Morinyo atamzuia asiende mbele.Na hii FFP iliyoanzishwa Jose wala hajiulizi kuuza mchezaji
 


nafasi ya OSCAR bado iko imara kabisa, mfumo wa timu utahitaji kubadilishwa kidogo ili kuweza kutoa nafasi kwa mafundi hawa wawili kucheza pamoja.


huenda tukahitaji kutumia zaidi 4-3-3.; vyovyote iwavyo OSCAR EMBOABA bado ana nafasi kubwa ndani ya CHELSEA FC.


 
Namba 9 wampe oscar huyo fred hafukuzwe kama hawana mwingine..fred ni zero


nitofautiane kidogo na wewe; FRED ni sterio-type striker, yaani yeye ni ndani ya box; mletee aruke kichwa au apige shuti..baasi. kuna umuhimu wa kuwa na mtu kama yule ukizingatia kwamba Brazil wana mafundi wengi kwenye kiungo.🙂
 
kweli kama Mentor alivyosema; namba ambayo iko hatarini ni ya Ramires; kwa sababu FABREGAS anang'aa zaidi kwenye dimba; ndo maana Barcelona Cf, alishindwa kung'aa kwa sababu hakupewa dimba kubwa; sasa kweli Ramires anakuwa hatarini..ila si Ramires peke yake; hata Obi Mikel. Kombinesheni ya Matic na Fabregas itakuwa imara sana tena sana; kule mbele Willian,Oscar,Hazard..na Costa. balaa tupu msimu ujao.:israel::israel:
 
uko sawa Mentor, kwa sababu kwenye formation ya 4-2-3-1, wale wawili wa kati ni #6 na #8 . sasa hapo ndo kwa Fabregas ; Oscar anacheza kwenye wale viungo 3 wanaocheza nyuma ya lone-striker...

:A S thumbs_up:
I highly doubt this. Oscar atacheza na Fab atacheza. sanasana naona ukihatarisha namba ya Ramires. I think atakuwa kati zaidi..
 
[h=2]Ramires' Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Tackling
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Defensive contribution
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]- Weaknesses[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Weak [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Discipline
[/TD]
[TD="align: right"] Weak [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[h=3]Ramires's Style of Play[/h]
  • Gets fouled often
  • Likes to dribble
  • Likes to tackle
  • Commits fouls often
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…